Jonijoo anachokosea ni kujaribu kuiga matamshi ya kiingereza ya wakenya... Prezoo yeye anamleta kwenye kiswahili... Jonijoo alitakiwa atembee na kiswahili
JONIJO Kiingereza hukijui kwann uinalazimisha kwann usiwe free kuongea kiswahili chako >> watangazi wa kitanzania mnaboa sanma sana . prezoo mwachi english yake piga kiswahili mbona fresh tuuu mnakera sama bhaana badilikeni achenim ujimga wa kuiga iga