Тёмный

PART 02; "CONCORDE" NDEGE HATARI ILIYOITIKISA DUNIA/ IKAUA ABIRIA WOTE/FREEMASON 

Dar24 Media
Подписаться 730 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

--
#Concorde #details #tupolev
"CONCORDE" ni neno la kifaransa lenye maana ya makubaliano..hili lilikuwa jina la ndege kubwa ya abiria, iliyoacha historia kubwa duniani, takribani ni miaka 45 mpaka hivi sasa 2021, ndege hii imeacha mengi ya kushangaza, imefanya kazi duniani kwa miaka 27 hii ikiwa tangu 1976 mpaka 2003, karibu kwenye kipindi cha#MAELEZO KWA KINA kila ifikapo jumapili kwa kufahamu mengi.
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 Год назад
Duuh noma sana nakukubali mchambuzi wangu
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 2 месяца назад
concorde walizikataza kupita kwenye za saudi arabia na boom inafanya ikiwa juu kwenye kruzi hii ndege ilitengenezwa kwa mikono(manual) na dizaini yake ilicholwa kwenye karatasi london new york masaa mawili na kitu na kuhusu ajali hii ndege ilikanyaga chuma na kupasua tairi na kipande cha tairi kikapasua tenk la mafuta na ikawa moto
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 2 месяца назад
usiite concorde iite super sonic
@samwelpalingo540
@samwelpalingo540 2 года назад
Thank you for this information
@MahmoudMohamed-rr1wq
@MahmoudMohamed-rr1wq 3 года назад
Uk to USA ni £2500 sio hiyo bei unosema sio kweli
@AbdulHussen-dn2mw
@AbdulHussen-dn2mw 5 месяцев назад
Zl
@horacemnyasa5400
@horacemnyasa5400 3 года назад
#Mahmoud_mohamed
@horacemnyasa5400
@horacemnyasa5400 3 года назад
We Mahmoud Mohamed unakuwa kama hujaelimika hiyo $2500 ya miaka hiyo ya concord au ndege za uko Kijijini kwenu😀😀? Rudia kutizama video hacha kukurupuka baki njia kuu!! 😀😀
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 года назад
Mbona hapa nilipo mie huwa inapita usitudanganye bwana
@mzeewamazabauni5961
@mzeewamazabauni5961 2 года назад
Haujui hautaji masaa ikiyotumia huko au kupiga hesabu ingetumia dakika ngap dar kwa dodoma.haujui kaz
@micamathew2595
@micamathew2595 2 года назад
Hahahaaaaa
@mitikasitv7326
@mitikasitv7326 2 года назад
Acha uongo
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 8 тыс.
OG Buda, Слава КПСС - LAZER SLAVA
01:58
Просмотров 59 тыс.