Тёмный
No video :(

AMINI USIAMINI: HII NDIO HOTEL YA GHARAMA ZAIDI DUNIANI, MIL 55 KWA USIKU MMOJA, INA HADHI NYOTA 7.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@seifmohamed836
@seifmohamed836 2 года назад
Mbona rahisi hivo mm nikajuwa Angalau bilion kwa siku nigeenda kulala hata miez 3 km nihivo nirahisi ina kunguni na mende hiyo
@gamma9590
@gamma9590 2 года назад
Milion 55 Ni hela Ndg?
@user-kk5nf3pu1g
@user-kk5nf3pu1g 3 месяца назад
Shangaa nawew hana hela huyo ukiona ivyo🤣
@user-kk5nf3pu1g
@user-kk5nf3pu1g 3 месяца назад
Masha Allah blessed
@AwaziRajab
@AwaziRajab Месяц назад
Kwa Upeo Wako Wa Kuchunguza Umeishia Apo Wa Kuzani Kwamba Iyo Ndio Holet Yenye Gharama Kubwa Lakini Atakuja Mwenzio Atavumbua Hotel Na Gharama Zake Utabaki Mdomo Wazi We Sema Hotel Ya Gharama Kulingana Na Upeo Wako Lakini Ziko Hotel Za Gharama Kuliko Iyo Kwa Watanzania Watakuelewa Kwakua Tumezoea Umasikini Mpaka Wa Akili
@tradamus4158
@tradamus4158 4 месяца назад
Sio kweli
@shazilhashim6648
@shazilhashim6648 2 года назад
Maisha haya bhana😇
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 года назад
Yn nn
@DJrajabuMpare
@DJrajabuMpare 3 месяца назад
Hatari sana🎉
@MarcVelan-z4r
@MarcVelan-z4r 9 дней назад
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
Kuna hoteli Marekani Vegas malipo ni 150k USD sawa na millioni 300+ za kitanzania
@aisharamadhani9438
@aisharamadhani9438 2 года назад
Tabora nna nyumba 5 za kupangisha
@archbordygodfrey7770
@archbordygodfrey7770 2 года назад
Haikuti ile ya Zanzibar Amber luxury resort. $197,000 per 2 or 3 days. Zaidi ya milioni 400!
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 года назад
Ah wap
@johanesbina1302
@johanesbina1302 2 года назад
We unaumwa 😂😂😂
@kalebumkandi6439
@kalebumkandi6439 2 года назад
Dah 👐👐
@bedaurassa1367
@bedaurassa1367 2 года назад
hiyo helpad inatumika vipi kwa ajili ya mashindano ya magari?
@murijiSungura
@murijiSungura 2 месяца назад
Naenda ukoo
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
Watu wana pesa jamani duh
@bakarymbega6320
@bakarymbega6320 2 года назад
No reseach nowright tospeak that is not the most expensive it is the most luxsorous hotel haiingii hata kwenye kumi bora duniani kwagharama ingawa kwa ubora ni ya kwanza rudi Google urekebishe chapisho lako
@roycerolls9641
@roycerolls9641 2 года назад
Nchi za kiarabu HUWA na vitu vya gharama kuliko nchi yoyot Kwanza iko kweny maji
@beatricelichoti5028
@beatricelichoti5028 2 года назад
Iwas there for 1month with my boss
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 года назад
Mh for whats my friend
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 4 месяца назад
Umekosea kuandika badala ya elf tano umeandika milion 55 rekebsha
@MaxmaxAyoMaxmaxAyo-mt5yz
@MaxmaxAyoMaxmaxAyo-mt5yz 3 месяца назад
Elfu 5 iyo cyo guest bubu
@JoshuaLutindi
@JoshuaLutindi 4 месяца назад
Duuu hili imeenda
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 3 месяца назад
Hela kdogo sana hyo 😂😂😂bora tilion kwa siku
@abooaboo-rs4uw
@abooaboo-rs4uw 2 месяца назад
Wacha wee.nitakuja happy na bilioni tango nilale kama ina kunguni silipi
@ShabaniSuleiman-vd4mi
@ShabaniSuleiman-vd4mi 4 месяца назад
So kwl hapa hapa tz ipo sandar ipo mafia usk 1 milioni100
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 4 месяца назад
Mwaka mpya wa mwaka Jana nililalal hapa mwez mzma
@bigtengwemela3153
@bigtengwemela3153 3 месяца назад
😂😂😂
@robertlyimo636
@robertlyimo636 2 года назад
Ina Almasi au
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
So pw
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 2 года назад
Mwandishi unaichambua km ulikuwepo 😄
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 2 года назад
🤣🤣🤣
@user-ow5zk5vp1x
@user-ow5zk5vp1x Месяц назад
Ushafika elegance wewe ipo sinza mori ni nyota 8 sioo poooa
@privamushi2512
@privamushi2512 Год назад
Hata mimi kuna siku nilipita apo kuomba tuku ya dalala 😂
@najimmaalim976
@najimmaalim976 Год назад
Wazungu hawataki kukubali ila Dubai ni nchi ambayo inauwezo mkubwa kuliko nchi nyingi za ulaya na so Dubai tu Emirate yote ipo saw
@CharlesSimkoma
@CharlesSimkoma 4 месяца назад
Umewauliza wakakataa?
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 5 месяцев назад
Nataka niende apo 2027 nikae mwaka mzima.
@allythabit3236
@allythabit3236 2 года назад
Aduniya sijinu ll muumin waljannatul kafir
Далее
SHERIA ZA KOREA KASKAZINI ZITAKUACHA MDOMO WAZI
17:01
Просмотров 826 тыс.