Тёмный

Part 1, 2 and 3 combined, Pastor Thomas Nyakundi full expose 

Rogers Kakasungura
Подписаться 115 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Rogers Kakasungura is a Journalist by Profession. He has vast experience on various topics. He is a youth leader, Founder and Director at Kisii Hot Tv.
Am a believer in gradual growth. A gentle man who supports talents. Hard work, perseverance and Honest are my Pillars.
Reach him on +254700169444
#RogersKakasungura #ThomasNyakundi

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@yunge3805
@yunge3805 2 года назад
You are doing an incredible job ,
@Josephinelatin
@Josephinelatin 3 месяца назад
Thank you for good advice
@winnienini3150
@winnienini3150 2 года назад
Kama mamake alikatwakatwa ,, yeye alitoroka aje na amesema walikua wanachomwa pamoja ,,mbona hamumulizi alitorokaje ,, alikua wapi
@kakajeff17
@kakajeff17 2 года назад
Rodgers huwa unafanya interview vizuri tunaomba umtafute nyakundi umuulize hii maswali, 1.. mamake alichomwa ama aliuliwa na panga? 2..alipewa uchawi akiwa wapi? Kwao ama kwa kina mamake? 3..kama aliuliwa kwa panga mbona alidanganya kua alichomwa? 4...N ukweli Kuna mtoto walitembeza, na huyo mtoto ndio aliwataja? Ndio wakajulikana ama
@yunge3805
@yunge3805 2 года назад
Exactly my point he contradicts himself , he said he got saved in 2000 when his mother was burnt , turns out the mother died in 2009
@evelynoruta1540
@evelynoruta1540 2 года назад
Hi young ndungu your home kisii my home Ashanti sana watching will watch all ❤👏👌🌿🎊🙏🇰🇪
@manzab4017
@manzab4017 Год назад
na mbona mnawatch watu wa kijiji bila thomas, nyinyi watu wa media tunawajua
@jacobkenyanya9433
@jacobkenyanya9433 Год назад
No one knows another person's Life apart from himself alone nakubaliana nayeye
@moraakarindi2094
@moraakarindi2094 2 года назад
Waaaaa amakumie
@sharp7649
@sharp7649 10 месяцев назад
1. Ni chief mgani, wa mwaka upi huyo mwenye aliruhusu wachawi kuchomwa? 2. Mama yake akiuliwa pastor alkua miaka mingapi? ( was pastor Nyakudi born again at that time)? 3. Kama mama yake haku chomwa, that means hakua mchawi 4. Was pastor the only son? 5. Pastor arudi tena studio aseme vizuri
@ShadrackGichana
@ShadrackGichana 9 месяцев назад
The guy is supposed to be arrested for giving false information.
@BrendaKerubo-or9oc
@BrendaKerubo-or9oc Год назад
Hawa watu wanakataa, ni kama wanashirikiana, wangejuaje yeye si mchawi na watu wake, unless they are part of the wachawi, na hawataki kutoa Siri pastor ndo anajua mama yake na Siri zao
@Thee_Flavour
@Thee_Flavour 4 месяца назад
Sasa alisema babake aliuliwa Na babake ndo huyo ako uhai sasa Thomas ni mkora ama anasema ukweli
@hamachogu8911
@hamachogu8911 2 года назад
This guy anafaa aongee ukweli , something that's true you won't contradict yourself never ever
@JamesOgega-y4n
@JamesOgega-y4n Год назад
Kaka, asanti kwa kuchunguza huyo mtu na tumejua uongo wa huyo mtu
@deborahmoige2363
@deborahmoige2363 9 месяцев назад
He wanted to be famous so alitafta njia zake za kujulikana 😊
@VANENDUKO-ch8he
@VANENDUKO-ch8he Год назад
Nimesikiliza video zote za pastor Thomas.this man was a witch.hakuna venye angejua hizo siri zote za wachawi,na hakuna vile mtu anajiita mchawi
@poulina4007
@poulina4007 Год назад
Yes i agree
@enidnyamoita8807
@enidnyamoita8807 Год назад
Alisema Baba yuko, but simchawi, hao wabaogopa kusema kinaganaga
@ConsolataLoreen-qx6qi
@ConsolataLoreen-qx6qi 2 месяца назад
Na mbona adanganye babake ati amekufa aki
@MosesMomanyi-rf1kn
@MosesMomanyi-rf1kn Год назад
uyo alikuwa mchawi kama ni uongo hawezi kuwa na nguvu za kusema,kwa tata vile anaelezea labda alichanganyikiwa lakini Mungu yupo amsaidie
@carinerhustlelaydee5068
@carinerhustlelaydee5068 2 года назад
Mshangao sana
@wilson.16
@wilson.16 5 месяцев назад
THE BIBLE SAYS :SAY THE TRUTH AND THE TRUTH SHALL SET YOU FREE STOP LYING OMERA 😂😂😂
@Jeremiahmaranga-zx3rj
@Jeremiahmaranga-zx3rj 6 месяцев назад
Kama wanakijiji hawajui hiyo story
@rispermaina7026
@rispermaina7026 Год назад
Nyinyi amweezi jua kenye kiliua mama yake waja mwenyewe aseme
@gilbertomariba932
@gilbertomariba932 4 месяца назад
Hii ni familia ya wakora
@jacobkenyanya9433
@jacobkenyanya9433 Год назад
According to me this guy was a witch but he repented the information he is giving is not similar simply because emotions he went through hence he was confused
@VANENDUKO-ch8he
@VANENDUKO-ch8he Год назад
Na wenye walichomwa ni kina nani?
@kakajeff17
@kakajeff17 2 года назад
Nani amekuuliza mumezaliwa wangapi
@MosesMomanyi-rf1kn
@MosesMomanyi-rf1kn Год назад
na nyanga'u ambazo zinapatikana mtoni huwa sinatoka wapi kama si wachawi
@MillyMilly-h2q
@MillyMilly-h2q Год назад
Twakure pi, gaki yeso tigache
@EmmyMario-ev2wx
@EmmyMario-ev2wx 9 месяцев назад
Dunia imeisha wacha watu waokoke MTU akiokoka kutoa ushuuda wacha atoe .msiseme si mchawi yeye ndie alikuwa akiroga watu waokoke waache uchawi .hata ulimwengu wote wote wanaendelea kuokoka
@elijahmakori8945
@elijahmakori8945 7 месяцев назад
Heshimu wazazi,why lie tat father is dead na ako sually.
@mokemadennis1879
@mokemadennis1879 Год назад
Kama ni kutafuta pesa atafute pesa kwa njia nzuri aache kuharibia wakisii jina.
@mercylinekerubo6883
@mercylinekerubo6883 Год назад
Kwanza kabisaa yaaaan mtu mwenye ako na mzazi plz plz plz kindly heshima ni kitu ya maana aki huyu anajiita pastor yaaaan Dad anavalia manguo kaa hizi na yeye ameng'aa na suit????? kweraa kabisaa wewe
@davidnyarangi8125
@davidnyarangi8125 11 месяцев назад
Kaka wachawi wako kisii vike Thomas anaelezea kuwa mtu mwenye hawajahua hawafukui kwa nini hao chamaa wanapinga wao ni wachawi pia
@jacobkenyanya9433
@jacobkenyanya9433 Год назад
Wewe unachunguza Kama nani
@makdeno
@makdeno 2 года назад
Chiabagoire
@patrickTeya-vh6tx
@patrickTeya-vh6tx 5 месяцев назад
Bomariba kweli?
@janetnyamamba6133
@janetnyamamba6133 Год назад
Mbona akisema eti mamake alichomwa
@evelinemose9959
@evelinemose9959 Год назад
Kuna uongo fulani apo ako nayo
@TrizahTita
@TrizahTita 6 месяцев назад
Mshangao
@jacobkenyanya9433
@jacobkenyanya9433 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mosiria3974
@mosiria3974 Год назад
Fake pastor
Далее
How Many Twins Can You Spot?
00:17
Просмотров 23 млн
ВЫЖИЛ В ДРЕВНЕМ ЕГИПТЕ!
13:09
Просмотров 211 тыс.
MY LIFE AS A WITCH  PASTOR THOMAS NYAKUNDI
1:53:42
Просмотров 60 тыс.
How Many Twins Can You Spot?
00:17
Просмотров 23 млн