Тёмный

PART14:MACHENI ALIEZAMIA AFRICA KUSINI SAFARI YA MIGUU NA KUISHIA KUWA JAMBAZI NA KUTOBOA MIILI WATU 

Davistar Media
Подписаться 242 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@Sidik-d7e
@Sidik-d7e Месяц назад
DAVISTAR MATA MY BROTHER I LOVE U MY BROTHER AND UR FAMILY IN TZ. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA. .ALLAH BLESSED U AND EVERYONE AROUND THEY WORLD 🌎 REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤I LOVE UR STORY AND UR CHANNEL FROM TZ.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 2 года назад
Devista akisikia wazuri sasa...hahahaaa
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 года назад
Mhuuu kumbe tayari kutoka kwenye ujambazi sasa hivi upo kwenye kutibu mhuu sikuamini huenda bado upo kwenye kupiga watu😄
@Sidik-d7e
@Sidik-d7e Месяц назад
DASTAN MATA I AM PROUD OF MY BROTHER WHO GIVE U GOOD STORY GIVE HIM MY LOT OF DUA SAY UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK GIVE U LOT LOT OF DUA FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💗 💙 💜 💖 💘 UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@acimamalingano8556
@acimamalingano8556 2 года назад
Pamoja saana Mr everything 💪
@givembwilo8486
@givembwilo8486 2 года назад
eti kajala hujamuona!!😂🤣mbona hata sio mzuri jamani
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 года назад
Davistar nenda salmacone ukaagize sharubati! Ipo😅😅😅😅
@Sidik-d7e
@Sidik-d7e Месяц назад
JINN LADYS ARE GOOD SO MUCH MORE THAN HUMANBEING I KNOW JINN CAN CHANGE 99 FACE I KNOW MY BROTHER DAVISTAR MATA JINN CAN CHANGE 99 FACE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 2 года назад
Nipo ndanii Davista mtu Makini sana. Kaka nakukubalii sana
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane 2 года назад
Uku kunakoendea uku 😂😂😂 mda wa kukimbiana
@castro4244
@castro4244 2 года назад
thank you very much Mr Dm I give it up your story I get things God bless you working because when I heard your working I learn how life that I live that I live . god bless you.thank🙏
@timaosthman2304
@timaosthman2304 2 года назад
Kaka mzuri masiki kapitiya mengi sana
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 года назад
Duh! Mbona tena tunaelekea Ujinini🤣🤣
@esterabonga7947
@esterabonga7947 2 года назад
Akuna tofauti ya jini na pepo . Jini ndo mapepo ila wanaitwa majini sababu ni viumbe vinaishi kwenye maji.
@petermangale9314
@petermangale9314 2 года назад
MAJINI na Imani ya kiislamu ni mapacha!!!!
@busta_malik5971
@busta_malik5971 2 года назад
Acha ujinga ww wakristo si ndio mnamuabudu yesu hali yakua ni binadam mwenzenu akili zenu kuabudu masanam
@petermangale9314
@petermangale9314 2 года назад
@@busta_malik5971 KWANI HAPO NIMEKOSEA NINI SI MUISLAMU MWENZENU NDO KASEMA AU NI MANENO YANGU???
@rikekikonyo2265
@rikekikonyo2265 2 года назад
Kama ilivyo ukristo na ushoga
@mayelewakutetema2452
@mayelewakutetema2452 2 года назад
Mungu ni moja tuu na yeye ndio kaumba vyote vivyomo duniani na yeye ndio kaumba makini na na binadamu kwa lengo moja tuu kuabudiwa yeye tuu kwa hio majin ni viumbe km sisi ila wapo waovu na wema km ilivyo kwa binadamu ila mungu hakuwatuma wawe wanaingia watu lengo ni kumuabudu tuu
@mayelewakutetema2452
@mayelewakutetema2452 2 года назад
Kwahio hao wanao ingia watu na kuwapa uganga au kuwa haribia maisha hao wote ni waasi sio lengo wa liloletewa hapa dunian
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 2 года назад
Yote yale aliyopitia kuna maagano yakiza yalikuwa yanaendelea ndo mana misukosuko yote hiyo si roho ya kawaida ni roho ya kimaagano ndo ilikua inamuendesha jamaa Muombe sana Mungu aisee
@philipomponeja2457
@philipomponeja2457 2 года назад
Duuh! hiii story babu kubwa
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
huyu jamaa alikuwa ameingizwa kwenye uchawi toka kitambo...na bibi yake.. na ndio maana alipokuwa kwa yule chief pale swazland...yule mganga alimwambia arudi kwao tz..kwasababu alipata communication ya bibi yake huyu jamaa
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 года назад
Kwan bibi yake alikuw mchawi kumbe
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
@@salma-fc4xc sasa mpenzi wangu mzuri salma unadhani kwann?? alikuwa anasema hawezi kufa mpaka mjukuu wake arudi?? na alipofika kumpa mkono akafa??
@winfredmapunda3604
@winfredmapunda3604 2 года назад
Kweli jabisa mzee
@bonnycostacosta7339
@bonnycostacosta7339 2 года назад
Pamoja
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 года назад
Ss tumeanza kuingia kwenye vurugu za kuzimu.
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane 2 года назад
Jamaa anasema makini sio miungu...
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 года назад
Yeah
@LEO-uq6el
@LEO-uq6el 2 года назад
Kisheria miaka mitano ikipita serikali inatoa cheti cha kifo ukienda kukitaka
@mammam4701
@mammam4701 2 года назад
🤣 Watu wanachungulia hao 🤣
@Yusufu940
@Yusufu940 2 года назад
Mtu akipotea kuweka msiba Ni besri ya Ki Africa sio ya ndunia yoyote
@nickbrown8350
@nickbrown8350 3 месяца назад
Sakaratil mauti maana yake ni kilevi cha kifo
@feynation3739
@feynation3739 2 года назад
Davista kwanin kajala 😄😄😄
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 года назад
ndiyo mwanamke aliyepata liliwa zaidi kuliko wote Tz, amenunuliea range mbili kwa mfululizo
@feynation3739
@feynation3739 2 года назад
@@bintalmasi2393 😀😀😀😀😀 mbona range
@afterx3172
@afterx3172 2 года назад
Tusisahau mchango wa camera
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
waislam mtu kaenda kwa majini kaonana nao..hawana shida na hili..mtu akisema alimuona MUNGU..mnaanza ooo huwezikumuona MUNGU
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 2 года назад
Ujinini hawaendi chooni, Unajua kinacho tuchafulia mazingira ni haya mambo ya kunya kunya hovyo! Sasa kule ni kusafi sana kwa sababu hawana choo! Ndo maana walikupotezea sehemu za siri ili usije ukaanza tena kuuliza choo wapi?
@peter-tj6oo
@peter-tj6oo 2 года назад
😂😂😂😂
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 года назад
Dah kama naiyona inaisha mapema hivi
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 2 года назад
Wa kwanza
@noeldaudi590
@noeldaudi590 2 года назад
Huelewi Basi awe anakuadithia peke yako. Sisi tunatumia MB zinaisha bila sababu Unauliza maswali ili yakusaidie nini
@kingalyeko7576
@kingalyeko7576 2 года назад
Kununua gari🤣🤣🤣🤣
@theblackandrew4119
@theblackandrew4119 2 года назад
Kichaaaa wewe katibiwe
@talibanbokos9689
@talibanbokos9689 2 года назад
Tafuta namna urudi Australia uje na stori ya huko
@rosemarry2020
@rosemarry2020 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 2 года назад
Duuh
@mbwanaomary4504
@mbwanaomary4504 2 года назад
Sakaratul-mauti
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
bibi yako alikukabidhi uganga..na wale rafiki zako walio kuwa wanakufa wewe ndio ulikuwa unawatoa kafara...
@noeldaudi590
@noeldaudi590 2 года назад
Mtangazaji mbona wewe watu wakikuomba punguza maswali
@florencerose859
@florencerose859 2 года назад
Ulijuaje kama alikunyoshea mkono na ulipofuka??
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 2 года назад
😀😀😀😀Kausha nawewe
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 года назад
@@edithaeugeni9695 😆😆😆😆😆
@fredichaki3497
@fredichaki3497 2 года назад
😂😂😂 sasa ujinini uku kamba ndiyo zina Anza lakini sawa chakula bila chumvi akinogi bwana chumvi lazima
@rizrizriz1771
@rizrizriz1771 2 года назад
nime penda hii story tangiya mwanzo una mafunza mengi ukiizingatiya kuwa mabaya wuweke pembeni mazuri uyatwaye but i hope kaka ata tuliya ama katuliya hususan hizo njiya za awali za kuiba na kudhuru watu haram but hizo ndoo story tuna taka
@iandavid4878
@iandavid4878 2 года назад
.
@cbhofficial3432
@cbhofficial3432 2 года назад
ء
@emmydickson254
@emmydickson254 2 года назад
Bro jitaidi kuuliza mashwali ya maana bas, Yan mashwali yako huwaga yanakuwa ya ktoto sn
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 6 млн
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 140 тыс.
DUNIA (Ep 11)
23:09
Просмотров 155 тыс.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00