Тёмный
Davistar Media
Davistar Media
Davistar Media
Подписаться
MIKASA,SHUHUDA NA HISTORIA MBALIMBALI
Комментарии
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 День назад
Kupitia huyu jamaa ndo utakubali ule usemi wa "muheshimu kila mtu".
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 День назад
Kupitia huyu bwana ndo nimegundua kwann Mungu amewanyima uwezo fulani binadamu maana binadamu ni kiumbe wa kuumizana tu pindi akiwa na power dhid ya wenzake yani ni kiumbe wa visasi.
@holytv6208
@holytv6208 2 дня назад
Amina Amina Amina
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 2 дня назад
Msamaha wa shetani unakuwa na masharti magumu sana.
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 2 дня назад
Nilichojifunza hapa ni kwamba usisafiri bila kumuomba Mungu.
@verdianavedasto8756
@verdianavedasto8756 2 дня назад
Asante Mtumishi
@tuzojohn3581
@tuzojohn3581 2 дня назад
Joh 17:5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. Dr. Sulle, unaposoma Biblia usitumie mstarimmoja.... Mbona huo mstari wa 5 hujawasomea hawa watu . 🥲
@MbarakaKorongo
@MbarakaKorongo 2 дня назад
Mtumishi mungu akubaliki kwa ushuhuda huu
@myredeemerlives3877
@myredeemerlives3877 2 дня назад
Amina!!!Amina!!!Amina!!
@kimbefurahini9613
@kimbefurahini9613 2 дня назад
Ubalikiwe sana mungu akutunze
@verdianavedasto8756
@verdianavedasto8756 3 дня назад
Amina Amina amina
@NicolausMwanjali
@NicolausMwanjali 3 дня назад
Spere zinatoka njombe au mbao,njombe wanaagiza nje zinashukia dar au Mombasa dogo stori za bangi hizo
@NicolausMwanjali
@NicolausMwanjali 3 дня назад
Stori ya uongo sana
@NicolausMwanjali
@NicolausMwanjali 3 дня назад
Kijana anatusokota mby mpaka shy unapita sumbawanga na sekenke
@gabrielisdory9686
@gabrielisdory9686 3 дня назад
Amina amina amina
@josephinekadesa8006
@josephinekadesa8006 3 дня назад
Amina Amina Amina
@NEEMASWEDI
@NEEMASWEDI 3 дня назад
Uyu baba ni mbishi jamani tatizo upo kimwili haupo kiroho, iyo ni mbaya sana ni sawa na kuukimbiza upepo bule na uisilam wako, omba sana roho mtakatifu akuongoze, kwani MUNGU hawezi kufanya lolote atakalo? MUNGU ni roho anaweza kugawanyika anaweza kuwepo mbinguni ata duniani pote. umtake sana YESU, sio udini ili ukue kiroho usiwe na moyo mgumu kama wa farao utaangamia vibaya na YESU ndie njia ya kwenda mbinguni tulia wewe. uwelewi wewe.
@JuliaMasaka
@JuliaMasaka 3 дня назад
Hata Mimi na pitiaya yatoa hayo
@Monika-cp2gk
@Monika-cp2gk 3 дня назад
Next
@RukiaRamadhan-j6t
@RukiaRamadhan-j6t 3 дня назад
Dar hatari sana
@WilberforceLuvai
@WilberforceLuvai 3 дня назад
Kile kinafundishwa,kwa umakinifu kitakusaidia katika uelezi na uelewa,ukipata lako lifanyie kazi
@williamlugwisha420
@williamlugwisha420 3 дня назад
❤ 18:39 18:41 18:41
@karibuduniani9741
@karibuduniani9741 4 дня назад
Daaah!!! Mnazngua sn vipindi avina muendelzo ndio nn xx
@AwamuKatunzi
@AwamuKatunzi 4 дня назад
Stor nzur sana
@amedeusmmanga8043
@amedeusmmanga8043 4 дня назад
Alie pata mwendelezo wa hii aweke Link
@pamelaesipila3367
@pamelaesipila3367 4 дня назад
Amina,Amina,Amina
@collinsgathara4130
@collinsgathara4130 4 дня назад
Point taken.... Brother nameno muhimu sana nimejifunza kitu
@AbdulHassani-z5k
@AbdulHassani-z5k 4 дня назад
Wanavutia Mason mazuri
@mohamedyeslam5194
@mohamedyeslam5194 5 дней назад
Bwana misosi
@user-eb2ow6vp5v
@user-eb2ow6vp5v 5 дней назад
Davista Tulia huyo mrembo utakuja kuijua picha yake hahaha
@HamiduMbaraka
@HamiduMbaraka 5 дней назад
Sule
@user-xw8om1qd1g
@user-xw8om1qd1g 5 дней назад
WA 10
@asminetaba253
@asminetaba253 5 дней назад
Amen
@elizabethconstantino6056
@elizabethconstantino6056 5 дней назад
Mungu atuhurumie
@bivictoriangina1208
@bivictoriangina1208 5 дней назад
That's true
@JoferyarmandoFaustino
@JoferyarmandoFaustino 5 дней назад
Ubarikiwe sana shekhe Omar mungu akupe ekima zaidi nipo Mozambique 🇲🇿
@maureenmwende3515
@maureenmwende3515 5 дней назад
Mungu atume subscribers kwa channel yetu jamani watu wazidi kujua. Mungu sana
@joselynenizi9475
@joselynenizi9475 5 дней назад
Asante sana mtumishi wa Mungu,ubalikiwe
@stevenandrew4561
@stevenandrew4561 5 дней назад
Good
@joselynenizi9475
@joselynenizi9475 5 дней назад
Asante sana mtumishi wa Mungu ❤❤unatusaidia sana ,nimejigunduwa nina nia ila sina musukumo 😢😢😢Mungu anisaidie
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya 5 дней назад
Davistar Part 4 siioni. Tunaomba muendelezo.
@joselynenizi9475
@joselynenizi9475 5 дней назад
Amin Amin Amin hakika Mungu ametenda❤❤
@mustaphasegeja1712
@mustaphasegeja1712 5 дней назад
Acha kumuiga huyo mtu
@marysiguna
@marysiguna 5 дней назад
Kisumu kenya
@marysiguna
@marysiguna 5 дней назад
Ameen Ameen
@NdakiBahati
@NdakiBahati 5 дней назад
Huyo.jama.anaye.simulia.namujua.ila.yupo.vizuli
@emmanueljoseph3561
@emmanueljoseph3561 5 дней назад
Amina Amina Amina
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 5 дней назад
Jamaa muongo anakwambia 27:40 BISMILLAH NA YENYEWE NI SURA 😂😂😂😂
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 5 дней назад
Amen🙏
@geofreymulei5695
@geofreymulei5695 6 дней назад
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu