Тёмный

PART16:TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFATA UTAJIRI WA KUFA NA KUOZA MWILI NA KUTOKA FUNZA MWILINI 

Davistar Media
Подписаться 242 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 года назад
Daaa aiseee karibu katika pesa za kichawi pesa za moto pesa Haramu aaaa 😉🤣👌 baba huogopi kufa je ukifa mazima aaah
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 года назад
Umeponyoka tena, Yesu anakupenda sana
@petermangale9314
@petermangale9314 2 года назад
hapa movie imekaa njema sana
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Waafrika kwann tusitumie waganga tuwe mabilionea
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 2 года назад
Story inavyokwenda nahisi uyo mwanamke cheupe hakua mmke mzuri yaani labda ni kijini
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 2 года назад
Huyu jamaa anaroho ngumu sn,mtu wa ajabu yaana kapona kwa bahati lakini anataka kurudi kuzimu tena!
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 2 года назад
Story ndo inaanza Sasa,Utajiri wa pesa za 🔥,pesa haramu,pesa za mchongo😂😂
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 года назад
😆😆
@martinymaryogo8753
@martinymaryogo8753 2 года назад
😃😃😃😃😃😃karbu ktk pesa za moto
@om-gg6jn
@om-gg6jn 2 года назад
Kutokuwa na msimamo shida, unatapatapa, unakuwa kama mtoto lazima ushikwe mkono Kila mara, ndugu lazima wakuchoke
@josephmassae2117
@josephmassae2117 2 года назад
Davista vp bado jamaa anastua hapo nn naonaanashushia kimtindo! 😂😂
@fatumakhamisi1002
@fatumakhamisi1002 2 года назад
Elia namba yake inapatikana?! Tuwekeee pls
@martinymaryogo8753
@martinymaryogo8753 2 года назад
Hahahaahaaa fatuma vip unatak twende huko maan maisha haya sio pow
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 2 года назад
STORYnii
@winniejustine1324
@winniejustine1324 2 года назад
Nimeluka mpaka hii ya 16 hv za mademu wake ziliishia ya ngapi wadau
@winniejustine1324
@winniejustine1324 2 года назад
By the way story nzuri sana
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
Stori masha Allah
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 года назад
Amakweli Tamaa za Mwili Zinatesa.
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 2 года назад
Saaana
@heritier5119
@heritier5119 2 года назад
Hela ya shetani haiendi bure
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 362 тыс.
Исповедь / Мася
2:47:10
Просмотров 135 тыс.