Тёмный

PART5:MACHENI ALIEZAMIA AFRICA KUSINI SAFARI YA MIGUU NA KUISHIA KUWA JAMBAZI NA KUTOBOA MIILI WATU 

Davistar Media
Подписаться 242 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@benedictmhina8940
@benedictmhina8940 2 года назад
Miongoni mwa simulizi Kali za mwaka huu hii ni kali
@OmanCom-ky8tn
@OmanCom-ky8tn 2 года назад
Pole utaftaji ndvyo ulivyo
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane 2 года назад
Oyaaa mabaharia wanajua kuelezea vizuri
@danielsteven5440
@danielsteven5440 2 года назад
Polee Sana Kaka
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 года назад
Aya maisha atari sana brother 🔥🔥🔥🔥
@elysamwel1553
@elysamwel1553 2 года назад
Leo wa kwanza😅😅
@nurudaud3993
@nurudaud3993 2 года назад
eeeeeh ok let's go 😊
@hadijageorge2863
@hadijageorge2863 2 года назад
Kazi kweli
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 года назад
Inajirudia rudia sana mpk inaboa
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 8 месяцев назад
Inakuboa ww tyu na matako yako
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
ukiona mwanamume analia ujuwe siyo poa yaani angekuwa mwanamke keshaamuwa kujiuza..ila kwasababu ni mwanamume inabidi ulie..mwanamume..ni kitu kingine
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 года назад
So poa 🤣🤣🤣🤣
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
@@bakari-si1pw sio poa babaangu wanaume... tunamioyo hata chuma kinasubiri
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 года назад
Nilichogundua mlipo kwenda kanisani msumbiji hawakujali dini zenu waliwapokea na kuwasaidia Ila mlipo fika sauth Africa msikitini wakawabaguwa
@stumaipaulo3570
@stumaipaulo3570 2 года назад
Baharia gani analialia anazngua msafili kafili ajapitia hata magumu bahalia 4.real hapa
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
baridi ya south Africa ilinipiga sehemu moja ivi.... panaitwa..fix burg free state..karibu na Lesotho sio poa...uanaeme kazi
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
sinibonani...kunjani siyapila unjani wena nimnandi..hicho ndio kizulu sasa
@InspectorAmarSaxena
@InspectorAmarSaxena 10 месяцев назад
Katembe ntembee tifutifu la goti
@tututz100
@tututz100 2 года назад
IMENIPONZA
@florencerose859
@florencerose859 2 года назад
South Africa Kuna wahuni sana huwezi kuamini mtu
@philipomponeja2457
@philipomponeja2457 2 года назад
bonge la bao🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@samueljohn4569
@samueljohn4569 2 года назад
Hawajapelekewa moto kweli hawaa
@philipomponeja2457
@philipomponeja2457 2 года назад
Namm nawasiwasi🤣🤣
@petermangale9314
@petermangale9314 2 года назад
mnapenda habari hzo siku na nyie wakiyakuta mtuelezee
@samueljohn4569
@samueljohn4569 2 года назад
@@petermangale9314 tutahadisiaa
@hamisiismail2577
@hamisiismail2577 2 года назад
Kausha 🤒
@mamananga2849
@mamananga2849 2 года назад
🤣🤣🤣🤣moto muhimu
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
hiyo inaitwa road block
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 года назад
Mbona maneno yanajirudia rudia au nisimu yng?
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 года назад
Kwel inajirudia rudia sana
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 2 года назад
Mwenzenu mlimucha wapi mbona upo wawili
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 года назад
Kwani wakati anadithia ulikuwa umesinzia?
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 2 года назад
@@lizzybeth6344 we koma kwani nimekuuliza we
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 2 года назад
@@scholamwasi2782 makasiriko ya nini shoga,ilo Ni swali ndio yoyote anaweza kukujibu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
@@lizzybeth6344 mambo
@mamananga2849
@mamananga2849 2 года назад
Alipelekwa hospital
@jesusislord9190
@jesusislord9190 2 года назад
mpo south Africa alafu mnaenda south Africa.... makwele kwele.....bafuna ungena..mzanzi...bayege
@marieunique3265
@marieunique3265 2 года назад
Can ya speak Azana? 🤣
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 года назад
😂😂🤣
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
Acha yakukute ni sawa mungu alikuwa anakulipa Kwa ulivokuwa unawakaba watu na Bado ile dhambi haijaisha na hata ukifa uliwazulumu wote lazima wachukue thawabu zako kama fidia yaan ni lazima wafidiwe dhulma ulizowafanyia Kwa hiyo we kaa ukijua siku ya hukumu lazima thawabu zako zichukuliwe na wafidiwe watu uliokuwa ukiwakaba na kuwazulumu kibaka mkubwa weee
@amossmabangotz2032
@amossmabangotz2032 2 года назад
Wewe Ndy Mungu au acha ukuma mbwa wewe
@fahadjinni5845
@fahadjinni5845 2 года назад
Hayo yooote kwa mungu ni sawa na punje ya mchanga , kama akiamua kutubu .......usihukumu watu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
@@fahadjinni5845 Kwan mi nimehukumu kuwa ataenda moton Mimi nimenukuu Hadith ya mtume inayosema kuwa siku ya kiama watu watakuja na swala watakuja na zaka na funga na Kila aina ya amali lakin alimzulum yule akamnyanganya yule mungu atakachokifanya dhawabu za huyu mtu mwema zitachukuliwa wafidiwe wale waliowazulumu hiyo ni hadithi ya mtume sio Mimi
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
@@fahadjinni5845 kiujumla Hadith mtume aliwauliza maswahaba je mnamjua mtu aliefilizika maswahaba wakajibu ndio SI ambae alikuwa na Mali ila akaondokewa na Mali yake mtume akawajibu hapana mtu aliofilisika ni mtu atakaekuja siku ya kiama Hali ya kuwa ana Kila aina ya amali njema kama swala zaka funga lakin alimzulum yule alimnyanganya yule ndipo mungu atakapochukua dhawabu za huyu mchamungu kuwafidia wale aliowazulumu na aliowanyanganya mtume akasema huyo ndio mtu aliefilizika atakuja na amali nyingi siku hiyo lakin atanyanganywa na wafidiwe wale aliowazulumu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 года назад
@@amossmabangotz2032 Kwa hiyo haijalishi kuwa ametubu au hakutubu ili mungu amsamehe ni lazima awaludishie aliowazulumu haki zao na kama haiwezekan au hawajui Tena inatakiwa akaitoe sadaka hiyo Mali ya kiwango alichozulumu. Kwa Niaba ya wale aliowazulumu maana yake hayo malipo ya hiyo sadaka watayapata wale waliozulumiwa na sio yeye tofaut na hivo hakuna nyia nyingine ya kujinasua
Далее
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
Team Spiderman True Or False Mask,nono #Shorts
00:37
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 21 тыс.