Тёмный

PASCHAL CASSIAN MAKONDA 

paschal cassian
Подписаться 1,5 тыс.
Просмотров 111 тыс.
50% 1

Iweni watu washukrani

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 129   
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Kaka uko juu👏👏👏👏👏👏👏👏alie kuzaa ww ajisifie huko aliko. Piga kaz shetan ameshindwaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 3 года назад
Heri amkumbukaye mnyonge , maana Bwana atamuokoa wakati wa shida. Mungu akukumbuke Makondà
@remyemily8111
@remyemily8111 4 года назад
Ooooooh!!!! Haleluyaaaaa! Nimefurahi sana kukuona tena Kaka angu casian, Mungu akukumbuke kiongozi wetu makonda kwa kazi kubwa uliyoifanya hakika kuna watu wameandaliwa kwaajili ya wengine
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 года назад
Paul Makonda Mungu Akubariki azidi kukupa kipaji zaidi japo wanaokupiga vita
@linahrobert4558
@linahrobert4558 4 года назад
Wewe ni jasiri Makonda, Mungu akukumbuke Makonda
@beatricelameck5739
@beatricelameck5739 4 года назад
Mungu atukuzwe milele na hata milele
@joycefudu176
@joycefudu176 2 года назад
Uliimba vizuri kaka, barikiwa na uishi miliele
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 года назад
Nishaamin kwmba mungu anamiujiza lkn umaskin kumbe umefa watu wengi wawe vilema,wapoteze maisha wkt mda utafka dahh
@denismwalukunga8686
@denismwalukunga8686 5 лет назад
Mungu aikumbuke sadaka yake aliyo ipanda kwa Casian hakika hukutupa tumeona mafanikio na juhudi za kuokoa uhai wa pascal zimefanikiwa Mungu abariki vyanzo vyako vya mapato na kazi zako
@toshaecha7313
@toshaecha7313 2 года назад
Yuna burudika mu Yesu jamani kupitia wimbo huu
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 4 года назад
haleluya usifiwe mungu uliye ludisha uhai wa casiani mungu azidi kukulinda
@markomgaza5382
@markomgaza5382 3 года назад
We ni Mtumishi wa Mungu aliyehai atarejesha Hakuna analoshindwa
@judithyamungu2080
@judithyamungu2080 4 года назад
Asante mungu kumponya shukrani kwa makonda mungu akubariki
@geraldinagaiomuse6977
@geraldinagaiomuse6977 11 месяцев назад
Penda nyimbo zako sana
@ruthuwase7345
@ruthuwase7345 2 года назад
makonda Barikiwa na Mungu
@toshaecha7313
@toshaecha7313 2 года назад
Mungu mlinde mrumishi wako
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 11 месяцев назад
Mungu amurinde shujaa wa mungu.
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 лет назад
Sifa utukufu kwa Mungu wetu wa mbingu Asantee Sana Mungu kumrudishia mtumishi wako kwenye huduma yake azidi kukuimbia kwa roho na kweli Ameen
@susanlune240
@susanlune240 5 лет назад
Ainuliwe Mungu alieye juu!!glory and honor is before Him Alpha na Omega barikiwa sana mtumishi makonda na wote waliosimama na kuugua na mtumushi katika shida huo ndo upendo ,yaani nikiona mtumishi amesimama katika hali yake yakawaida Jamani utukufu Kwa Mungu,moyo wangu unabubujika Kwa Furaha kuu kweli Mungu ni Mungu amini
@neemamsanga253
@neemamsanga253 Год назад
Mungu 🙏 atamkumbuka maana nisadaka ya moyo,.
@jacksonadamson2724
@jacksonadamson2724 3 года назад
Naomba nabayako mutimish
@stelasasala5972
@stelasasala5972 5 лет назад
Daaaaa aise ujue Mungu yupo jmn? Shauri ya yule asiyeamini. Hakika ntamsifu Mungu mpaka mwisho Wa maisha yangu. Ahsante Mungu kwa kumrejesha kaka yetu km awal hakika ww ni Alfa na Omega.
@luizakilagwa4389
@luizakilagwa4389 5 лет назад
Munguakubaliki makonda kwamoyo wahuluma wako
@samiahjuma2618
@samiahjuma2618 3 года назад
Ubalikiwe mtumishi
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 5 лет назад
namtukuza MUNGU pamoja nawe hakika MUNGU alikuwa kazin,hongera kwa mke mvumilivu nimejifunza kitu
@spinicahmoraa2338
@spinicahmoraa2338 4 года назад
🙏🙏🙏thank you God.sasa niko na furaha nimeona umepona.Endelea kumtumikia Mungu
@pastorymaneno2744
@pastorymaneno2744 3 года назад
Makondo Yuko safi
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 4 года назад
Sauti ya upako wa bwana!!
@goodluckjohnathan8082
@goodluckjohnathan8082 5 лет назад
Hakika Mungu ni mwaminifu mpaka sasa umesimama tena kaka yetu paschal. Yesu aliponya kumi lakini aliyerudisha shukurani kwake ni mmoja tuu na akaulizaa waliponywa kumi kenda wako wapi?? paschal umefaya jambo la kheri Sana kuwa mmoja wa yule aliyerudi kushukuru. Shukhrani zako ziwafikie woote waliosimama nawe kwa michango na hata kwa sala pia kaza buti na hongera kwa kulishinda jaribu.
@194summer
@194summer 2 года назад
Mwimbie tena
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 5 лет назад
Dua nyingi kwake . Makonda .. mungu amuepushe na husda za wanadam . Na mungu amubariki daima milele
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 2 года назад
Amen barikiwa sana Kwa kumkumbuka mchango wake mkuu wamkoa wetu mpendwa hakuna mkuu wa mkoa kama yeye mtu Alie jaa hofu ya Mungu
@tumainjoseph9561
@tumainjoseph9561 5 лет назад
Ashukuruwe Mungu baba yeye ajuae mwanzo wa mwanadamu na mwisho wake hakika tumemuona
@estheremmanuel7067
@estheremmanuel7067 2 года назад
Nakondà MUNGU akukumbuke milele
@isayalaizer1367
@isayalaizer1367 4 года назад
Ubarikiwe
@zainabubalama4622
@zainabubalama4622 4 года назад
Kweli kabisa Mh Paul Makonda anapigwa vita Sana. Mhe Paul Makonda Mungu atakusimamia Inshaallah
@angelmoses195
@angelmoses195 4 года назад
Jina la Bwana lihimidiwe hakika nmefurahi Sana kupona kwako mtumishi
@grnifamgeni1309
@grnifamgeni1309 4 года назад
Mungu anuliwe kwauweze wake
@tulinavemgeni3523
@tulinavemgeni3523 4 года назад
Mungu ameweka Siri yake ndani yako, na shetan anataka kukupoteza na Mungu hakuachi kamwe
@derickkatto9944
@derickkatto9944 4 года назад
Kweli ni vyema kutoa shukurani...makonda barikiwa Sana kujua kwamba watumishi wana Vita wachache wa kujua hayo.
@salmajuma4015
@salmajuma4015 4 года назад
Mashaallaah hongera kakaangu kama umeona bas NA mm iko siku nitapona 🤲🤲
@bucumidelphine2299
@bucumidelphine2299 4 года назад
Kweli Mungu hamtupi mja Wake nafurahi sana kw kusikia tena sauti ya huyu kaka Mungu mwema. Sifa zimludie Mungu
@jonathanhizza5765
@jonathanhizza5765 5 лет назад
Hakika Mungu ametenda Rc Makonda Mungu ameona haki huinua taifa blessed Pascal Casian
@doricamongateko4886
@doricamongateko4886 4 года назад
Watu wengi huona mapungufu kriko mema Makonda RC wa Dar es laam Mungu akrinde
@kassebo
@kassebo 2 года назад
Ameeeee
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 5 лет назад
Mungu ni mwema ashukuriwe Mungu aliye hai🙏🏽🙏🏽
@analazakayo6130
@analazakayo6130 5 лет назад
Hakika Mungu ni mwema kwetu!Nimejifunza jambo kutoka kwako kaka Pascal.. Barikiwa sanaaa Mh Paul Makonda
@rajabmsham7299
@rajabmsham7299 4 года назад
pongez kwa makondo alie fanya uwe hai mpaka sasa ndungu yet ubalikiwe sanaaa
@ayetafatima617
@ayetafatima617 5 лет назад
Nimejuwa sasa wewe ninja mungu
@tabufredmakunga4769
@tabufredmakunga4769 4 года назад
Mungu Upo nashukuru kwa kumponya🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎶🎶🎶 kaka yetu pascal cassian🙏🙏🙏🙏🙏
@maryathony358
@maryathony358 3 года назад
Ooh Mungu akutunze mtumishi
@elizasule4944
@elizasule4944 5 лет назад
Jamani Mungu ambariki sana mke wake kuwa mvumilivu kipindi chote cha kuumwa mme wake kiukweli alikuwa na upendo wa Agape,
@maryrobi4582
@maryrobi4582 4 года назад
Wimbo mzuri sana wenye mafundisho Mungu akubariki kaka
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 года назад
Hakika kipawa ukijua kukitumia hugeuka kuwa pesa
@castrosiame6390
@castrosiame6390 5 лет назад
Hakika Mungu atabaki kuwa Mungu jalibu kubwa mno kaka hakika niliogopa sana
@cellstyle4926
@cellstyle4926 5 лет назад
❤🙏🙏🙏❤💪
@nehemiambembela442
@nehemiambembela442 5 лет назад
Hakika mtumishi #pascal Mungu atukuzwe
@mariammwambungu3174
@mariammwambungu3174 4 года назад
Mungu akubariki mh.mkuu wa mkoa dar Makonda
@queenmonah7300
@queenmonah7300 3 года назад
Mwaniy
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 лет назад
Makonda mungu akuweke.Mama makonda jisifie mama mungu kakupa chombo
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 5 лет назад
Nimeamini mungu yupo ukimuomba anajibu sawa na uhitaji wako barikiwa sana kwa kurudisha shukran kwake
@avelinaswai7572
@avelinaswai7572 5 лет назад
Mungu ametenda kaka umepona .
@nurudovino288
@nurudovino288 5 лет назад
Mungu ambariki zaidi makonda maan hakika Mungu anakusudi
@lilychepkoech3486
@lilychepkoech3486 5 лет назад
When you fumble or fail or feel rejected,the bible is there to remind you that you are loved and accepted no matter what, up to that far is the powerful hand of GOD.AMEN
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 5 лет назад
Yes, endeed
@lilychepkoech3486
@lilychepkoech3486 5 лет назад
@@samsonnzisabira768 thank you sir.
@elizabethnkinda9003
@elizabethnkinda9003 5 лет назад
Amen,ubarikiwe kaka endelea kumtukuza Mungu
@naomikakingo7070
@naomikakingo7070 5 лет назад
Mmmmmm kweli MUNGU hana upendeleo nimejifuza kitu kwako
@ayubunyagawa970
@ayubunyagawa970 4 года назад
Ubalikiwe
@sundimanala9123
@sundimanala9123 5 лет назад
Asant mungu kwa ajiri ya mtumishi wa mungu kwa kupona kiufupi nimefurh sana kuona tena ak8kutukuza ww bariki familia yake
@calebmchamungu4350
@calebmchamungu4350 5 лет назад
Mimi ni Kenya na sielewi maana ya makonda.mungu na ahimidiwe milele
@rechojohn7549
@rechojohn7549 5 лет назад
Pole makonda ni jina la mtu
@calebmchamungu4350
@calebmchamungu4350 5 лет назад
Recho John,na mbona anaimba makonda saaana...asikubali binadamu achukue utukufu wa Mungu
@cellstyle4926
@cellstyle4926 4 года назад
@@calebmchamungu4350 amen🙏🙏♥️
@mussalameck4897
@mussalameck4897 3 года назад
Amena
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 5 лет назад
Unakila sababu yakumwimbia wimbo makonda. Ila kuna nyumbu zaufipa zitakuja zitawabeza nakusema mlipanga ili mpate kiki kwatatizo lako. Mungu awalaani misukule hawa.
@mwikalicclia6145
@mwikalicclia6145 5 лет назад
Amina barikiwa sana Mungu akutie nguvu kwa ajili ya kazi ya Mungu
@godfreyibrahim1787
@godfreyibrahim1787 4 года назад
mungu ainuliwe kwa jina lake kaka mungu akubariki
@khadijaissaissa5824
@khadijaissaissa5824 5 лет назад
Mungu ni mwema 😭😭😭👏🙌😘😘😘
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 5 лет назад
Yes,,,,,sasa ingia kazini Moto ni uleule
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 5 лет назад
Cassian nafurahia sana ninapoona umepona kabisa niliguswa sana na yaliokupata,Mungu Wa mbinguni apewe sifa nyingi kwa kukuponya.Samson Niko Burundi
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 лет назад
Damu ya Yesu kristo izidi kukufunika kila iitwapo leo Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gracechristopher237
@gracechristopher237 5 лет назад
Well done Paschal,God bless you RC Makonda
@josephsimiyu5211
@josephsimiyu5211 4 года назад
Ubarikiwe ndugu Pascal
@bahatimalabeja5141
@bahatimalabeja5141 5 лет назад
Nimeamini Mungu yupo
@chandrnyoeliakim1006
@chandrnyoeliakim1006 5 лет назад
Uwiiiii Aminaaaaaas
@priscajustine2183
@priscajustine2183 3 года назад
Mungu aweza yote amen💪💪
@lukasnjako8505
@lukasnjako8505 5 лет назад
Mti wenye matunda haukosi kupingwa mawe ,,MAKONDA
@magdalenamohamed989
@magdalenamohamed989 5 лет назад
Mungu wa mbinguni ampe miaka kama yote mkuu wa mkoa wa dar nimehis machozi mungu aendelee kukutunza pasco kasiani
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 5 лет назад
Mungu mwema Sana
@godlistenkavishe6898
@godlistenkavishe6898 Год назад
Paschal cassian makonda
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 5 лет назад
Haijalishi wanadamu wamesema nini..Mungu ndiye msemaji wa mwisho....
@dominickdebolh2589
@dominickdebolh2589 5 лет назад
Mungu mwm pia nimeona ukuu wa Mung pia nimeipenda imani yako
@safinanyongole9206
@safinanyongole9206 4 года назад
Ameen
@elishaelisha3832
@elishaelisha3832 5 лет назад
Mungu akubariki sanaaa Najifunza sanaa kwako kaka
@savelaagostino5840
@savelaagostino5840 5 лет назад
Asante mungu
@renatusrwazo7421
@renatusrwazo7421 4 года назад
Ubarikiwe Sana
@metrinelwangu4670
@metrinelwangu4670 5 лет назад
Yes mungu lazima akuletee mtetezi
@kelvinwilliam3595
@kelvinwilliam3595 4 года назад
Sad kaka
@kelvinyesaya4328
@kelvinyesaya4328 4 года назад
God bless
@omanhamra9153
@omanhamra9153 5 лет назад
Hakika Mungu azidi kumtumia makonda
@philipinanicolaus1910
@philipinanicolaus1910 5 лет назад
Mungu akubariki kk uendere nakz zako
@mumanyimulyowa8361
@mumanyimulyowa8361 5 лет назад
Amina nawatakia kila la kheri
@gantilleirumvise3983
@gantilleirumvise3983 5 лет назад
JINA LA MUNGU LITUKUZWE MILELE NA MILELE
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 5 лет назад
God bless you
@annajogambangara434
@annajogambangara434 5 лет назад
Amen kaka ubarikiwe
@mbarikiwalazarowatisa2086
@mbarikiwalazarowatisa2086 5 лет назад
Amina sana jamani
@samwelmadaraka1521
@samwelmadaraka1521 5 лет назад
Amina
@zakayosilas6963
@zakayosilas6963 5 лет назад
Ameeee amusaidie kweli
@ayetafatima617
@ayetafatima617 5 лет назад
Ni mwaminifu kwa bwana
@elizasule4944
@elizasule4944 5 лет назад
Hv jamani amepona paschal au ni wimbo wa mda huu
@warriorgamer3607
@warriorgamer3607 4 года назад
Perfect beat
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ#cat
00:19
Просмотров 917 тыс.
NATAMANI KUMWONA BY PASCAL CASSIAN
6:37
Просмотров 76 тыс.
MAANDAMANO HALI YACHAFUKA, LISU AFATWA NA POLISI KWAKE
17:17
Baba Levo na Mwijaku
6:35
Просмотров 174
MWAMPOSA VIDEO OFFICYALY PASCHAL CASSIAN
11:53
Просмотров 112 тыс.
PASCHAL CASSIAN LAZIMA USHINDE  VIDEO DEMO
8:35
Просмотров 39 тыс.
БЕЛКА РОЖАЕТ#cat
00:19
Просмотров 917 тыс.