Тёмный

RC MAKONDA AWATAJA WACHUNGAJI FEKI / MWAMPOSA ANATAJA JINA YESU KILA MARA 

Ngasa Tv
Подписаться 94 тыс.
Просмотров 1,1 тыс.
0% 0

Akizungumza na maelfu ya Wananchi wanaohudhuria Kongamano kubwa la Operesheni Washa Taa linaloratibiwa na Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amewataka watanzania kuwakataa watu wanaotumia Neno la Mungu na mavazi rasmi ya Viongozi wa dini katika kuwarubuni Watanzania na kujinufaisha kupitia maandiko matakatifu.
"Ukimuona mtu yeyote mwenye jina au nafasi yoyote ya kidini lakini umaarufu wake hautokani na kazi ya mikono ya Kristo, hautokani na kazi za Mungu na za neno la Mungu, jua huyo ni Kiongozi wa dini feki. Nikupe mfano unielewe, Apostle Mwamposa hapa kamtaja Yesu Mwanzo mpaka mwisho, mmejaa hapa mnashuhudia kazi za neno la Mungu kupitia kinywa cha Mtumishi wake aliyepakwa mafuta kwaajili ya nyakati hizi, Heshima aliyonayo ni ya kufanya kazi ya Mungu ambayo sisi ni mashuhuda wa Matunda na maandiko yanasema mtawajua kwa matunda yao." Amesema. Makonda.

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@FlorenceObed
@FlorenceObed 2 часа назад
Makonda umenifurahisha. Nilikuwa nawaza ni kwa nini din hazisimami kuomba kwa ajil ya hii nchi?Makonda ishi milele.MunguAlikutuma ww ni mtume. Naamin unastahil kuitwa mtakatifu na mtume. Praise the Lord.
@JfourHumbi
@JfourHumbi 2 часа назад
Ahhh 😢 kwahiyo watu wakitekwa tusipinge kelele kujitetea tukae kimya tuombe mungu mnatuua huu nipuuzi kutumia jukwaa la dini kutukana watumishi na kuogerea siasa
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 2 часа назад
Hujui
@elishampoki8751
@elishampoki8751 2 часа назад
Nikweli kabisa
@hashimmkongo3352
@hashimmkongo3352 2 часа назад
Kaka tumpe kanisa Kila idara yupo sawa jamn....
@Selemlaki132
@Selemlaki132 2 часа назад
Makonda anapiga injili
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 часа назад
MAKONDA UPEWE MAUWA YAKO WACHUNGAJI NA MAASKOFU WAMESAHAU KUSOMA BIBLIA NA KUKEMEA USHOGA LAKINI MSTARI WA MBELE KUIPINGA SERIKALI PALE MASLAHI YAO YAKIGUSWA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@JfourHumbi
@JfourHumbi 2 часа назад
Hakuna masilahi watu wanakataa kutekwa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 часа назад
@@JfourHumbi TUANZE NA SACCOOS NA MAPALOKO WANAMALIZA MAALBINO NA WAGALATIA KIMYA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@elishajilungu1055
@elishajilungu1055 2 часа назад
Ila nipoint lakini
Далее
А вам, слабо?
00:22
Просмотров 51 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 345 тыс.
LATRA YAFUNGIA MABASI YA KATARAMA
8:03
Просмотров 29 тыс.
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Просмотров 87 тыс.