Тёмный

PASS MILLION: ELIE MPANZU na LIONEL ATEBA SIMBA HII MAJI WATAITA MMAA/ MO DEWJI KAAMUA 

M15  TV
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@drallan6879
@drallan6879 26 дней назад
Big up pass million;waamuzi watutendee Hali;
@selemanikassamba4850
@selemanikassamba4850 26 дней назад
Heading anatajwa Manula, maongezi hayamgusi hata unyoya😀 tuna waandishi kweli hapo?!!
@emanuelyngailo6807
@emanuelyngailo6807 26 дней назад
Nakukubali ila unazingua na unakera kutajataja Samia mara Mama kwani anacheza namba gani na amesajiliwa lin
@mussasaid-rd8nu
@mussasaid-rd8nu 28 дней назад
Kwa mpanzu acha kutuongopea
@edsonrutakoba3994
@edsonrutakoba3994 28 дней назад
Kweli huyu mbabaishaiji anaanza kusifia mambo ya mama katika issue za mpira wa simba
@JosephMalikawa
@JosephMalikawa 23 дня назад
Mamluki ni wengi sana waliopandikizwa ndani ya timu ya simba.
@thabitmgeni8775
@thabitmgeni8775 24 дня назад
Mbona mnanichanganya kuhusu Mpanzu
@alexjacobo5096
@alexjacobo5096 27 дней назад
Zungumzia Simba na siyo Samia ndugu yangu
@user-bc5sd9qv8w
@user-bc5sd9qv8w 28 дней назад
Hapo uwakika mpanzu akija tutatesa sana
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 28 дней назад
Kwa kweli mimi naona bado kuna mambo hayako sawa, tatizo letu maneno ni mengi sana, mambo yakibadilika tunaanza kuongea tofauti
@AmideusInyoma
@AmideusInyoma 15 дней назад
hivi kweli mpanzu yupo simba?
@DevidMarhias
@DevidMarhias 28 дней назад
Tunaongea mambo ya mpira unaleta hapo mambo yamama acha ujinga broo zungumzia simba yetu siasa tupa huko
@EphraimKitomary-og4cr
@EphraimKitomary-og4cr 28 дней назад
Mbona hamnyooshi mambo ya Elie Mpanzu??????
@user-sm2cn4zi3e
@user-sm2cn4zi3e 22 дня назад
Mpaka tumwone mpanzu uwanjani,lakini kama si hivyo hacha kuturukisha roho jujuu maana mpanzu tunamkubali sana! Kwa hiyo tuwe tunaambiwa ukweli bhana!!
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 28 дней назад
Acha mambo ya siasa, mama wanini hapa hatutaji
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 28 дней назад
Ongea Mambo ya mpira, achana mambo ya mama, mama hapo, Kama wewe huna mama yako nyumbani nenda kalale mpumbavu
@thabitmgeni8775
@thabitmgeni8775 24 дня назад
Simba ndio izungumze mama usimtie.dogo
@SamwelJohn-w9f
@SamwelJohn-w9f 28 дней назад
Uwakika
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 28 дней назад
Mpanzu haji labda dirisha dogo
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 28 дней назад
Na nyie waandishi wa habari wa hovyo,unamhojije mtu ambaye hana logic unamleta kwa watu, sisi hatutaki comedy.
@MichaelRobert-l6w
@MichaelRobert-l6w 27 дней назад
Mpanzu kweli Simba wamemzajili
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
Просмотров 2,1 тыс.