Тёмный

PATANISHO : GIDI SI UMCHUKUE! WACHA KUNISUMBUA 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 417 тыс.
Просмотров 110 тыс.
50% 1

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghost
Subscribe to RadioJambo RU-vid - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 285   
@PaulineWanyonyi-n9l
@PaulineWanyonyi-n9l Год назад
Pole sana Gidi,hii kazi ni. Ngumu. Lakini. We as. Our. Fans tunawapenda sana, and much appreciated ❤❤,💪💪💪
@delphine-o9d
@delphine-o9d Год назад
Pole sana bwana gidi bt you're really strong keep up uyo kijana ni mjinga na he will regret later don't judge him
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Год назад
Khai kutoka Leo nimejua masomo ni muhimu na nimeapa ya kwamba nitasomesha mtoto wangu kwa Hali na Mali so help me God
@lilianonyango5417
@lilianonyango5417 11 месяцев назад
Amen 🙏
@floramacheva5855
@floramacheva5855 11 месяцев назад
Aki kuna wanaume wengine walai..... Mungu tu ndio Anaweza kutatua mambo yao 😢😢😢😢
@lubs590
@lubs590 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂kimewaramba leo secondly huyo jamaa hana hata akili ya kuzaliwa 😂😂😂to the lady tafuta njia upate mtoto move on linda watoto Mungu atukupa ubavu wako and for my heroes gidi na coaches hio ni kawaida hukuna njia ndefu yenye haikosi kona😂😂😂kesho mutaweza 😂😂 love you guys for your good work
@laumoshi9419
@laumoshi9419 Год назад
Dada sana dada ninachokushauri huyo mwanaume hakuna ndoa kosa ulilofanya ni kuacha mtoto .Mimi nilitoka kwa mwanaume niliondoka na watoto wangu 2 mmoja alikuwa anaingia darasa la tano mdogo alikuwa anaingia la pili.Nitafuta tu uhamisho bila yeye kujua na nikasema naenda home kula kirismas ndiyo mpaka leo ukiona maisha hayaendi kuwa mpole fanya mambo polepole .hakuna mwanaume utakaemwambia naondoka na watoto akakubali
@KenyanUnicorn
@KenyanUnicorn 7 месяцев назад
Weeh! This has made my day! Why would anyone want to be with a crude man like this??
@josephngola
@josephngola 6 месяцев назад
I think Winfred desperate to join mtoto wake mdogo
@simenyasikhulu
@simenyasikhulu 11 месяцев назад
Pole sana Gidi na Ghost. You have a nible calling ya kuoatanisha waliokosana. Kazi hiyo si rahisi wakati mwingine.
@maureendama1395
@maureendama1395 Год назад
Nilitafuta hii patanisho Jana nikakosa but finally, but poleni gidi na ghost kwa kazi ngumu kaa hii
@christinmiloyo3458
@christinmiloyo3458 Год назад
Ati unapenda 😢😢mwadhani kuja Nairobi tu hustle baby girl
@gregoryisabwa5553
@gregoryisabwa5553 Год назад
Hahaha This one will be goated bana. Leo Gidi amepata pwaguzi 😂 😂
@bensonnoel3777
@bensonnoel3777 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@lyndawafula3940
@lyndawafula3940 Год назад
Na ni ukweli Benjamin hakuenda shule. Maaa! This is hard small. 😂
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 Год назад
Much appreciation from uganda Gidi kweli ni changa moto sana nothing is easy anyway some that man he don't have respect imagine let that lady be patient God with give her good husband vile huyo mwanaume anaongea jamani sijui ana vuta bangi ana megu ya bangi coz hajieshimu ata in public
@augustinekioko2815
@augustinekioko2815 11 месяцев назад
You guy do good work 💪💪
@georgeobungu6153
@georgeobungu6153 Год назад
Poleni sana ndugu zangu 😂😂😂,,,, Gidi pole,,,, the guy is under the influence of something very very strong
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Год назад
jipe moyo Hakuna kazi haina changa moto musichoke👍👍
@lelahope4
@lelahope4 Год назад
Education is important
@faithkilonzo01
@faithkilonzo01 Год назад
immaturity at top notch .hawa ndo watu mnazaa nawao 😏😏😏😏😏
@MelabMayama
@MelabMayama Год назад
The lady needs the adviser bcoz love nowdays have eye But yake ni blind Mimi siwezi hata better single mother that toxic marriage
@biwottmaxy5411
@biwottmaxy5411 11 месяцев назад
Pole Gidi hii si kazi. Mimi hii siwezi fanya aki
@EliNaibei-u3o
@EliNaibei-u3o 11 месяцев назад
Aky Gidy minapotia mambo mengi mnatusiwa mnakejeliwa lkni muwe na moyo wa kufanya kazi na mungu atawabariki
@dvd1978
@dvd1978 Год назад
This lady needs someone support. The man is rude .
@juliusmoga4340
@juliusmoga4340 7 месяцев назад
This is why we must educate our daughters.
@eldahmakori5686
@eldahmakori5686 Год назад
Ww mwana dada endea mtoi urudi kwenu. Mungu atafungua kwengine
@holyjoemusiq2202
@holyjoemusiq2202 Год назад
Huyu ni mjinga sana....
@rodahmagoma7098
@rodahmagoma7098 Год назад
Huyu mwanaume jeuri gidi, nakwambia mwanadada a move on, hata Mimi ni victim. Gidi, tutaongea simu moja.
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro 11 месяцев назад
The moment u find yourself with immature man ..imagine the type of men we women deal with everyday🙃
@janemwangi317
@janemwangi317 Год назад
Gidi kimekuramba Leo😂😂,pole akii
@Mukavana138
@Mukavana138 Год назад
Hii ilifanya hadi nikamfeel gidi walai yenyewe kazi ya utangazaji sio rahisi inaitaji uwe na roho chuma😢but we love you all guys #gidi#ghost 😊
@wanjalaisaac6338
@wanjalaisaac6338 11 месяцев назад
Elewa huyo jamaa hakuenda shule.. Anyway I love your work @Giddy and Ghost.
@linahkery676
@linahkery676 Год назад
From tuko nimeland hapa juu nilishangaa nani huyo ametusi Gidi😅 na huyu msichana anataka kurudi wapi surely wueh😢
@3D4FUN
@3D4FUN Год назад
Pole sana bwana Gidi,hapo ni ngumu
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 11 месяцев назад
When the marriage is forcused Inthe name of mtoto.. Acha nisugue haman nikiwalea watoto wangu, kama Mungu alipata I will definitely get my rib the first hell on earth is a grieving marriage 😣 halafu emisatsa emiluyia chiayoma amakosi😅😅
@b.3940
@b.3940 Год назад
Wah! Benjamin ana hasira kali kuliko Ruto na hakusoma kama Ruto.
@andrewsimiyu5645
@andrewsimiyu5645 Год назад
Noma aky
@faithnyambura-fo7fm
@faithnyambura-fo7fm Год назад
Leo kimewaramba jameni sema Ghost kuingiza baridi😂😂😂.. poleni sana Gidi na Ghost kazi ngumu kweli.
@janeajema2603
@janeajema2603 Год назад
Wiuuuu that man is rude na niwa bagi. The woman she's stupity wacha mginga aende.
@paulysutsiey649
@paulysutsiey649 11 месяцев назад
She's very stupid and she doesn't need advice. She'll do what her mind tells her.
@iqtarab535
@iqtarab535 Год назад
Enyewe Benjamin hakusoma😂😂😂😂 thinking capacity is low , mrembo waja kujiforce kwa NDOA kuna wenye wako na 5 kids single 🙄🙄🙄
@janetmartinESQ
@janetmartinESQ 10 месяцев назад
Honestly am crying for the baby.
@yvonnenjeru2599
@yvonnenjeru2599 Год назад
Huyo mwanamke ajifanye mjinga aende achukue mtoto arudi kwao,huyo mwanaume ni mjinga sana
@johnsonwambua8937
@johnsonwambua8937 Год назад
😅😅
@paulysutsiey649
@paulysutsiey649 11 месяцев назад
Hata mwanamke ni mjinga. Seems amefanyiwa worse, if he can talk like this on live radio then what can he do in secret.
@lucymwichigi3290
@lucymwichigi3290 10 месяцев назад
​@@paulysutsiey649sio mjinga ni kuwa desperate
@maohmdghg8398
@maohmdghg8398 Год назад
Waaaah 🙆🏽‍♀️ Gidi kunywa soda upoeshe koo this lady should move on ata kama mulisema ati mnaforce issues hii apana live from south arebia 😢
@rosekazira5356
@rosekazira5356 Год назад
😂😂😂😂😂😂 Benjamin ni chizi kweli
@lilian2660
@lilian2660 Год назад
Hayuko serious
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y Год назад
ATI MWANAMKE NI WANGUUUUU!!!!!!! WAZIMUUUUUU!!!!! BOSSSSSS
@Mrambassador001
@Mrambassador001 11 месяцев назад
Huyu jamaa ako sawa kabisa, I support him
@petermwenda4227
@petermwenda4227 Год назад
You have been supporting ladies for long. Wacha ulabwe sasa.
@EricAbega-n1e
@EricAbega-n1e Год назад
Ukweli Gidi mda mwingi unatetea wanawake saaana.Kumbuka pia wewe ni mwanaume pia kwako hakuko sawa
@lilian2660
@lilian2660 Год назад
🤣🤣🤣
@laumoshi9419
@laumoshi9419 Год назад
Pole sa n a Gidi napenda napenda kusikiliza patanisho ila hi ya leo imekuwa mbaya huyu msichana afwate sheria achukue mtoto wakie.Mimi ushauri wangu kwa wamama ukiondoka kwa mwanaume kama una mtoto hajamaliza miaka 7 usimwache
@emilysawayi5787
@emilysawayi5787 Год назад
​@@EricAbega-n1ekuko sawa
@susanndungu7293
@susanndungu7293 Год назад
​@@EricAbega-n1ekama wanajua kwa Gidi hayuko sawa mbona wapeleke issues zao patanisho
@patrickmbugua9252
@patrickmbugua9252 Год назад
Enyewe kimekuramba, west land na kajiado yote ni Nairobi 😂😂😂😂😂😂😂
@PetronelaGidion
@PetronelaGidion Год назад
Pole sana gidi wetu but unasaidia watu wengi sisi tunakupendaa❤gosti we love you moreee kicheko chako ni🔥🔥🇹🇿🇹🇿
@moseswekesawakina6641
@moseswekesawakina6641 5 месяцев назад
thi's the man
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 11 месяцев назад
Watching live from Saudi Arabia 😂😂😂😂 Winfred seems to be desparate
@JamaicahPiusNthongoni
@JamaicahPiusNthongoni 10 месяцев назад
😂
@ericmogambi5566
@ericmogambi5566 11 месяцев назад
Kiburi ya upuzi
@luxh254official5
@luxh254official5 Год назад
Never mind every thing has a challenge
@EverlineNyanchama-z3k
@EverlineNyanchama-z3k Год назад
Huyu mwana dada namuomba tu asirudi kwa hiyo doa hata kidogo mutoto atamutafuta tu akiwa mukubwa
@humphreyarumba6927
@humphreyarumba6927 11 месяцев назад
❤😂Best patanisho ever
@josephmakau9340
@josephmakau9340 Год назад
Kibe graduate's 👏
@estherbeiby8792
@estherbeiby8792 Год назад
😂😂😂i have waited for this patanisho Acha Tu 😂😂😂
@ochiengmakiri731
@ochiengmakiri731 11 месяцев назад
Hii nayo Ni Kali.. yaani Mara nyingi unaachiwa wanawake Gidi. Si uko na wengi sana unigawie.. Heheheeeee
@Usercintahcin
@Usercintahcin Год назад
Pole gidi,mwanaume Hana haya uyo
@isintajonathan195
@isintajonathan195 Год назад
Pole Gidi na Ghost mulei hii kazi ya patanisho ni ngumu sii vizuri wasee wawatusi
@paulysutsiey649
@paulysutsiey649 11 месяцев назад
They say women love toxic men today I have proved it.
@stardaija256
@stardaija256 11 месяцев назад
Thus my guy🔥🔥🔥🔥🔥
@rosenabwire4994
@rosenabwire4994 11 месяцев назад
For sure let couples handle their issues alone
@samueladalaomuyangu4282
@samueladalaomuyangu4282 11 месяцев назад
Nani amepiga simu....Ni mmoja wao
@paulysutsiey649
@paulysutsiey649 10 месяцев назад
Na wakiuwana we start asking why were they not seeking help.
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 10 месяцев назад
Alafu wakiumizana ndio utasikia mbona hawakutafuta usaidizi alafu kuna watu wengine hata mkikaa na yeye kuongea hawasikii kbx ni must utafute usaidizi ila wengine huwa hawasikii kbx
@rosendunge4217
@rosendunge4217 Год назад
Pejaminiii pejaminii nimekuita malaa ngapi peja ukirabwa usiletee gidi ujinga 😂😂😂😂
@mosesouma7118
@mosesouma7118 Год назад
Huyu ameskiza Kibe sanaa😂😂
@millicentmukoya1292
@millicentmukoya1292 Год назад
Wanaume waluhya wanakuwanga na mambo especially wenye wako na mentality ya ushago wacha tu🤣🤣🤣
@davidotieno5773
@davidotieno5773 Год назад
😂😂😂😂😂
@winfrednzyoka7300
@winfrednzyoka7300 10 месяцев назад
Awa wanawake wajinga ivo utokaga wap kubembeleza mwanaume wah
@silviachebet4136
@silviachebet4136 Год назад
Napenda vile nmekuwa consistent .mkue ivoivo
@lamecklevi6053
@lamecklevi6053 Год назад
Hii ni ngumu kwakuwa aliichagua mwenyewe acha apambane nayo😂😂😂 from Tz
@Mariah17354
@Mariah17354 Год назад
Go get your child Mama and run
@MouriceAswani-ff3li
@MouriceAswani-ff3li Год назад
Waiting for episode 2 of the same
@HusseinHussein-pt8mr
@HusseinHussein-pt8mr 11 месяцев назад
Ako kwa nyumba ya changaa na kuna mtu anamchocha
@harrietnthama7200
@harrietnthama7200 Месяц назад
Ukweli😂😂😂😂😂
@theophilusmatthew6592
@theophilusmatthew6592 Год назад
Watching live from mesopotamia
@solomonwangondu2870
@solomonwangondu2870 Год назад
Where is this?
@eyang.3175
@eyang.3175 11 месяцев назад
Gidi..mambo ya watu wana share bed usiingilieeeeee
@RuthWanjiku-ww8rh
@RuthWanjiku-ww8rh 6 месяцев назад
Tulikosana.na.mtu.kwa.miaka..tatu.hatujawai.patana.tena.nita.mpata.aje.anaitwa.herny.ogoR..Rambeka ❤
@dicksonondiba7351
@dicksonondiba7351 Год назад
illetracy ni kitu mbaya sana ................ ati sijui kiswahili
@clairclair6482
@clairclair6482 11 месяцев назад
Weee pia Mimi kuna relationship yenye najiforce nimeachana nayo kuanzia Leo staki kujuta🏃🏃🏃
@isintajonathan195
@isintajonathan195 Год назад
Roho ya Winfrey ni chuma jamaa ako na matusi but Winfrey bado anamupenda anataka kurudiana na yeye wueeh!
@lilian2660
@lilian2660 Год назад
Awache kuwa desperate hakuna maisha hapo
@isintajonathan195
@isintajonathan195 Год назад
@@lilian2660 yeah sure
@sportshow001
@sportshow001 7 месяцев назад
Knowledge is power this guy has nothing on the head
@Ceciliam82
@Ceciliam82 7 месяцев назад
Walai mmi nakuwanga brathe 😂😂 kuna situationship zingine kama hizi can never ever be mee eyyy
@debie2392
@debie2392 Год назад
😅😅 Education is important
@eliomundus
@eliomundus Год назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Mzalendo2295
@Mzalendo2295 Год назад
Is this the kind of man this lady anataka kurudia!! Young woman jipende kwanza.
@vansoham930
@vansoham930 Год назад
Chizi fresh
@sheilamutingu
@sheilamutingu 5 дней назад
Aty Banjamin hakuenda shule hajui kiswahili uweh 😹😹😹
@JanetRosesB
@JanetRosesB Год назад
Gidi umepewa bibi by fire by force 😂
@danasabnbwastetreatment.3102
@danasabnbwastetreatment.3102 7 месяцев назад
Wueehh!!
@rahema907
@rahema907 Год назад
Kuna bwana kweli hapa
@MeshackTete-xo9ri
@MeshackTete-xo9ri Год назад
Ng'ombe ni ng'ombe.
@beatricekwamboka3093
@beatricekwamboka3093 Год назад
😂😂😂😂 Benjamin ni mkora
@damariswangari7523
@damariswangari7523 Год назад
Na mpewe 'psychology allowance' wueehhh😮
@sylvia3999
@sylvia3999 Год назад
😢😢 msichana junga maisha yako , wacha akae na mtoto , nenda Saudi tafuta pesa ununue plot ,
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 Год назад
Huyu mtu ako rude n very illiterate..wewe Wilfred huyo mume wako waa kweli wapitia.Pole Gidi kazi yenu ngumu jamani😂😂
@bensonnoel3777
@bensonnoel3777 Год назад
Leo gidi ametiiiiii😂😂😂😂😂😂
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 Год назад
Very rude🙄🙄..Na bado Winnie anataka kurudi🙆🏽‍♀️
@isaacchumba
@isaacchumba Год назад
SAD
@Dogokanumba
@Dogokanumba 11 месяцев назад
Arsenal ❤
@peterbobbyfavored8082
@peterbobbyfavored8082 Год назад
Never force yourself where not needed... Free advice to all women if you find out that a man doesn't love you never force yourself cause you will end up hurt more and more ... There is an animal spirit in every man remember before Eve was created Adam lived with Animals... 😅😅
@njerifaith3620
@njerifaith3620 Год назад
😂😂Leo kimekupata Gidi,,,,, challenges za kazi,hajui ni watu wangapi umesaindia😂😂😂😂hii kenya.pole lakini
@silviachebet4136
@silviachebet4136 Год назад
Atleast alishasema hakusoma 😂😂😂😂 and it's evidence
@lilian2660
@lilian2660 Год назад
Ajielewi
@kathanjeable
@kathanjeable Год назад
Maasai akijifanya mjinga ni ngori. Anaanza kusema SUNJUI badala ya sijui...
@eunicetheuri5257
@eunicetheuri5257 Год назад
😂😂😂
@geoffreymarube1879
@geoffreymarube1879 Год назад
Hiyo ulikuwa unataka Mr Gidi na ghost siku ya leo duh huyo jamaa Bern
@binbenmartin3425
@binbenmartin3425 11 месяцев назад
Benjamin is Okay,,, he's just a student of Andrew kibe.
@linnynekesa
@linnynekesa Год назад
Benjamin komesha huo ukumbafu kwa wao nani huwa anawapatanisha?
@EverlyneKhayeli
@EverlyneKhayeli Год назад
Wwweh gidi gost magumu pole
Далее
The best patanisho ever
24:31
Просмотров 359 тыс.
PATANISHO : MIMI NISHAPATA MUME,,, JUST MOVE ON
21:34
Tubonge Bila Kiki. Dan Sonko (Mental Health Warrior)
54:25
PATANISHO : ONGEA KWA SABABU NAONGEA NA NG'OMBE
25:43
Просмотров 178 тыс.
Rafiki Yangu Analala Na Mke Wangu
12:57
Просмотров 57 тыс.
PATANISHO : MUME WANGU AMEKATAA KURUDI USHAGO
23:20
Просмотров 31 тыс.