Kabisa kamama mi Niko na wawili ata sifikirii kuolewa juu inanipea stress san ata mtu akiniambia anataka kunioa na watoi naona tuu ni ngumu😂napambana na watoi wangu,🥰
@@elizabethiradukunda1950Sio hasira Mimi siwezi jiembeleza Kwa mwanaume Na kwenda Saudi Ni free aki mimi Na mwacha ata Kwa Boulangeti siku hizi hatubembelezi wanaume
@@user-mo2gb2bc6qKama ndoa yako ili kushinda wachana na za wenyewe eti Saudi kwani unataka kila mwanamke wakikosana na bwanake akimbilie Saudi wacha mchezo Saudi itaisha siku moja utaenda wapi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Gidi unaharibu kabisaaaaaa et ulikuq umewekwa anyway hapa hakuna mapenzi a 25 year old boy and a32 year old woman hii ninkuwekwa ukweli sugar mummy 😢😢😢😢😢😢😢😢😢jamaa amemis kupewa vitu za free kama kulipiwa rent na kununuliwa food na kulipiwa bills
Tulisema ukizalia kwenu lea mtoto/watoto uko kwenu wakifikisha umri wa kujitafutia kama ukona haja na ndoa olewa ukiwa pekeyako sasa kukimbizana na wanaume inakufaidi nini kama umezalishwa ukiwa kwenu kama ni kuni pigwa ya kujifurahisha ukilea watoto sio rahisi kupata mwanaume atakulea na mtoto/watoto wako
Amen amen,Baba kambo ni mbaya kuliko mamakambo,juu Baba uficha bt mama kambo ataonyeshia Tu ni.mbays,Mimi ilifanya niseme wacha nilee Wana wangu nitaoleka nilifika ata 50 bt watoto muhimu, wasome kwanza
@@user-cg3vf2bl6b Kweli, bwana bado ata immotionally abuse watoto wa kabo. Wanaume huwa na dislike kubwa kwa watoto wa kambo kuliko wanawake. So, fikiria sanaaa na uwe makini, ikiwa watoto or mtoto wa kwanza si wa current husband.
Umri Zina tofautiana na pia siku hizi kuolewa ukiwa na watoto n shida sikiza maneno ya ghost n ya kweli tu gàidi amerudi nyumbani anataka kusadiwa Kama mtoi
Kweli kabisa. Ikiwa ni hivyo, atashiriki huko ushoga. Cz huko u tele, both frm walami* na waarabu + wale wana damu ya kiarabu. Sijui km ni genes/*damu zao huvutia mambo haya au vipi? - Yes, kila aina/makabila/... yana haya mambo. But wengine ni, zaidi.
Watu waache kupeana/kupata watoto before marriage hi ndo inafanya tunakuwa na street kids na wezi wengi in Kenya , inafikanga tu time Mtoto anakuwa resistance kwa step parent , personally siwezi oa mtu akona Mtoto , because hauwezi kuwa na freedom yakuathibu ata Mtoto ,azin huwezi rise Mtoto vile unataka ,,,,, the issue sio ladies but both ladies and boys ,
That's the truth most ladies don't want to hear as a single mother after kuzalishwa nikiwa kwetu niliamua nilee mtoto before ndoa ......14yrs down and God's willing my baby akichukua ID ndio nitaingia soko for now wacha nijifurahishe nikilea
@@humblegirlkwamboz not really ,,, my friend not unless you are not a kenyan otherwise Kenya sahi ata secondary almost 90% washafanya sex , azin sahi adi kiambia mtu you are a virgin inaka kitu funny Sana , mtu anakuona nikama hauko normal ,, na hizi sex ndo watoto wanapatikana
Aki uyo anae Cheka ananifanya ata Mimi nicheke😂😂 etiy ulishawai leta posa kwetu,,, Yani Mimi MAmbo ya baba wakambo ni magumu Sana kabisa zawadi nikwawote kweli Yani Bora niwe single wa
Giddy wacha kunichekesha bhana.Eti hujapeleka hata paka?Sasa unabagua watoto wa mke,je mke angekuta watoto wako akiwabagua ungefurahi?Geoff uache ulafiii.
Sikuizi wanaume wanatakanga kuishi kwa nyumba za wanawake na bado wakukontrol wakibuy vitu tamu ones awhile wanapika peke yao siku ya mboga wamekasirika wanatakanga kubembelezwa useless idiots.
That man should run and not look back, and then get a young lady to start life with, aachane na shosho. And no man can be comfortable with a woman with two kids.
😢😢😢is that idiot a human being? Surely ata Kama ni kuwa katili I find that guy more than stupid , immature, and inhuman, ,,,that lady pia akili Iko chini , unaekaje mwanaume kwa nyumba ? Bwana people are desperate for marriage apa inje ,maybe that's why that idiot is taking advantage yakutesa huyo mama na hao watoto ,but watoto watakapo kuwa wakubwa huyo jama atakipatapata , those kids watammaliza