Тёмный

PATRICK KANUMBA KUPATA WATOTO KWENYE UMRI MDOGO/KUOMBA PICHA ZA UTUPU KWA MPENZI WAKE 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 525 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

25 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 228   
@ashuramakerega8053
@ashuramakerega8053 2 года назад
kama Kuna mtu aliemuona Patrik sauti na sura inataka kufanana na kanumba agonge like twende pamoja
@sitisalum9547
@sitisalum9547 2 года назад
Ndio
@lonahkadikori5838
@lonahkadikori5838 2 года назад
Huyu jj anaingiza Pazia Kama Jemo lakini real name Ni Othman Njaidi
@sadasaid4408
@sadasaid4408 2 года назад
Kabisa jamni haaa
@sawasuleimanmwambungo9706
@sawasuleimanmwambungo9706 2 года назад
Kunyoa pia
@alicemdoe8222
@alicemdoe8222 2 года назад
Kweli kabisaaa
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 2 года назад
Jamaa anajua kuongea vizuri,pliz kama umeliona hilo like naomba.
@monicandunge4540
@monicandunge4540 Год назад
Well behaved young man welcome to Kenya your acting is very impressive.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@carolineotieno8154
@carolineotieno8154 2 года назад
More love for you JJ or Jemo naipenda kazi yako wala sichoki kukufuatia ❤❤❤ following from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Karibu Kenya
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 года назад
Othumani ni mpole ana heshima sana ok like it
@user-ro3ld6xo5z
@user-ro3ld6xo5z Год назад
Mashallah wanivutia kwamsimamo wako wadini ak nakuombea ALLAH akuhifadhi nakukujalia mkemwema inshaallah nakupenda bure Patrick Jihifadhi usiwekama wasanii wenzio walio jiharibu kitabia kisa ni usanii LOVE you ak💕
@mwanamvuamuhsin7130
@mwanamvuamuhsin7130 2 года назад
MashaaAllah kwakweli kakuwa huku kenya tunamuija Jeje kwenye sultana cetizen namependa sana kazi yao Allah awazidishie kila lahery
@christinamelissamitchaelle
@christinamelissamitchaelle 2 года назад
Big up Patrick Kenyans tunapenda kazi zako mkiwa wadogo pamoja na Jennifer
@mercylinekadzo7188
@mercylinekadzo7188 2 года назад
Karbu kenya🇰🇪 Patrick we love you so much 💗❤💜♥💖
@brianseli3178
@brianseli3178 Год назад
This man is highly talented. He's humble too.
@nancymuraguri7783
@nancymuraguri7783 2 года назад
Huyu kijana naturally nimpole ,karibu Kenya young man and keep it up son!
@lonarockinganyoso6099
@lonarockinganyoso6099 2 года назад
Mpole sana walahi
@hhbb6142
@hhbb6142 Год назад
Kabisa hajabalika toka utotoni wakiwa na kanumba
@barnabasomondi9477
@barnabasomondi9477 Год назад
AKO Kenya angalia Citizen tv kipindi cha Sultana
@naimamohammad8870
@naimamohammad8870 2 года назад
Masha Allah karibu sana Adhuman ! Kenya Hakuna matata 💕💕
@uwasequeenfidel
@uwasequeenfidel Год назад
JJ tunamenda kazi Yako sana songambele my Brother 🙏🇰🇪
@lonarockinganyoso6099
@lonarockinganyoso6099 2 года назад
Allah kakupa kila kitu jameni just say Alhamdulilah ❤️
@janegichuguma4706
@janegichuguma4706 2 года назад
Sultana show Iko best than any show. Keep it up, I'm your best number one fan in Kenya and I wish you the best. Continue with your occupation of acting. I like it.
@lucymathew2711
@lucymathew2711 2 года назад
Kaza kabisa kazi zizidi kiwaju nakuombe Mungu
@richardgadau3855
@richardgadau3855 Год назад
Big up Bro Patric smart and nice actor 🤩🤩🤩😍😍😍 Kama support like for Bro Patric
@jacintakaluki7025
@jacintakaluki7025 Год назад
He is the reason i watch sultana 😁
@halimamaliyo8121
@halimamaliyo8121 2 года назад
Wow,anafanana kabisa na marehemu kanumba
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 Год назад
This guy is amazingly intelligent wise and most of all self-effacing Utafika mbali Bro Utakuja kua mtukufu nchini TZ Nikumbuke🌍👍
@maryshirucreativity9698
@maryshirucreativity9698 Год назад
Jabali junior mwenyewe mob love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️💞💕♥️💖💗💓💚
@florencenuru4687
@florencenuru4687 2 года назад
Alaa kumbe jj ni mtz karibu sana 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪twapenda sana Sultana
@margaretmay5840
@margaretmay5840 Год назад
Jemo wa pazia Karibu kenya Patrick kanumba Kama namuona kanumba vile
@Mily450
@Mily450 2 года назад
🤣🤣ujui kwa nini wanaomba na kutuma jibu nzuri kaka✍
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 года назад
Karibu Kenya 🇰🇪.....Nadhani huyu kijana atarudisha dhamana ya Bongo Movie jinsi ilivyokuwa wakati wa Marehemu Kanumba.....
@roseshikuku5508
@roseshikuku5508 2 года назад
Wooow,,,I like how you do your part in Sultana,,,,thumbs-up
@hannahmwabili6186
@hannahmwabili6186 Год назад
My favorite sultana actor, love from Kenya
@nyabokeruth9441
@nyabokeruth9441 2 года назад
Sisemi kitu waaah wafanana na marehemu kanumba mungu akuitie nguvu wendeleze kuingiza na mungu akubariki amen 🙏🙏🌹
@fathiajuma9650
@fathiajuma9650 2 года назад
N mimi naona hvyo kun mfnano
@nyabokeruth9441
@nyabokeruth9441 2 года назад
Like twende pamoja
@shaminawinomartonmarton4017
@shaminawinomartonmarton4017 2 года назад
Sai amefanana kanumba sana
@hlimaa5182
@hlimaa5182 2 года назад
Masha Allah karibu sana zaidi ya sana Kenya 001
@mwanaidijeff3332
@mwanaidijeff3332 Год назад
Hongera sana unafanya vizuri nafatilia pazia vizuri congratulations jem 💪💪💪💪🥳🥳🥳🥳🔥
@timamusulemani7306
@timamusulemani7306 2 года назад
Oya tongoza uyo mdada kakuelewa anashindwa kukuchana uwon anajibebisha 💕💕💕💕💕💕💕
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 2 года назад
Kweliii
@ukhtyjabutv6368
@ukhtyjabutv6368 Год назад
Ha ha ha
@lonarockinganyoso6099
@lonarockinganyoso6099 2 года назад
Welcome to Kenya much and mob love from this side,❤️❤️
@annemakaka210
@annemakaka210 2 года назад
Una hekima sana OJ. I like that 👏👏👏👏 Karibu Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emmandunge61
@emmandunge61 2 года назад
Karibu kenya
@lonarockinganyoso6099
@lonarockinganyoso6099 2 года назад
I really love this guy walahi,kijana mwenye hekima zake mpole na mwenye heshima anaonekana kwa mwonekano wake na mwendo na ni mcha Allah sana,, you're a good actor nakupenda sana #Othman wish to meet you one day face to face,,
@shemnyaka
@shemnyaka Год назад
Weweee navyokuona ukimpata kijana huyu sijui utamfanya nini🤣🤣🤣 Inakaa ni crush wako
@lonarockinganyoso6099
@lonarockinganyoso6099 Год назад
@@shemnyaka walahi tena si chocha mbona nidanganye yanitoka moyoni hizi ni hisia siwezi ficha
@rahmayash8043
@rahmayash8043 Год назад
This man is so talented I love him❤
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 года назад
Welcm Kenya 001 Patrick mob love kwako ❤️
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Mtangazaji uwe na Adabu maswali unaemuuliza mtu ameshakwambia anapenda Heshima na juwa ana wazazi wanaangalia hiyo Habari
@amedahwafula9094
@amedahwafula9094 2 года назад
Huyu dada vipi,,,maswali mengine jaman au una Nia gan ???mwambie tu usiogope
@appsplay4324
@appsplay4324 Год назад
Congratulations jj mungu akuzidishie ufanye zaidi y hayo
@josephineminayo8449
@josephineminayo8449 Год назад
Tunakupenda JJ ....on sultana you make it so lite🔥🔥🔥 wakenya tunakupenda
@modestaernesto
@modestaernesto Год назад
Patric VC és muito parecido com seu tio Steven kanumba, parabéns 💪 love you, Moçambique 🇲🇿
@sarizwayniznyakangi6313
@sarizwayniznyakangi6313 2 года назад
Wooow finally umefika Kenya karibu kwetu Kenya ukiona uzuri pia mpashe mwenzio Jennifer naye pia atembee Na wapenda sana mkiwa pamoja
@nellyingutia3527
@nellyingutia3527 Год назад
JJ I like the way unà act wewe ndio unafanya nikifuatilia sultana Kila siku na unapenda sultana sana keep up
@catherinekar2332
@catherinekar2332 Год назад
Welcome jj in kenya .you are a nice actor in sultana congrats
@weesm6824
@weesm6824 2 года назад
Vizuri sana kaka.karibu tena kenya.unakaa mta..mu sana.nimekupenda kaka naomba no.uko handiiiii sana
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 года назад
MashaAllah...u r fasting don't answer the question...🙏🙏🙏
@brianogoye8220
@brianogoye8220 Год назад
waaah!!! Kumbe Patrick ndio jj,, kweli Mungu ni mkuu
@viulinemwachofi5641
@viulinemwachofi5641 2 года назад
Nipewe kama ako single natokea Mombasa I🙈🙈🙈🙈
@tabithakimani3200
@tabithakimani3200 2 года назад
Well done Othman
@gracekimani8834
@gracekimani8834 Год назад
Welldone Jj, may God protect you fr all calamities of your close friend live long you resemble Steve kannnumba, big up boy
@jacquek111
@jacquek111 2 года назад
Kijana pale sultana kazi nzuri jameni
@emmah3060
@emmah3060 Год назад
Welcome to Kenya were bro 👏👏👏
@jomayio
@jomayio 2 года назад
Kijana mwenye hekima zake feel at home anytime you're Kenya I like any of your movie acting.
@teklamatingu254
@teklamatingu254 Год назад
You are the best kaka braza keep it up.
@janecheptei7196
@janecheptei7196 6 месяцев назад
I love your work Patrick kanumba ❤
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 года назад
Welcome to Kenya much love 🇰🇪🇰🇪
@marthanaliaka1497
@marthanaliaka1497 Год назад
Welcome to Kenya JJ
@gracemkabili4529
@gracemkabili4529 Год назад
Amefanana na kanumba ni bro wake ama?
@gracemkabili4529
@gracemkabili4529 Год назад
Very handsome young man
@zubybeibe9035
@zubybeibe9035 2 года назад
Welcome to kenya big up sana I like the way ur playing ur part
@esthermunyereti4780
@esthermunyereti4780 Год назад
karibu kenya nakuangalia kutoka Lebanon muoe sultana umpeleke Tz
@wonderstylish
@wonderstylish 2 года назад
Sultana is my favorite right now ❣️big up
@marykioko2720
@marykioko2720 Год назад
Karibu sana kanumba mdongo 🙏
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 года назад
U r welcome more end most in Kenya...our Lovely Country
@cutenata266
@cutenata266 2 года назад
Mob love bro ..welcome to kenya
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Год назад
Mtanashati Kuongezeaa I Love You Jei Jey
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
Wew mzur angekuwep baba yako kanumba had raha🤔🤔
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 года назад
Kwani huyu ni mtoto wa kanumba
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 года назад
@@nassirmohamed8492 siy wake ila toka akiwa kweny movie watu tunapend kumuita Patrick kanumba namanisha angekuwep kanumba had rah.
@MMuthoka
@MMuthoka 2 года назад
JJ...chapa kazi beautiful ones not yet born... put this in your mind!!
@joycynthia729
@joycynthia729 2 года назад
Huyu acha tu ni kanumba kabiza sura ,meno Hadi smile 💯
@vickydan2869
@vickydan2869 2 года назад
Patrick hayo macho kwa mdada nahuyo dada kwa sauti hiyo sielewi
@sumayananabintimusa6321
@sumayananabintimusa6321 2 года назад
👌👌😂😂
@stelaprompot5180
@stelaprompot5180 Год назад
Napenda anavongeaga
@najmaabdhalla9893
@najmaabdhalla9893 2 года назад
Ma Sha Allah, Allah akuzidishie rizk na akujaalie upate mke mwema In Sha Allah
@ruqaiyahrajab4910
@ruqaiyahrajab4910 Год назад
I like your answers
@paulinewere8862
@paulinewere8862 2 года назад
Kazi nzuri JJ
@hellensamiji60
@hellensamiji60 2 года назад
Much love 😍 from kenya
@aminahziroh6083
@aminahziroh6083 8 месяцев назад
Talented and blessed young man🙏 i love him ❤
@princekagame8203
@princekagame8203 2 года назад
Huy jamaa akikaza kikwel anaouwezo wakuchukua kama sio kutaifisha nafas ya Steven Charles kanumba 👍👍👍👍
@jacky7305
@jacky7305 2 года назад
Big up welcome to kenya
@niyomufashajulienne8642
@niyomufashajulienne8642 2 года назад
Love u kanumba Patrick god bless u more
@liltrinix7958
@liltrinix7958 2 года назад
Pls God with capital letters
@JanetMwende-dh4nm
@JanetMwende-dh4nm Год назад
Hi salimia jjj tunampeda tunaona tukiwa isiolo no mama aurora shabiki sana wa sultan
@susanmakhulo6235
@susanmakhulo6235 Год назад
Tunakupenda JJ
@sarahmbindu
@sarahmbindu Год назад
Sauti ni ya kanumba kweli sura ni ya jj
@khadejarajab844
@khadejarajab844 2 года назад
Maashaallah allah akukalia kila lakheri
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Год назад
I'am Evalyine Salama from Kenya
@vickydan2869
@vickydan2869 2 года назад
Lakini Patrick ni handsome jaman
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
Sana uwiii😅
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 2 года назад
@@nancyg8664 mna mtaka ?
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
@@dismasstanslaus5985 eee
@dismasstanslaus5985
@dismasstanslaus5985 2 года назад
@@nancyg8664 nikutumie namba zake ,
@emilykarisa6122
@emilykarisa6122 Год назад
Nakupenda bure
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 года назад
Lkn nakuomba umuoe Sultana beautiful
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Ndugu mtangazaji nna mashaka na ww unqvyojivunja vunja kwa mwanangu kwanza hiyo Miwani umeivaa Ili umuagalie yy tu yy asikuone mwanangu bado mdogo huyo usijivunje vunje hapo.
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Год назад
Anafaya vizuri sana kipaj ancho
@eunicenafula4862
@eunicenafula4862 2 года назад
Well come Kenya 🇰🇪
@gladysjob9487
@gladysjob9487 Год назад
Nakupenda bure😊patlk jj
@priscilakasiva8153
@priscilakasiva8153 Год назад
Very humble man
@faridawabiwa8143
@faridawabiwa8143 2 года назад
Patrick ananenepa uku congo tuna mujua jina yake Patrick kanumba nakupendaga sana
@salimawalliam8729
@salimawalliam8729 2 года назад
Sultana damu ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@setiseti5281
@setiseti5281 Год назад
Wamefanana sana nakanumba
@shemnyaka
@shemnyaka Год назад
Personal oberservation: Most TZ actors / artistes Wana nidhamu kwenye kazi zao za usanii hamna ulevi, Wala hawana maringo. Kuja Kenya, mtu amekuwa featured in one episode kama maid lakini ukimwita interview atakuuliza umutumie ndege imlete studio🤣🤣 Kenya Ina malipo mazuri sana Kwa wasanii, Kenya ni London ya East Africa. Dem uyu wa interview mbali ni kumuhoji pia anajitafutia kazi ya kuolewa na huyu kijana🤣...ameona Raha sana akisema Yuko single na Hana mtoto. Good interview though, keep supporting the industry
@cynthiaamadi
@cynthiaamadi Год назад
😂😂ndio maana tunaitwa wakenya😂😂😂😊
@agathajohn5668
@agathajohn5668 2 года назад
Napenda Sana walivyoigiz kenya
@jasminenkirote3934
@jasminenkirote3934 Год назад
Keep up
@ladyjamilamohammed2577
@ladyjamilamohammed2577 2 года назад
Assalamu Alykum warhamatullah wabarakatuh
@mmsh3720
@mmsh3720 2 года назад
Karibu kenya jisikie huru Bro
@hayfaswaleh8048
@hayfaswaleh8048 2 года назад
Mashallaa karibu kenya🥰
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Год назад
Twampenda sana Kenya
@teresanew9719
@teresanew9719 2 года назад
Huyu si ni patrick aliuza chumba xha mjombake JJ🤣🤣🤣🤣amekua mkubwa araka sana.kymbe aliuza akatorokea kwetu kenya.coz sikumuona tena😂😂😂😂.any way karibu kwetu kenya.we love visitors.bora ukae kama mgeni😏
@matikodiana6767
@matikodiana6767 2 года назад
I like it
Далее
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 42 тыс.
His reaction 😳 (via @kaitlyn.b0506/TT) #shorts
00:10
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 7 млн
Приятного аппетита 🤣
0:15
Просмотров 5 млн
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49