ubarikiwe sanaa mwana wa Mungu natambua uwepo wako sanaaa fanya iwezekanavyo hubiri injili ya Kristo Yesu kwa njia ya uimbaji kwa kweli furaha kubwa sanaaaaaa mbinguni ndipo upate uzima wa milele amina sanaaaaaa Paulo siria hubiri utukufu wa mungu ndo matunda yako