Тёмный

UBAYA UBWELA! KIGOGO 2014 AFICHUA MAZITO YA NAPE ALIMDHARAU RAIS HII NDIO SABABU NI ZAIDI YA NDUGAI 

UHURU MEDIA ONLINE
Подписаться 226 тыс.
Просмотров 151 тыс.
50% 1

UBAYA UBWELA! KIGOGO 2014 AFICHUA MAZITO YA NAPE ALIMDHARAU RAIS HII NDIO SABABU NI ZAIDI YA NDUGAI
#napennauye #ndugai #raissamia #uteuzi

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 209   
@drbalagomwatvonline4937
@drbalagomwatvonline4937 2 месяца назад
Mama yetu mrejeshe Jerry Slaa kwenye wizara ya ardhi huko Kuna ufisadi na unyanyasaji wa watu wa hali ya chini, watu wamezulumiwa ardhi sana ila Jerry Slaa ameweza kutatua na kutetea watu waliokuwa wamezulumiwa ardhi zao.
@mutabebwa-bm6pm
@mutabebwa-bm6pm 2 месяца назад
Ni kweli amefanya kaz nzuri mno i ambayo haikuwahi kufanywa na waziri yeyote aliyepewa nafasi hiyo.
@joycebenjamin6017
@joycebenjamin6017 2 месяца назад
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi👍🏼🙏hizi ndizo mbinu zinazotumika kuanzia 1995 mpaka leo hii,na Mungu alimchagua Nape ili aweze fikisha ujumbe kwa watanzania kwa ujumla wetu,Mungu ni jibu👍🏼👏🙏
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 2 месяца назад
Hayo maneno siyo ya uongo. ni kweli ila sema amewasema shetani wenzake
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Hayo maneno ya Nape alikuwa anasema ukweli lakini unaona amesema vibaya kwani huwa hawaibi? Leo tunaambiwa na ukweli kuwa CCM huwa wanaiba mnamkemea nini? Jamani CCM waache kuiba kabisa hakuropoka bali alisema ukweli. Kusem ukweli ni kosa? Ila ninyi mnata asiseme?
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 2 месяца назад
Hajatumbuliwa kawekwa kwenye masuala ya uchaguzi bila Nape uchaguzi ni mgumu inabidi aachishwe kazi zote ashuhulike na uchaguzi tu.
@mohamedkazema6381
@mohamedkazema6381 2 месяца назад
Problem is to speak the truth publicly, not all the truth should be spoken in that way.---- that's the payment of the cost. 😅
@knight6757
@knight6757 2 месяца назад
🤔🍺
@rizikiminga3010
@rizikiminga3010 2 месяца назад
Always CCM doesn't need the truth to be spoken publicly 😢
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 месяца назад
Kweli alikuwa amelewa
@Lubango-gj3ud
@Lubango-gj3ud 2 месяца назад
Ndugai said the truth , Luhaga mpina said the truth , Also Nape said the truth too. Wakapoteza nafasi zao.that is Ccm​@rizikiminga3010
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 2 месяца назад
​@@adelinelyaruu3036hakuwa amelewa ila laana ya Mwenyezi Mungu inaanza kuwatafuna, wanapokabidhiwa madaraka wanatoa viapo kwa kutumia vitabu vya Dini alafu baada ya hapo wanaanza dhuluma kwa Watanzania. Bado wakina Msukuma walioenda Dubai kuuza bandari zetu.
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn 2 месяца назад
Ukishiba Sana Mwishowe Utavimbiwa Tu..
@ndugaijacob359
@ndugaijacob359 2 месяца назад
Pia mheshimiwa huyu alikuwa anatukana lakini SIRIKALI ilimfumbia macho,tunashukuri Dr Rais Samia S Hassan ameliona hili. VIONGOZI tupewapo uongozi tujiheshimu .TUJISAHIHISHE
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 2 месяца назад
Kwani nape AMESEMA uongo? Jibu amesema kweli,,kwani Uchaguzi 2020 yalitokezea nini? Si ndo hayo ALOSEMA nape? Kwa hiyo nape nI WAKUPONGEZWA Asante nape,,,ccm kama kawaida wembe ni ule ule ushindi,,,CCM HAWAAMINIKI KWENYE SANDUKU LA KURA
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 2 месяца назад
​@@YussufPandu-es7ou hajatumbuliwa kapelekwa kwenye masuala ya uchaguzi na kaahiduwa donge nono wakishinda
@FungamezaShabani
@FungamezaShabani 2 месяца назад
Ukioga sana hatima yake utaichubua ngozi yako
@NassoroKulondwa
@NassoroKulondwa 2 месяца назад
Napenda tutoe maoni ya kujenga nchi siyo uchama hakuna mtu aliye juu ya sheria nampongeza rais kwa alichokifanya
@amanmalima940
@amanmalima940 2 месяца назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@HanchoJunior
@HanchoJunior 2 месяца назад
Laan inawaandama na bado tutajua meng
@AlhadjtwahaMbululo
@AlhadjtwahaMbululo 2 месяца назад
JPM alishawaona mapema, Kisha akawapiga chini, Rais hakuwa na sababu ya kuwarudisha Tena Hawa watuhumiwa, sababu nchi hii Ina vijana wengi wasomi,
@MatildaFrank-bp5oq
@MatildaFrank-bp5oq 2 месяца назад
Saa umefika yaliyo sirini yoote ,Mungu mwenyewe atayaweka wazi Kwa maana haki uinua taifa.
@ToivoJase
@ToivoJase 2 месяца назад
Bado na huyu mtu mfupi wa hapa dar,CHALAMILA
@AAbubakariSharif
@AAbubakariSharif 2 месяца назад
Awa wezi tu wanamaliza Kodi za watanzania na wanawadharau
@fannyboy_tz2062
@fannyboy_tz2062 2 месяца назад
Watanzania kuandamana kwa comment tu live aaaah😂😂
@RIZIKIPEJILA
@RIZIKIPEJILA 2 месяца назад
Ila nape anasema ukweli tupu hayo ndio yanayotumika siku zote
@vallemaparadise7620
@vallemaparadise7620 2 месяца назад
Mungu ni mwema ,Raisi wetu mpendwa asante Kwa kuleta Amani ya kweli Tz naamini uchaguzi ujao 2025 utakuwa wa uwazi na wa haki, Mungu akutie nguvu na ujasiri mama ameni
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 месяца назад
Kilichomponza ni kusema ukweli ccm ni kweli wanaiba kura wanajua kabisa bila kuiba hawawezi kushinda wanajua hawakubariki na watz vijana waliyo wengi hawaikubali ccm Mungu ameamua kuwafichua mbinu ovu wamayowafanyia watz
@JoelNgwengweta-m6k
@JoelNgwengweta-m6k 2 месяца назад
Tunapongeza kazi zako kwa ufafanuzi uliochambuliwa vema. Endelea
@SubyMwaisumo
@SubyMwaisumo 2 месяца назад
God is in control
@KomboHussein-r3q
@KomboHussein-r3q 2 месяца назад
Mama hanajitahidi sana sana tatizo wasariti wanamuangusha
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 месяца назад
Ndugai aliongea ukweli...na Nape pia kaongea ukweli! Nchi hiii msema kweli huwa "haishi"
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 месяца назад
Nchi hii ukiwa mkweli unaonekana umekiuka maadili na itikadi ya chama na hiyo ndo siri za kiwizi ndani ya ccm
@Wambula..deogratias
@Wambula..deogratias 2 месяца назад
Hawa mmewarea sana ivo taifa lime frai sana
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 2 месяца назад
Na bado damu ya muzee itawaandama
@AzizaMengwa-wg5ik
@AzizaMengwa-wg5ik 2 месяца назад
Pole yake
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 2 месяца назад
Mimi naona tusubili tarehe 8,, 8,, 24 pale kwa mkapa stadium au yanga bingwa
@grationkato7658
@grationkato7658 2 месяца назад
Uranipgia
@ayoubsanga315
@ayoubsanga315 2 месяца назад
Nape Hana kosa kwa sababu aliingea ukweli , walioichukia kauli ya Nape ndo hatary zaidi
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 месяца назад
Huyu Nape ndiyo mwasisi wa goli la mkono. Kwahiyo sikumshangaa kumsikia akiendelea kubuni mbinu zinazofanana na hiyo ya wizi wa kura. Sasa kama hayo yanafanyika si ni siri ya wanaofanya? Kulikuwa na sababu gani kutangazia umma wa wananchi jinsi kura zinavyoibiwa. Hii ni kukidhalilisha Chama chake na kumdhalikisha Raisi. Raisi amefanya jambo jema sana kumtumbua. Sisi Wananchi tunampongeza.
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 2 месяца назад
Hata akitumbuliwa lakini amesema ukweli wote!! Kwakuwa wanatumia vitabu vya Dini wanapoapishwa laana ya Mwenyezi Mungu inaanza kuwatafuna na wataropoka sana.
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 2 месяца назад
Huo ni mwendelezo wa haramu kwenye chaguzi za nchi yetu. Siyo kosa lake ni mbinu zao. Ni kama ametoa Siri ya ushindi
@haroldgabriel8767
@haroldgabriel8767 2 месяца назад
Kuna halali, nusu halali na haramu. CCM oyeee. Ila, ipo siku
@abdulsalaamkahttan1037
@abdulsalaamkahttan1037 2 месяца назад
Nape hua anasemaga kweli, nakumbuka kipindi cha Lisu kupigwa risasa, aliwahi kusema, hatayeye aliwahi kufuatiliwa, na hilohilo gari. kwa hiyo! sisi watanzania, tuchukue hili, kwamba, serikali hii,haitaki mtu atakae sema ukweli?
@RobertMushi-yh7re
@RobertMushi-yh7re 2 месяца назад
Mmesahau wakati wa Magu alisema alilala msituni akichakachua kura?😮 Kauli ya kuwa yeye ni mmakonde hamuogopi mtu yeyote nn mana yake?
@JosephKangungu
@JosephKangungu 2 месяца назад
Mhhhhh kwa kipi?sijaona jipya kwa lisu Wala nape,January wote ni hasara tupu.
@SalumManondo
@SalumManondo 2 месяца назад
​@@RobertMushi-yh7reand nape.alijitowaga.sadaka.anasemaga.kweli.na.ccm.haitaki.msema.kweli
@RIZIKIPEJILA
@RIZIKIPEJILA 2 месяца назад
Kwa maneno hayo hakuna umuhimu wananchii kupiga kula
@IbraMyota
@IbraMyota 2 месяца назад
Samola Michael once said "mkiona Wareno wananisifia mjue nimewasaliti". We need another GADDAFI
@leonardfungo
@leonardfungo 2 месяца назад
Mama Amuondoe pia mwigulu ambaye alisema wananchi ambao hawatakubaliana na tozo katika mitandao ya simu wakaishi Burundi hiyo lugha haikuwa nzuri kwa wananchi nae aondolewe.
@SayoreSautie
@SayoreSautie 2 месяца назад
Vizuri San kwa kutumbuliwa .
@mohamedmasoud8956
@mohamedmasoud8956 2 месяца назад
Anapelekwa kwenye fani yake ya kuiba kura tayari uchaguzi subirini tuone
@KADALAtv255
@KADALAtv255 2 месяца назад
Mungu anawaumbua wanajiroposha wenyewe ha ha ha haaaa🙆🙆🙆🙆
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 22 дня назад
HUYU NI KIGOGO FAKE
@rajakakamaginga3848
@rajakakamaginga3848 2 месяца назад
Ukweli unauma😂
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 месяца назад
Yani watu wanamsubiri huyo Nape tu, mzinguaji ametukana watu sana anasema watu wahame nchi???? Eti kwa kuongelea tu jambo ambalo wanayo haki ya kuongelea (Tozo) sisi hii nchi ni yetu tunamsubiri 2025 Domo lake linaongea tu
@FilbertRobert
@FilbertRobert 2 месяца назад
Uko sahihi kuwatoa hawa mama
@amuckytz
@amuckytz 2 месяца назад
KWELI NDIO WANAVYOFANYA NANI AJUI KAMA WANAIBA KURA
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 месяца назад
Kigogo si amekamatwa yuko Mahabusu huko tanga? Sasa anawezaje kutoa habari mitandaoni? Au mmemkamata mtu aside na hata?
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 месяца назад
Hahaahhaa kigogo hajulikani bd
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 месяца назад
Majivuno ni shina la dhambi kiongozi
@goodluckmogela6291
@goodluckmogela6291 2 месяца назад
Mungo tusaidie Yaliyowapata kenya Yasitupate 🙏
@MohamediIdi
@MohamediIdi 2 месяца назад
Ni wazi kabisa nape nijeuri sanaaaaàà. Aliwahi kunukuliwa akijigamba yeye ndio walipigania uhuru wa nchi hii Kwa kulala porini. Hawa ndo wanachafua ccm.
@BenithoMkissy
@BenithoMkissy 2 месяца назад
Brother nape hayuko sawa kabisa na mh. Katimiza majukumu yake vyema na imempasa mtu huyu kutendewa hivyo kwani haheshim mamlaka zake za juu
@africamoja2924
@africamoja2924 2 месяца назад
Umeanza kuelezea vizur lkn Hapo kwa Ndugai umechemka, ndugai hakudhihaki juhudi ama mamlaka bro, alichofanya ni kutumia uhuru wake wa kikatiba yaan FREEDOM of speech hivyo acha kupotosha jamii na hakuna mfanano wa alichokiongea Ndugai na Nape. Ndugai alizungumzia mstakabali wa taifa kwa ujumla wakt Nape kazungumzia suala la kichama... Get it brow!!!!
@DianaElias-d1v
@DianaElias-d1v 2 месяца назад
Hata mm nimejiuliza sana,kwann wanafananisha na alichokisema ndugai??
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Kwa kweli mungu aitwe Mungu cheo ni koti lakuazima
@RaymondZindah-ow7wr
@RaymondZindah-ow7wr 2 месяца назад
Nape yupo sawa kwa alicho kifanya, ccm wakati wao umefika.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 2 месяца назад
Yanajifanyia ya hovyo kama nchi ya niaje sasa malipo ni hapahapa
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 2 месяца назад
Maneno yanaumba😮
@FungamezaShabani
@FungamezaShabani 2 месяца назад
Nape ni mnafiki Sasa anatembelea kwenye ubaya wake na malipo ndo hayo
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 2 месяца назад
Mama kafanya vizuri sana, tumefeli kidogo kumtoa Jerry Siraha upande wa ardhi, mapapa wamefurahi sana na watatunyanyasa sana.
@MichaelMagige
@MichaelMagige 2 месяца назад
Bado Mwigulu!
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Bado mwigulu na wengine Mungu atusaidie mama
@alexmachare6495
@alexmachare6495 2 месяца назад
Kweli HUYU nape ni bure kabisa.
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 месяца назад
Mungu ametulipia watu hawa walimdhihaki sana Jembe letu .Mungu ametulipia Ongera sana Rais weu kipenzi umetufuta machozi mazuri hayataki HARAKAAaaa
@EdwardMashauri-q1q
@EdwardMashauri-q1q 2 месяца назад
Hili kweli bumunda
@OraionSabibi
@OraionSabibi 2 месяца назад
Msaema kweli mpenzi wa mungu kwa Nini atumbuliwe?
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 2 месяца назад
🎉🎉🎉kwa mama
@HaulSidney
@HaulSidney 2 месяца назад
Hawa ndiyo wanatuzarau wananchi wa nchi hii, mwigulu nchemba,bashe makamba,mbawala,na nape, ndiyo wanaleta ufisadi wa nchi hii
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Hakuna Cha myunani Wala myahudi mbele ya SSh Rais fyeka hayo micho Ngoma yatakuzuia usifikie maono yako watanzania tuko nyuma yako
@abelnyoni5808
@abelnyoni5808 2 месяца назад
Hizo ndizo tabia za chaguzi zetu. Alichokifanya Nape na kuonekana amekosea ni kutoa siri za wizi wa kura. Amekosea kutoa siri za uchawi. Aliyosema ni kweli tupu na watanzania tunaufahamu utamaduni huo katika chaguzi zetu.
@sylvestersamwel8210
@sylvestersamwel8210 2 месяца назад
Hakuna mamlaka iliyowahi kudumu Duniani. Na hata hii tuliyonayo ipo siku tu kitaeleweka.
@YaeliJoseph
@YaeliJoseph 2 месяца назад
Safiiii Sana Mama... Kaxi nzuri sanaa
@augustinemainde
@augustinemainde 2 месяца назад
Ubaya ubwela!😢😢😢😢
@Henrysemgutu
@Henrysemgutu 2 месяца назад
Mapendo mama ana maana kubwa Mana anataka tusome kama libia wape veeeeo
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 2 месяца назад
Kawaida yao kuiba kwaiyo tusha wazoya. Bali wajue mungu yupo na nasi
@yussufrajab9346
@yussufrajab9346 2 месяца назад
Mm maono yng hawa mabwana wadogo wawili, wanaulevi tu wamadaraka!!! Haina haja ya kuongea sana, kisaikolojia ni ulevi wa madaraka na tamaa..
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 месяца назад
Kwa kweli Kuna waziri naona ni kosa kubwà silaa alivyofanya kazi kwa maarifa bidii tuljua Sasa tumepata mtu muhimu sijui amehamishwa kwa Nini inauma sana
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 месяца назад
Yuko bize na nchi jimboni kwake Aaaaah....!
@JaphetMulungu
@JaphetMulungu 2 месяца назад
Big up nape kwani uliamua kuwa mkeri japo bado ww huko huko kwenye uchafu na ww ni mchafu 2
@mwitanyantora4542
@mwitanyantora4542 2 месяца назад
Mama hogera kwa hatua hiyo lakini bado wapi wengine
@mwitanyantora4542
@mwitanyantora4542 2 месяца назад
Bada wapo
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 2 месяца назад
Kosa la lake ni kusema ukweli.
@jamalMuhammed-w1v
@jamalMuhammed-w1v 2 месяца назад
Nape hana adabu na muhuni yy na wenzake bado wapo hawajajitokeza
@Masoya-r8h
@Masoya-r8h 2 месяца назад
CCM huwa hawashindi
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 2 месяца назад
Mara nyingi mwanadamu akiwa amezaliwa amekuta raha, akulia kwenye raha, kasoma akiwa kwenye raha, yani anaogelea tu kwenye raha hajakutana na ugumu wa aina yoyote katika maisha, mtu wa namna hiyo akipata madaraka ni vigumu sana kuvaa uhalisia wa watu anaowaongoza, analewa bila kunywa kilevi chochote.
@SelemaniIkombe-y8q
@SelemaniIkombe-y8q 2 месяца назад
Machozi ya marehemu Bado hayajakauka
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 2 месяца назад
Kweli kabisa, walimnenea marehemu mambo mengi sana ya ovyo juu yake wakijua kabisa hawezi kujitetea. Wengine wakasema eti "wazuri hawafi"🤔. Leo kiko wapi sasa - malipo ni hapa hapa duniani.
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 2 месяца назад
MAGU RIP wao Kwa wao kinawaramba na Bado Rolinga utabiri unaanza kutimia
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Makonda je mama mungu Yuko pamoja
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 2 месяца назад
Hapo ni geresha toto Nape na makamba watapewa kazi ya kuiba kura ina maana Samia haujui kuwa ukwel ccm wanaibaga kura
@MoshiBuhoyelo
@MoshiBuhoyelo 2 месяца назад
Kwani laisi anaubaya Gani minaona yupo sawa Ili apange safu yake harafu Hawa wabovu mama enderea kuwapangua
@wilbroadjovin5631
@wilbroadjovin5631 2 месяца назад
Ndugu ni kutoa kuweka na kupangiwa upya Hawawezi kutupwa kama marofa
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 2 месяца назад
SASA ALIPOSEMA HIVYO ALIKUSUDIA AU LILIMTOKA DAAA MITIHANI MENGINE YA AJABU SANA
@levissamweli9005
@levissamweli9005 2 месяца назад
Ni sahihi kutumbuliwa kwa jamaa iwapo kuna nia ya kweli ktk kuiponya demokrasia, bila kutengeneza jinsi ya kupoza kelele kwa muda fulan i tu!!!
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 2 месяца назад
Walipokua kwenye nyadhifa hawakujua kama wanaweza kutenguliwa iweni wapole mkiwa madarakani
@GrceLaurentkaboigora
@GrceLaurentkaboigora 2 месяца назад
Makufuri, alikuwa anaona mbali sana
@GrceLaurentkaboigora
@GrceLaurentkaboigora 2 месяца назад
Mama hakujua??
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 2 месяца назад
Kwahiyo ww kigogo unatakaje...tuamini 4r na tusiamini alichokisema Nape?? Ameamua kuweka wazi yanayojulikana kwahiyo usitudanganye na 4r..hii ina maana hata ccm ikishinda kiti chochote tunaamini ni kwa michezo kama hiyo..usisahau na kauli ya goli la mkono kwahiyo ameendelea kukoleza moto.
@daltonmunguatosha1197
@daltonmunguatosha1197 2 месяца назад
Afukuzwe ubunge alime korosho ajue mtiti wake
@RichardAmosi-hz3nm
@RichardAmosi-hz3nm 2 месяца назад
Tatizo ya nape bangi zimemzid
@edwardwatson7552
@edwardwatson7552 2 месяца назад
Hawajaanza Leo kuiba kula mbona ukiongea ukweli selekali inakualest
@robertandrew6062
@robertandrew6062 2 месяца назад
Waliotamka mambo mengi ya hovyo ni wengi na wakawaudhi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa sana mbona hawakufukuzwa wala hawakuchukuliwa hatua za kinidhamu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 месяца назад
Wakiteuliwa tutajuwa Tanzania ni ya watu binafsi na siyo ya watanzania wote. Hawa Magufuli aliwatema, mama alipoingia akarudisha mafisadi wote. Wengi walijitajirisha kutumia Mali za chama. Na wakiiba hawakamatwi. Hawa wako juu yasheria
@isaacalex6327
@isaacalex6327 2 месяца назад
Nape yupo sawa anajuwa anacho sema
@GeofreySenka
@GeofreySenka 2 месяца назад
Magufuri hizi nyoka alisha ziona muda mrefu zina majigambo viburi kujisikia
@PAMBEMASAKA-vv2tp
@PAMBEMASAKA-vv2tp 2 месяца назад
Kigogo
@IdrissaAmir
@IdrissaAmir 2 месяца назад
Seasa za tanzania ubabaishaji tu kiongozi anafanya madudu bado anapewa cheo 10:42 10:42
@MukamaMagafu
@MukamaMagafu 2 месяца назад
Ni nani kwente hicho chama ni mtalatifu nachapokei rushwa? Ni nani?
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 месяца назад
Mama hongera kwa kuondoa mikeka yote ulianikia maono yako kwa ajili ya watanzania hayo mikeka yanvuja Bora tamdika maturbai yatakusaida
@thomastemu3332
@thomastemu3332 2 месяца назад
Hawafai 😢waende zao
@SideAlly
@SideAlly 2 месяца назад
Tanzania ni yetu wote akini msingi wetu
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 2 месяца назад
Naje 2025 itakuaje wizi wa kura tuachane nao jamani .tupige kura halali tutakuwa na maendeleo .ccm tusiwe waoga tupige kura halali tutakachopata ndio chetu.Nahakika tutashinda bils wizi
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
Musk has no 'honour' for endorsing Trump | Stephen Fry
39:15