Innocent William Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-yCwS9krCov0.html
Tisha Sana paulo siria hakika nyimbo yako yawapa watanzania wengi moyo juu ya ugonjwa huu hatari wa corona kuwa mungu yaweza yote mungu na akubariki sana paulo
Paulo iyo song iko sawa bro Corona itapita katikajina la Yesu mimi ni mkenya napenda sana nyimbo sako inanitia moyo sana na God bless you so much Paulo.
Huyu Paulo ndo mwimbaji nabaki namsikiliza maake ndo anaimba unaona wanamwimbia Mungu hata dansi zao, kuvaa kwao ila waliobaki mmmh, Mungu akubariki sana
Magdah Bosibori Ni kweli kabisa Tuombe pamoja kwa kweli angalia na Subscribe ujumbe mwingine wa Korona 👉ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-yCwS9krCov0.html