Ni wimbo ulioimbwa kwa lugha ya kimaasai. Unawapa moyo watumishi wa Mungu wanaofanya kazi katika mazingira magumu. Pia unawaonya wale wote wanaowakashifu na kuwadharau watumishi. Inawaonya wanaorusha mawe kwa walioinuliwa na bwana kwamba wanajipalia makaa na hayo yote yatawarudia.
10 авг 2021