Тёмный

PENZI LA BINTI YATIMA 💞 Love Story | DONTA 

Donta Plus
Подписаться 106 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 219   
@Yusudav
@Yusudav 4 месяца назад
Aiseeeee kama na wewe umelia Like hapa😢😢
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 4 месяца назад
😢😢😢😢❤❤❤😮😮😢😢😢😢
@SudiShabani-q9k
@SudiShabani-q9k 4 месяца назад
😂
@Scholaticatoyi
@Scholaticatoyi 4 месяца назад
😢😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 месяца назад
😢😢😢😢😢
@lusianassenga5698
@lusianassenga5698 4 месяца назад
😭😭😭😭😭
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 4 месяца назад
Na Bora ukosee kujenga kuliko ukosee kuolewa na mwanaume kama jemsi😂😂mmh sio kiivyo
@janetkithi775
@janetkithi775 4 месяца назад
Guys ebu tumkatae acting zake huyu James.
@MalkaNinik
@MalkaNinik 4 месяца назад
Nimeshindwa kuuimaliza hii move maneno ya jemsi sijayapenda hata kidogo alafu yaonekana huyu jemsi hivi ndivyo alivyo maana weee
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 4 месяца назад
Umeona eee huyu kaka anaonekana hata kwenye maisha yake yakawaida yupo hvy hvy
@amirimkutu8533
@amirimkutu8533 4 месяца назад
hayup ivo bhn
@Saidahkims
@Saidahkims 4 месяца назад
Sure ata Mimi sijai mpenda kabisaaa
@doricemwakasengo1167
@doricemwakasengo1167 3 месяца назад
Hapana jaman james anaigiza tu msimfikirie vbaya
@DeboraSimbu
@DeboraSimbu 4 месяца назад
Mmmmmh we Kaka punguza kashifa
@bucumicargele9609
@bucumicargele9609 4 месяца назад
Anacheza vitu vibayaa sana James Kila Siku anacheza vibayaa kwa mchawi kuwa Malaya kuwa muuajii baridish
@EverlineEtwasi
@EverlineEtwasi 4 месяца назад
Kumbe unanisaidia kuona😢😢
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 4 месяца назад
Huyu hata nkiona vyenye anacheza hua naichukia hiyo movie kabisa
@janetkithi775
@janetkithi775 4 месяца назад
Uyu James amezidi. N binadam mgan mwenye Roho mbaya kama huyu. Sura yake na Roho yake pamoja na acting zake zimeoza mno. Ivi n nan anafurahia acting zake
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 4 месяца назад
😂😂😂😂
@ramrathjuma1631
@ramrathjuma1631 4 месяца назад
Haya ni mafunzo hata kwa wanaume wanaowafanyia hivi wake zake maana haya niamaigizo ila yanaumiza wanaume badilikeni😭😭😭😭😭😭
@fatuma6011
@fatuma6011 4 месяца назад
Bora ukosee kufanya kitu chochote kuliko kuliko kukosea kuoa ama kuolewa inauma sana 😢😢😢😢
@AnnaWaswa
@AnnaWaswa 4 месяца назад
Wacha unyanyasaji wewe😭😭😭😭😭
@SimonOmari-dk2qu
@SimonOmari-dk2qu 4 месяца назад
Nasubiriya kwahamu siku moja James acheze ni maskini😂😂😂😂 ateswe nayeye
@AfreyBahalaye
@AfreyBahalaye 4 месяца назад
Yawanadam meng sana asanten kutufundisha katka hii tamthiliya
@SalomeMhema
@SalomeMhema 4 месяца назад
Dhuuuuuuu kweli james unamnyanyasa mkeo
@NancyGatwiri-c7n
@NancyGatwiri-c7n 4 месяца назад
Yaani tangia nijue wanaigiza sistukagi😅😅
@PuritySalama-yv6to
@PuritySalama-yv6to 4 месяца назад
Iyo yko ni kali James 😢tunajifunza
@tonykonki1437
@tonykonki1437 4 месяца назад
Wewe james hizo frungu zako zitamgeuka kua za kweli,lazima wewe ni roho chafu sana...
@isharainvestmentscongo2021
@isharainvestmentscongo2021 4 месяца назад
Vicky mon combat jtm trop❤❤❤❤❤ naku fata sana tena sana ku toka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@cartoonpati2914
@cartoonpati2914 4 месяца назад
Pole Sana Vicky😭
@aidanmgimwa5459
@aidanmgimwa5459 4 месяца назад
Sasa hapa hakuna Cha kujifunza Maana picha imeishia njiani swali : Ni nini hatima ya huyo mjane? 2: Nini hatima ya hao wadogo wa marehemu nk
@Daestoto
@Daestoto 4 месяца назад
Funzo zuri sana hata kwa wakaka wengine,duniani hakuna mkamilifu lazma ukubaliane na madhaifu ya wenzio na utambue kuwa ukifanya ubaya kwa mwenzako lzma litarudi kwako. Hayo ndo malipo mliyolipwa
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 4 месяца назад
Mmh James jameni mbona uko hivyo...bora tuu iwe acting lakini maisha yako halisi yakiwa hivyo Lool unaogopesha
@StevenMaloba-ci6rx
@StevenMaloba-ci6rx 4 месяца назад
Victoria inatosha njokwangu upumuzike shida ❤❤🎉ila mmetisha sana.
@YvonneWanyonyi-gh4pw
@YvonneWanyonyi-gh4pw 4 месяца назад
Jems unanyanyasa jamani😮kuwa na huruma 😂much love from kenya🎉❤❤❤❤❤
@MercySilvester
@MercySilvester 4 месяца назад
Waaa sasa ww wanamke unamkubali vp mwanaume anae tesa mke mwenzako Kwa macho yako😢😢
@Nailaty564
@Nailaty564 4 месяца назад
Hata yeye akili hana hajitambui
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 4 месяца назад
😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@ShukuruElizabeth
@ShukuruElizabeth 4 месяца назад
Si ujinga na mapungufu ya akili 😂😂
@MercySilvester
@MercySilvester 4 месяца назад
@@ShukuruElizabeth 🤣🤣🤣🤣aky wanawake
@MercySilvester
@MercySilvester 4 месяца назад
@@Nailaty564 kabisa
@Kingjeda12
@Kingjeda12 4 месяца назад
Mbona jems Ana cheza movies Ana sheza Ana Tabiya Abaya Sana m Nini 😢😢😢🎉
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 4 месяца назад
Naabadilishe jamani ana boo
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 4 месяца назад
Huyu kama kama hatabadilisha akaact part nzur tukiona movie yuko hapo ndani hiyo series tutaacha kuifuatilia juu anakera
@Kingjeda12
@Kingjeda12 4 месяца назад
Yes bro.
@NeemaMasawe-cm6db
@NeemaMasawe-cm6db 4 месяца назад
Una roho mbay ww james
@RebeckAunt
@RebeckAunt 2 месяца назад
James iyo Tamiya aikueshimishe ata.kesho na wewe utakuwa yatima.pole sana vicky
@SleepyBoardGames-xj3ig
@SleepyBoardGames-xj3ig 4 месяца назад
Hio nifimbo ya mungu nawey ukue yatima kam mkeo
@zuleikhaissa684
@zuleikhaissa684 4 месяца назад
Sio mzur hauna lolote mwisho haujaishiaga vizur
@SaidaAli-kr3bi
@SaidaAli-kr3bi 4 месяца назад
Nice❤❤❤
@samiasalum9690
@samiasalum9690 4 месяца назад
Hongera sana jemsi umeipatia sana hyo script,jamsi amefikisha ujumbe kwa wanaume wenye tabia kama hii muache tu maan ni zaid ya maumivu
@nkomelemtotowachifu3061
@nkomelemtotowachifu3061 4 месяца назад
🙏🙏🙏
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 4 месяца назад
Kenya Watching, twapenda
@GraceVISAMAYANI-gj1xm
@GraceVISAMAYANI-gj1xm 4 месяца назад
James Mungu ajioccuper naweye Usimutese yatima, ole kwako
@iddymwajuma602
@iddymwajuma602 4 месяца назад
Jemusi ipo cku utamrudia vicky kwa magoti na machozi
@FaithChivatsi
@FaithChivatsi 4 месяца назад
Mungu yuakuona James
@EverlineEtwasi
@EverlineEtwasi 4 месяца назад
James uwa nafuatilia video zako za manyanyaso lakini umenichimbua kidonda 😭😭😭 wanaume katili namna hii aki Mungu awabadilishe😢😢
@AnethDerickius-nt8sm
@AnethDerickius-nt8sm 4 месяца назад
Sio jemsi peke ake tyu wapo na wengine wengi wa dizaini hiyo na
@nkomelemtotowachifu3061
@nkomelemtotowachifu3061 4 месяца назад
🙏🙏🙏🥰
@FaidhaMgongole
@FaidhaMgongole 4 месяца назад
Kazi nzuri lkni mwisho ni mbaya mjitahidi muwe mnamaliza vzur
@Kinyua-ye8kk
@Kinyua-ye8kk 4 месяца назад
James Sio Sawa kabisa unavyofanya ata Kwa mungu
@AhadiBwanyungu-j6s
@AhadiBwanyungu-j6s 4 месяца назад
James we noma yaani kwenye ukali nakama njo gisi uko kwako pole na mukewako nawatoto piya from American Texas
@77Bdb
@77Bdb 4 месяца назад
😢😢😢😢😢yaani ww James aki ya mungu sijawahi kukutukana lkn leo nakutukana mkunduo
@ShukuraniPeter
@ShukuraniPeter 4 месяца назад
James we nimukali sana tutakuogopa
@evelinekweka
@evelinekweka 4 месяца назад
Jemsi kumbuka na sisi mayatima niwatu na tunahadh yakuolewa pia nmeumia Sana jamani😅😅
@77Bdb
@77Bdb 4 месяца назад
Tina na ww yaani uko serious kabisa mwenzio anashukuswa bed na waangalia jinga piaww
@latifaally-zo3qr
@latifaally-zo3qr 4 месяца назад
Jmn Vicky nampenda sana uyu dada anajuaaa
@NeeemaBenny
@NeeemaBenny 4 месяца назад
Aa jamaa huyu noma
@rahymeralbusaid
@rahymeralbusaid 2 месяца назад
kazi nzuri lkn movie zenu mbona haziishii vizuri jamani
@rynekyle4797
@rynekyle4797 4 месяца назад
Jmn James anaigiza khaaa😂watu mko serious utafkir kwel 😂.Tatizo mnachkulia movie kiuhalisia mnooo punguzeniii😂🤌
@rynekyle4797
@rynekyle4797 4 месяца назад
Japo inasikitisha 🥺km kwel
@nkomelemtotowachifu3061
@nkomelemtotowachifu3061 4 месяца назад
🙏🙏🙏🤣🤣🤣
@Bintluckas3918
@Bintluckas3918 3 месяца назад
James nmekuchukia sana ata kiuhalisia unaonekana roho mbaya tu😢😢
@Salma-g1m1x
@Salma-g1m1x 4 месяца назад
Duuuh,,,,dunia iko moto sana
@JillianaJohn
@JillianaJohn 4 месяца назад
Jems unaroh mbaya
@floridandayisaba
@floridandayisaba 4 месяца назад
Wewe mwanaume unamunyanyasa sana acha ivo mungu anakuona
@OmariIddy-hg4fl
@OmariIddy-hg4fl 3 месяца назад
Mwezenu ameingiza pesa alafu nyinyi munaendelaya ku nuna nyooo
@samiraKassimu
@samiraKassimu 4 месяца назад
Uy jems duh kil movie yy korof silipend kbs yn anauwez ukatil loh😢
@Aishaawadhimsloki
@Aishaawadhimsloki 4 месяца назад
Usikute huyu jems Kwenye Maisha ya kawaida ni mstarabu kuliko kelvin
@youarehammmi2757
@youarehammmi2757 4 месяца назад
😂😂
@nkomelemtotowachifu3061
@nkomelemtotowachifu3061 4 месяца назад
😂😂😂
@janetkithi775
@janetkithi775 4 месяца назад
Wee vicky please unatubooo kulalamikia usipo pendwa. Mbna wenzako hawaez kubembeleza wanaume wasio jielewa km huyo James why. Unatuboo
@Saidahkims
@Saidahkims 4 месяца назад
Sio kwa ubaya lakini namchukia James
@EdwinMutuku-w2v
@EdwinMutuku-w2v 4 месяца назад
Sawa mkosa wazazi mungu huwa alali
@EmilyNelima-p6h
@EmilyNelima-p6h 4 месяца назад
Mimi wa sita leo much love from kenya🎉🎉🎉🎉🎉
@VeronicaDominico-zp2kd
@VeronicaDominico-zp2kd 4 месяца назад
Kwa kweli huyu baba siye
@SaraaSaraa-i1j
@SaraaSaraa-i1j 4 месяца назад
Mashangazi machafu
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 4 месяца назад
Daaah inauma san aisei😢😢😢😢😢😢
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 4 месяца назад
Huyu James anezidi,hata kama niugizaji
@MariaMagele
@MariaMagele 4 месяца назад
Ila James anaweza kuakit akiwa na roho mbaya kwenye roho nzuri ata hapendezi pia kaonyesha uhalisia wa baazi ya watu wanayo yapitia kwenye majumba yao
@Nailaty564
@Nailaty564 4 месяца назад
Mtu mzima kama wewe ujiite yatima badala ya kujipambania maisha yako huo sio uvumilivu ni kupoteza muda na Tina kama Una akili timamu huwezi kuwa. Na mwanaume kama huyo
@FaidhaMgongole
@FaidhaMgongole 4 месяца назад
Kweli kabisa jmn ata kma ni uvumilivu uwo apana ni ujinga na kupoteza muda tyuu
@barkaoman-ub6ko
@barkaoman-ub6ko 4 месяца назад
Hata kama nikuigiza 😢lkn mlikuwa mnakufuru binadamu anaitwa mbwa 🐕😮😢😢
@WadnessJoel
@WadnessJoel 4 месяца назад
James una roho mbayahh unaigizaga kila cku hvooo nahisi hata roho yako ndo ipo hvoo
@floridandayisaba
@floridandayisaba 4 месяца назад
Sio kuliatu mwenzangu nimeumia san
@lusianassenga5698
@lusianassenga5698 4 месяца назад
Imeisha vibaya kabisa
@MARIAMUHUSSEIN-c7y
@MARIAMUHUSSEIN-c7y 4 месяца назад
Jems roho mbayaaaa😢
@SarahTsuma-g3r
@SarahTsuma-g3r 4 месяца назад
Hyo noma sana
@ShukuraniPeter
@ShukuraniPeter 4 месяца назад
Sijawahi kuona mtu mwenye roho ngumu kama James
@appsplay4324
@appsplay4324 4 месяца назад
Leo nimewahi much love from Kenya ❤❤❤
@AshuraAmisi-ey4mj
@AshuraAmisi-ey4mj 4 месяца назад
James jamani kwa nini huna roho mbaya jamani 😢😢😢
@ANITHASITIVIN
@ANITHASITIVIN 4 месяца назад
Aixeee wanaume wote wangekuwa kuwa kama Jems wote ndoa zingetushindaaa
@magefide
@magefide 4 месяца назад
Da Pole dada yangu lkini muombe mungu akupe moyo wa uvumilivu
@SaushKay
@SaushKay 4 месяца назад
What goes around comes around James mungu analipa ujue 😂😂
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 4 месяца назад
James una roho ngumu vicky analia ivo we umekaza sura jmn
@SaSd-qg5zm
@SaSd-qg5zm 4 месяца назад
Jymoo hapo nayo inaumaaa masikini mtoto watu😭😭😭
@veronicasolange930
@veronicasolange930 4 месяца назад
Next episode please
@fgfvgggf6993
@fgfvgggf6993 4 месяца назад
What goes around comes around usidharau mtu pasipo kujua kesho itakuaje
@AminaAbubakar-w2q
@AminaAbubakar-w2q 4 месяца назад
Jems ana roho mbaya sana mtu hupewa party Nayoiweza yye yaonyesha n roho yake
@williamabdul3672
@williamabdul3672 4 месяца назад
Wa kwanza from Tz like Zenu jaman
@HamisMasoud-uk4yx
@HamisMasoud-uk4yx 4 месяца назад
Mbayaaa
@SAFANdaykanza
@SAFANdaykanza 4 месяца назад
Burundia🇧🇮kama ww ni mume wangu ndaweza nikakupa sumu kabisa ju unamunyanyasa sana unamukumbusha hâta wazazi 😭😭😭😭
@SalimMareja
@SalimMareja 4 месяца назад
Hi mov sijaipend kwakwel
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 4 месяца назад
MUNGU amsaidie grace wangu 😭😭😭
@JillianaJohn
@JillianaJohn 4 месяца назад
Jmn wanaume si watu km mna roho km ya jemsi jmn tumeisha
@janetkithi775
@janetkithi775 4 месяца назад
James Roho mbaya km sura yake. Akuna siku ata act basi useme amefanya. Upuuzi tuu.
@cartoonpati2914
@cartoonpati2914 4 месяца назад
Vicky napenda hekima yako na uvumilivu wako
@halemamoon1782
@halemamoon1782 4 месяца назад
Huna sehemu ya kwenda Vo nae da Vic...njoo gulf upambane Alafu uringe baadae
@ChristinaMalujo
@ChristinaMalujo 4 месяца назад
James sikupendi jaman khaaa!!!🥺☹️
@NishimweZayana
@NishimweZayana 4 месяца назад
James unajua mi sikupendi kwa kwl
@YusuphSabuli
@YusuphSabuli 4 месяца назад
Please location mcharge bas ushauri
@susana7645
@susana7645 4 месяца назад
Jemsi hukuwa hivo inyour real life juu kwa kila movies uko mkali
@GraceVISAMAYANI-gj1xm
@GraceVISAMAYANI-gj1xm 4 месяца назад
Mulete mwisho muzuri,apana ya machozi
@bakirimariam8983
@bakirimariam8983 4 месяца назад
Uyu mbwa jems anakera
@Lill12llLil888
@Lill12llLil888 4 месяца назад
Team kelvin leo mmebugi apa
@PaulinaLorry-b4m
@PaulinaLorry-b4m 4 месяца назад
Hv jmn huyu james cyo ndo yuko hivyo kabisa ???
@saidajuma5748
@saidajuma5748 4 месяца назад
James ww si mtu wanasema yatima s mtu wa kutesa tabia movie Yako ata si yakuona
@MishiMwambaji
@MishiMwambaji 4 месяца назад
Acha roho mbaya kaka pia yeye alizaliwa😢😢
@OmegaNelson-ho1no
@OmegaNelson-ho1no 4 месяца назад
Mmmmh inauma jaman..hvi kuna bnadam wanyanyasaji hvi dunia hii tunayoishi??
@AhadiBwanyungu-j6s
@AhadiBwanyungu-j6s 4 месяца назад
Lakini ikosa James unavutaga bangi ju macho yako gisi inaonekana naho ukali unao wakuoneyana nikweli
@saminichangawa
@saminichangawa 4 месяца назад
Watoto wazuri hao jameni wanyonyeni jsmani
@JescaSilas-qo8si
@JescaSilas-qo8si 4 месяца назад
Duuuuu inauma kwa kweli
@minaelpaul9219
@minaelpaul9219 4 месяца назад
Mmmh James huyo mke au housegirl yani mpaka nimekuchukia
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /45/ #love
20:10
Просмотров 190 тыс.
КОТЯТА НАУЧИЛИСЬ ГОВОРИТЬ#cat
00:13
This mother's baby is too unreliable.
00:13
Просмотров 7 млн
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 3,1 млн
BIBI NA BWANA 💞 Love Story | DONTA TV
28:27
Просмотров 37 тыс.
IBANGA EP219: Niyori na se🔥🔥
32:27
Просмотров 51 тыс.
SHEMEJI ANATAKA TENA 💞 Love Story | DONTA
31:50
Просмотров 363 тыс.
#14 - MKE WA NGOMANI - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:07
MAMA NTILIE 💔 | EPISODE 15 ( Final Episode )
20:13
Просмотров 105 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
Просмотров 85 тыс.
КОТЯТА НАУЧИЛИСЬ ГОВОРИТЬ#cat
00:13