Тёмный

SIKU MOJA KABLA YA NDOA YANGU 💞 | PART 03 | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story 

DONTA TV
Подписаться 610 тыс.
Просмотров 357 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 494   
@Dontatv255
@Dontatv255 4 месяца назад
HIVI LINAH ANGEKUA MKE WAKO WEWE AU MKE WA KAKA YAKO UNGEMFANYA NINI?
@KuchaikaXaid
@KuchaikaXaid 4 месяца назад
Ningempiga na kitu kizito kak
@JaneJane-h2i
@JaneJane-h2i 4 месяца назад
Wanaenda wote
@AminaMohammed-u7j
@AminaMohammed-u7j 4 месяца назад
Ningemfukuza nyumban
@RizikiZiki
@RizikiZiki 4 месяца назад
Ningemuaciya naye akaolewa naanae mpenda nawe ukaowa boss anae kupenda😂😂
@GloriaMtana
@GloriaMtana 4 месяца назад
Ningemuachia kaka waendelee kama wataendelea
@ShaymaaMlanza
@ShaymaaMlanza 4 месяца назад
Msichana wa kazi na kijana tajiri mlipendeza sana na vick kuuwa mkeo lakini hapa wala hampendezi kabisa kuwa mkeo hapo love angeitendea haki mpk raha
@LukimbaEster
@LukimbaEster 4 месяца назад
Kelvin nazipenda sana movie zako kwakua zina masomo ndani yake❤❤❤❤
@ConcilieIrankunda
@ConcilieIrankunda 4 месяца назад
Mimi kutoka Burundi 😊😊🎉Yaani Kelvin movie zako nazipenda sana n'a Tim Yako yote zina mafunzo Ninawaombeeni kusonga mbele maishani mwenu🎉🎉🎉🎉
@CatherineMutua-y1g
@CatherineMutua-y1g 4 месяца назад
Naomba like hata Tano tu za kelvin ,usipite bila like ya kelvin
@faudhiashaban789
@faudhiashaban789 4 месяца назад
Ila keviiii😂😂😂😂🎉🎉Lina anamtazamaa had akienda choooniii had akilaaaaa. Likeee hapa kwa Lindahl akeee😂
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 4 месяца назад
Good job 🔥 mapenz kizungu zungu unae mpenda yeye akupend usie mpnda anakupenda
@doricemwakasengo1167
@doricemwakasengo1167 4 месяца назад
😂😂kelvin anapenda kuambiwa uongo kuliko ukweli neli nae kampeleka mulemule😂😂
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 4 месяца назад
😂😂😂
@Amidaqueen-p9l
@Amidaqueen-p9l 4 месяца назад
Naitwa amida nipo USA kelvin hii ni movie nzuri saaana ila unaichelewesha sana jamani, Nakupenda Atari ❤❤❤❤
@MartiniMunyaka
@MartiniMunyaka 4 месяца назад
Hello
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 3 месяца назад
Zingatia neno USA??😂😂 natania
@Amidaqueen-p9l
@Amidaqueen-p9l 3 месяца назад
@@herimornchriston6083 nitafute TikTok amida confident ndo utaamini 😂
@AminaMohammed-u7j
@AminaMohammed-u7j 4 месяца назад
Kelvin nakupenda sana kwa kazi zako nzuri ukiwa ndani kwa movie yoyote napata faraja
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 4 месяца назад
Kazi Iko sawa kabisa nawakumbali kweli 🎉🎉🎉❤❤❤ ❤ from 🇰🇪
@Aswan-f8r
@Aswan-f8r 4 месяца назад
Heshima ya ndoa 😂😂much love from Kenya guys like back😂❤
@lydiahnyamokami5058
@lydiahnyamokami5058 4 месяца назад
Kevin kua maakini afadhali upite na moto wa boss kuliko kutegemea mwenye ndoa utajuta ikigeuka kua ndoano😂😂❤❤
@ShadiaIdrisa
@ShadiaIdrisa 4 месяца назад
Naitwa shadiya kiukweri kervin unamoyo wahuruma illa mwambiye Lina aache umaraya nakupongeza San❤ kakayangu
@directorbrax
@directorbrax 4 месяца назад
Siku Moja Kabla Ya Ndoa Yangu Tuwe Pamoja Hadi Mwisho
@Dontatv255
@Dontatv255 4 месяца назад
Ndioo
@NeemaMichael-v8d
@NeemaMichael-v8d 4 месяца назад
Tina kwenye hii muvi anapodoka adi namsahau...big up sana tina❤❤
@HellenWafula-b4x
@HellenWafula-b4x 4 месяца назад
Kelvin KAZI nzuri Sana hakika nazipenda movies zako ila wachelewesha Sana jamani
@JosephmatongwaMabonga
@JosephmatongwaMabonga 4 месяца назад
babambana kalvin unaeza ziba pengo la kanumba much love kutoka kenya
@HappinessJohn-vw8hk
@HappinessJohn-vw8hk 4 месяца назад
Huu mchezo hauitaji hasira maana ni mtandao mrefu sana wa mapenzi
@rizikisam6481
@rizikisam6481 4 месяца назад
Nelly eti shwaa kaisha kama alivopita na mwanamke wa kaka ake kuna watu wanafiki sana kama Nelly alafu unamsevu sponser na ❤ uogopi
@hodamzungu4107
@hodamzungu4107 4 месяца назад
jamani leo wakwanza nimewahi lakini sitaki like kazi nzuri
@Dontatv255
@Dontatv255 4 месяца назад
Sawaa
@FatyMcute
@FatyMcute 4 месяца назад
Mashallah kazi nzur team kelvin ila lina hii tabia cjapenda
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 4 месяца назад
Hata mmi pia cjapenda mke mmoja waume watatu😢
@FatyMcute
@FatyMcute 4 месяца назад
​@@Marim-sj7oi😢😢 huyu ni hatari aised
@doricemwakasengo1167
@doricemwakasengo1167 4 месяца назад
Shida mapenzi ukipenda utaumia unae mpenda akijua atakukimbia na moyo nao ukipenda utanga'ang'ania hata usipo pendwa huchoki kusubiria
@AlfredKavutha
@AlfredKavutha 4 месяца назад
Kukuua kwn Kuna kingine Cha kukifanya wah tamaaa dada
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 4 месяца назад
Vailet na Maya nashindwa kuwafananisha kabisa mnafanana sana
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 4 месяца назад
Hata huyu rashidi na Kevin pia wamefanana sana
@Iryne-m6f
@Iryne-m6f 4 месяца назад
Vicky anaeza, sna😂😂, Ila kelvin kwa upole na ukarimu, hongera, ❤
@NduguMwananchi-lee5
@NduguMwananchi-lee5 4 месяца назад
Nafasi ya lina angekaa loveness ingekua poa mnoooo
@VumiliaKashindi-y7k
@VumiliaKashindi-y7k 3 месяца назад
🎉🎉🎉😊
@MubayaSelemani
@MubayaSelemani 3 месяца назад
Umefkiri kama Mimi Dear
@IrakozeOlene
@IrakozeOlene 2 месяца назад
Kueli lovenesd💪tena romantic
@QuenDidah-n5w
@QuenDidah-n5w 2 месяца назад
Yani kabisaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂ushasema mpenzi
@QuenDidah-n5w
@QuenDidah-n5w 2 месяца назад
​@@IrakozeOlenekabsa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@marryjames-wl7be
@marryjames-wl7be 4 месяца назад
Huyu lina mshenzi 😂😂sponsar una save jina unaweka na ❤ kabisaa nani kasema 😮we huogopi 😅😅
@JumaMigezo
@JumaMigezo 4 месяца назад
Sema muuza nguo apo katupika kwenye hesabu 😂😂
@MonalisaNdimbo-f8m
@MonalisaNdimbo-f8m 4 месяца назад
Ase kevy ni kama namuona kanumba jaman pambana ase
@اريناارينا-ق3ط
@اريناارينا-ق3ط 4 месяца назад
😂😂😂 Vicky lakini mtaka vyiote hukosa vyiote
@RadjaboyKubita
@RadjaboyKubita 4 месяца назад
Wakwanza toka Congo 🇨🇩 ebu nipeni likes zangu ✌️
@Halima-l7k
@Halima-l7k 4 месяца назад
Masha Allah Wana donta tv kwa kazi nzuri ila mnachelewesha movie
@AfAfit99
@AfAfit99 4 месяца назад
Wa kwanza like zangu jamen
@Dontatv255
@Dontatv255 4 месяца назад
Safi
@Aishybeb
@Aishybeb 4 месяца назад
Jaman nimewahi leo kuwakilisha team hamamm mnipee likes ata mbili ivi ❤❤
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون 4 месяца назад
Damam ama hamamm
@Aishybeb
@Aishybeb 4 месяца назад
@@جاااحظمجنون hamamm
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 4 месяца назад
Wa mwisho jmn naombeni like ata kumi yuko wapi 😂😂😂
@ShazChem
@ShazChem Месяц назад
😅😅😅😅😅😅am dying on fainting ❤,Rashid,Kevii....lina ni mrukaji....kweli ni kabla ya ndoa yangu.....
@FredrickNdyamkama
@FredrickNdyamkama 4 месяца назад
Boss yuko vizur sana na kazi
@Man_Freja
@Man_Freja 4 месяца назад
Clever boy unaipamba hii movie ishaanza kutupa mizuka sasa
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون 4 месяца назад
Hongera sana wana Donta t v🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kanzi nzuri
@liliy-u3n
@liliy-u3n 4 месяца назад
Bro unachelewesha sana😢
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 4 месяца назад
Kama unaamini kuwa vai ma maya ni madada gonga likes hapa tukisonga mbele😢😢😢😢
@AgnesMwende-p9w
@AgnesMwende-p9w 4 месяца назад
Yea wanafanana kweli
@juliettv6626
@juliettv6626 4 месяца назад
Ndiyo wanakwaka wamapacha
@halemamoon1782
@halemamoon1782 4 месяца назад
Wallah tena
@AyubuCl
@AyubuCl 4 месяца назад
Dah ndugu boss kapagaw kinom😂
@ivethanyunga-eh9ri
@ivethanyunga-eh9ri 4 месяца назад
Kazi nzuri sana kelvin endelea kuleta vitu vizuri zaidi 🎉
@MarryMwigan
@MarryMwigan 4 месяца назад
Huu wimbo pia ni mzuri jamanii ❤
@yusufujkululinda4947
@yusufujkululinda4947 4 месяца назад
Kevin mr mapenzi unaziwezea hzi movie za mapenzi jaman❤❤
@CatherineKirugumiCathy
@CatherineKirugumiCathy 4 месяца назад
Kazi nzuri kelvin napenda hii filamu zako zinambamba
@CatherineKea
@CatherineKea 3 месяца назад
Hii team yafaa nyuki awe ndani mwaigiza kitu chenye mpaka mtu anajua ni igizo, igizeni kitu mpaka mtu adhanie ni true story waigizaji kama Kevin ako somehow shy the same na huyo msanii so tafteni character wengine then si kila movie ama series watu ni nyinyi tu washirikisheni watu kama Adam Leo,Gabo Zigamba , Hemedy mwawashirikisha pia kila siku wahusika ni hao hao tu wakat mwingine mwaboesha
@FatmaLyego
@FatmaLyego 3 месяца назад
Wahusika wale wale ila wanabuni vizur
@CatherineKea
@CatherineKea 3 месяца назад
@@FatmaLyego wengine wanakaa shy
@Hope-dq1or
@Hope-dq1or 4 месяца назад
Daaah unaye mpenda hakupendi kumbe anawake
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 4 месяца назад
😂😂umesha ona eee😂😂
@zainabalex9810
@zainabalex9810 4 месяца назад
Punguza unafiki basi Rashid 😂😂
@olicej7837
@olicej7837 4 месяца назад
😂😂😂😂😂na rinah wake😂😂😂
@PamelaNaliaka-dk1xq
@PamelaNaliaka-dk1xq 4 месяца назад
Kevin nazipenda sana movie zako zinatufunza mengi alafu wewe ni mtu wa mzimamo
@dementriaassey
@dementriaassey 3 месяца назад
Kazi nzuli sana Kevi .napend San move zako .hongera san❤
@Fadhila0-x7c
@Fadhila0-x7c 4 месяца назад
Naombeni mnisubscribe guys daah wa mwisho leo
@ElinaziMtenga-q6t
@ElinaziMtenga-q6t 4 месяца назад
Oza
@jacksonstanslaus8967
@jacksonstanslaus8967 3 месяца назад
Ndoa Lin maana cku zinakata ila kelvin haunaga hata machale wewe? Shtuka bac
@Movestime-g4i
@Movestime-g4i 4 месяца назад
Wakwanza from 🇨🇩🇨🇩naomba like hata 100
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون 4 месяца назад
Uzitoe wap
@JohnNzombo
@JohnNzombo 4 месяца назад
Congo mboka makasi tuko pam❤❤oja na Kelvin haya shukua
@auleusmuyamba4208
@auleusmuyamba4208 4 месяца назад
Humu ndan n mwendo wa anayekupenda, humpendi na unayempenda hakupendi na anayempenda hampendi na anaependwa hapendwi, na anayependeka hapendekeki🤣🤣🤣🤣🤣
@LoiceMapenzikenga
@LoiceMapenzikenga 4 месяца назад
Hapo kelvin ukk sahihi sana
@SIASANASSOR
@SIASANASSOR 4 месяца назад
Mbn boc na huyu mfnya kazi wa like wamefanana htr
@NalubegaJude
@NalubegaJude 3 месяца назад
Naitwa Judith naishi UG big up kelvin nakupenda sana ❤❤❤❤
@silvesterjuma17
@silvesterjuma17 3 месяца назад
Hiii movie mwendo wa kuchitiana tu dah sema inaumiza kinyama
@Dianaf774
@Dianaf774 4 месяца назад
Kevin the doctor of love😂😂😂
@saumwaithira
@saumwaithira 4 месяца назад
Kazi mzuri from kenya
@FATUMAMUKUCHA-gu1ej
@FATUMAMUKUCHA-gu1ej 4 месяца назад
Nawapenda sana
@NkunguHussein
@NkunguHussein 2 месяца назад
Jamani linah mbona anatamaa sana uyu mdada
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 4 месяца назад
Hongera team kelvin kwa kuendelea kutufunza 🎉🎉🎉🎉❤
@rizikishukuru7490
@rizikishukuru7490 4 месяца назад
😅😅😅😅😅hii imeweza 🔥🔥🔥 kazi nzuri sana
@JustinaMumbua-j2k
@JustinaMumbua-j2k 4 месяца назад
Shukrani kelvin mwalimu hodari sana umetifuza mengi👋
@twatz2918
@twatz2918 3 месяца назад
Like mother like daughter
@lameckmawuti9759
@lameckmawuti9759 4 месяца назад
Tina umebadilika kweli🎉😢😮jaman like kumi znantosha japo kuwa nmechelewa ❤❤❤
@VioletSumba
@VioletSumba 4 месяца назад
Ka,I mzuri sana ❤❤🎉🎉
@LoveBadro
@LoveBadro 4 месяца назад
wakaka siku izi wanapend vimseleleko😊
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 месяца назад
Hahaaaaà nataka na raba ili nipendezw
@JesckaJuniortz
@JesckaJuniortz 4 месяца назад
God bless u mr kevii unafundixho sanaa
@dearchotay5569
@dearchotay5569 4 месяца назад
Kwan boss wa kelvin nayule msichana anaefny Kaz n kelvin pacha au
@hawasilangala7514
@hawasilangala7514 4 месяца назад
Nawapenda sana ❤️😊
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 4 месяца назад
Kikulacho kiko mikononi mwako khelvin kazi nzuri na team yako maua yenu 🎉🎉🎉🎉
@sifainantore
@sifainantore 4 месяца назад
kavin nawuliza lina na.vai ni mapacha mbona wanafanana sana from burundi
@HadijaHamisi-yt3pn
@HadijaHamisi-yt3pn 4 месяца назад
Mafunzo zaidi twayasubiri❤❤❤
@malyajmpondompondo381
@malyajmpondompondo381 4 месяца назад
Hongeren mov nzur sana
@JacksonKisa
@JacksonKisa 4 месяца назад
Kazi zenu nazikubali sanaaa
@Dontatv255
@Dontatv255 4 месяца назад
Asante sana
@Aqcina98
@Aqcina98 3 месяца назад
Ila nimeipenda hii, kelvin you rock❤
@OveraDavid
@OveraDavid 2 месяца назад
ongereni sana kwakazi nzuri❤❤❤🎉🎉🎉
@GeorgeOdhiambo-fu1jd
@GeorgeOdhiambo-fu1jd 3 месяца назад
Napendanga hii movie 😂😂😂😂
@AaAs-u8i
@AaAs-u8i 4 месяца назад
Muko vizuri naomba mutoe hiyo nyimbo yanimaliza walahi ❤❤❤
@Deontaryprinc
@Deontaryprinc 3 месяца назад
Kevi mwehu kweliii nakukubal Sana apo mwisho mmechez na linah
@HaikaShao
@HaikaShao Месяц назад
Kazi nzuri sana nawafuatilia kila siku ❤
@methodnkundumukiza6367
@methodnkundumukiza6367 4 месяца назад
Dah nakuambia hii movie itafika mwisho mbavu zang zose zikisha isha.
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 4 месяца назад
😢😢😢inauma sana kelvin ukisalitiwa aki spendi ukipitia mateso 💔💔🥺🥺
@BiziaMaziga
@BiziaMaziga 4 месяца назад
Jamani hii nayo ni Kali naona nikichanganyikiwa
@OmarsumairtuariboSumairtuaribo
@OmarsumairtuariboSumairtuaribo 4 месяца назад
Kelvin khan wewe bro una unyama sana brother
@GervasMinga
@GervasMinga 4 месяца назад
Sisi kama mashabiki wa donta tv tunapenda kuwaomba hiii move nayo iendee Kasi spidi yatreni laumeme hiii move nikali jamn siku Moja kabla ya ndoa plizii tunawaomb donta me saiv nimekua Sina lahaaa hii move mnaichereweshaa tu awaombaaa tu awapendaa san❤❤❤😂😂😂
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee 4 месяца назад
Noma Sana rashidi
@aishasidi6673
@aishasidi6673 4 месяца назад
Mmmh daktari😂kweli ndo mna anakucheat hyo linah😂😂😂😂
@Amina-i4r
@Amina-i4r 4 месяца назад
Duuh lina kazi waijua twende nalo😂🎉🎉😂🎉😂
@RoseMylove-m2m
@RoseMylove-m2m Месяц назад
Nini natoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 napenda sana kazi zenu zaidi
@MkomboziSeptroidejeunes2330
@MkomboziSeptroidejeunes2330 4 месяца назад
Waliyo gunduwa kama iyi picha imebadiliwa jina gonga like apa
@monicahjoseph2528
@monicahjoseph2528 4 месяца назад
Wahhh fear ladies ,,, sponsor os calling booom😅😅😅😅😅
@erastopascal
@erastopascal 4 месяца назад
Sanaa❤...Kevin ni genius🎉
@MauwaAmida
@MauwaAmida 4 месяца назад
🎉❤ nimeipenda sana
@evasambila8529
@evasambila8529 3 месяца назад
Kelvin, movie zako zinamasomo ndani yake hongereni xana ❤
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 месяца назад
Kwaiyo Tina aomba pesa kwa jems na jems aomba kwa mshangazi na mshangazi anaomba wakwe zake na uku lina nae aonga Rashidi yani kizungu mkuti bado Kelvin tu nae atoke na mtoto wa boss wake
@joanitainancioestevao3987
@joanitainancioestevao3987 4 месяца назад
Kaká Kelvin nakupenda sana kazi m'zuri 💪
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 575 тыс.
PENZI JIPYA  💞 Love story | DONTA TV
34:30
Просмотров 100 тыс.