Huyu jini kicheche ni kichwa Mbaya Hadi wachawi wamepatwa na putwaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jini mkorofi Sana mpuuuzi kicheche sehemu ya tatu tafadhali 🔥🔥 I really loved watching.
Kwa jinsi Dunia inavyochanganya sometimes ni Bora uishi maisha ya Raha mafupi na wakati ukiwa unajua unaenda kabisa kuzimu... Kuliko kuishi kwa shida na Bado ukaenda hukohuko🤣🤣🤣🤣