Haya mahusiano ukiyaangalia vizuri ni kama jux anafanya hivi ili ajiridhishe baada ya mpenzi wake wa Zaman kuolewa na mnigeria anaeishi marekani rotimi so inawezekana yasiwe na serious yoyote ni mtazamo wangu..
Jux baba apo apo uliposhikilia usiachie mzee baba...umeshawapiga kwenye mbavu apo wanaigeria....yan apo ushajipata jux ...ushatuheshimisha tayar sasa..akikisha tunazaa nae na ikiwezekana ndoa kabisa ..mana mawifi watanzania tupo hapa🇹🇿+🇳🇬=to🇹🇿🇹🇿to 🇱🇷🇱🇷...baba jux ushajipata hapo usimwache tafazali..ushawapiga kwenye mshono ..ila naamin Daimond kichwa lazima atakushauli vizul kuwa usimwache ili mziki wetu uzidi fika mbal
Yan ninavingi vyakusema ila kiufupi jux awe mjanja atumie fursa iyo...apo ni chura anapigwa teke...aya mzee baba jux kaz kwako nimuda wakimataifa uwo...kiupendo awo watu p wakipenda kwel wanakwaama mana sio watu wabaya kiroho..ila ujuwe kwenda nao..kaz kwako jux
Kwanza kinyota wanaendana..j na p lazima jux afike mbali kwa uwezo wa allah..trast me to. P ni upepo au hewa.na j ni udongo sasa lazima upepo upeperushwe udongo haswaaa kimafanikio..japokuwa p hapend kubanwa banwa na upepo unapenya popote kwaiyo kimagamikio safi ..kimausiano itakuwa changamoto kidogo mana p aipendi kubanwa inapenda mambo ya uprey boy..kuinjoy so Akimspoil kama ivyo safi mana ndo nyota ya p inavyopenda..ila the more unavyompenda nakumuweka karibu wakati mwingine anapenda kueskep hawapend comitiment...sasa apo jux ampige mimba ..ila kimafanikio iyo p itamsukuma sana j..sasa apo ndo muda jux tembelea upepo baba