Hapo pa tina na loveless dada wa kazi nmerudia mara ishirini weee tina jamani wow much love donta tv nmetamani kuendelea kuwatch but ni sawa tu acha niwe mvumilivu 😅❤
Tutakusamehe kabsa kwa kutucheleweshea ni vile tu hii ina dakika nyingi hilo usijali na nibora maoni kuhusu movie kuliko anaeomba like kwavile tu amekuwa wa kwanza ku angalia movie
Muvi zakeliv ziko bomba Sana kwa sababu Kwanza maneno take tuu mafumbo yake yani kweli Zina fundisha San keliv kaniiiii daitar hongera San Kelvin kwazi zuri pamoja na wote mnao shirikiyan pongezi kwenu mungu awabariki San mzidi kutowa muvi nzuri zaidii❤😢
Jaman loveness dada angu nakupenda xana naomba na Mimi bas nije ata nifanye kaz na nyie mwambie kelvin bas napenda kuwa kama ww yaan unafanya kaz Kwa ufasaha Mungu akutangulie jaman ila naomba unijibu ❤❤❤❤❤