Siku ya pili katika vikao vya tume inayochunguza sakata ya polisi bandia Joshua Waiganjo ilibainika kwamba sare za polisi alizovalia wakati alipoendesha shughuli zake pamoja na kibali chake cha polisi hakukabidhiwa na idara husika ya polisi.
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on www.ktnkenya.tv
21 янв 2013