Тёмный

Uchunguzi Kuhusu Askari 'Bandia' Kuanzia 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 413
50% 1

Jopo litakalotwikwa jukumu la kuchunguza sakata inayozingira utendakazi wa jamaa anayedaiwa ni polisi bandia Joshua Waiganjo linatarajiwa kuanza kazi yake na kuwasilisha ripoti yake siku 10 baadaye kama ilivyoagizwa na Rais Mwai Kibaki. Haya yanajiri huku mkuu wa polisi mkoani kati Francis Munyambu akiwa bado hajajitokeza kuzungumzia anachokifahamu kuhusiana na sakata hiyo iliyochipuza katika eneo alikowahi hudumu kama mkuu wa polisi mkoani Rift Valley.

Опубликовано:

 

5 янв 2013

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
IQ Level: 10000
00:10
Просмотров 2,9 млн
Citizen TV Live
Просмотров 13 тыс.
Polisi Bandia
2:25
Просмотров 11 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 413 тыс.
Edward Snowden: How Your Cell Phone Spies on You
24:16
Polisi Bandia
1:35
Просмотров 168 тыс.
Polisi Bandia
1:03
Просмотров 157 тыс.
A Muslim Man Enters a Church - They Laughed
39:53
Просмотров 1,3 млн