Тёмный

Polisi Washitukia Mchongo Watoa Tamko Zito Kudhibiti Nia ya Vijana wa CHADEMA Mbeya 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 1,7 тыс.
50% 1

Kamishna Awadh wa Jeshi la Polisi Tanzania amenukuliwa akisema “Viongozi wa CHADEMA wameendelea kutoa kauli ambazo hazioneshi kuwa na lengo la kwenda kuadhimisha siku ya Vijana duniani bali ni kwenda kuhamasisha kufanya vitendo vinavyolenga uvunjifu wa amani kwa Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, miongoni mwa kauli hizo ni za Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa Twaha Mwaipaya”
“Naomba ninukuu “kama kijana yeyote unaipenda Nchi yako umeshalia miaka yako yote, siku hiyo ya tarehe 12 mwezi wa nane tunakwenda kuweka hatma ya Taifa letu la Tanzania mkoani Mbeya” kauli nyingine ni “tupo serious sana na jambo hili kwahiyo Vijana wote wa CHADEMA kama ambavyo Vijana wa Kenya wamejitambua tarehe 12 mwezi wa nane tunakwenda kuacha uteja kwa Serikali Vijana wa Kitanzania na kuweka maazimio makubwa ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025”
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@fauzseif7344
@fauzseif7344 29 дней назад
Hongereni police lindeni amani tunawashukuru sana
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 29 дней назад
Hongera asikali Mkosahihi Wanatoa rugha chafu
@YangaNews
@YangaNews Месяц назад
Yaani ccm jueni hatuwataki kabisa hilo juenu
@fauzseif7344
@fauzseif7344 29 дней назад
Hivi hawana familia zao wakae na familia zao kila siku barabarani labda hawa ni,,?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 29 дней назад
Tunatoa kodi yetu inawalipa mshahara badala y kutulinda mnawatesa kwa kulinda watawala wa CCM
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 29 дней назад
Mnatesa watanganyika utakaa polisi mpaka mwisho wa Dunia? Utaishi polisi sisi wanainchi tunamlilia Mungu atawahuzunisha siku moja
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 29 дней назад
Viashiria gani mlivyo viona? Hamna lolote ila ninyi mnania ya kuuwa watu kwa kutetea vyama vyenu
@user-ti8fn1wn1w
@user-ti8fn1wn1w 29 дней назад
Tatzo nini sasa
@levispaultitus8623
@levispaultitus8623 Месяц назад
Jambo la kiusalama halihusiani na mambo ya vyama vya siasa kuvuruga amani ya nchi yetu kama vyama vya siasa vinashindwa kufanya siasa za kistaraabu zisilete hoja za maandamano yenye uvunjifu WA amani jeshi la polis mko sahihi akionekana mtu barabarani fanyeni kazi yenu.
@StephenMpallange
@StephenMpallange Месяц назад
Wewe Kama una double standard.Mbona CCM kupitia jumuia ya wazazi wameandaa michezo ya Mpira wa miguu nchi mzima ili kurubuni vijana kuichagua CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa .Polisi mnapendelea CCM tu.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 29 дней назад
Huwashughulikii kwa mujibu wa sheria. Katiba inaruhusu wewe ni zaidi ya katiba?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 29 дней назад
Sasa kama unataka kuandamana kama huwezi kuarifu watu utaandama peke yako. Hatukubaliani na ninyi polisi. Kwahiyo walianzisha vijana kukusanyika ni wajinga duniani?
Далее
HII NI KIBOKO YA WAHABI
19:33
Просмотров 7 тыс.
MACHIFU  MBEYA WAWAONYA WAKAZI WA ITUHA
14:10
Просмотров 92 тыс.