Тёмный

POLISI WATATU WAFUNGWA MIAKA 20 JELA -NI WALIOMTAPELI MSAIDIZI wa NYERERE MIL 73 kwa MENO ya TEMBO.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 44 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 72   
@globaltv_online
@globaltv_online 9 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@hamisndusu3625
@hamisndusu3625 9 месяцев назад
Bongo hii
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 9 месяцев назад
Polisi baadhi yao ni wezi wakubwa,watu wengi wamefanyiwa unyama mwingi ila hawana wakuwasaidia kama huyu mzee
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 9 месяцев назад
Mbona hawa mahakimu wanapenda hukumu ya miaka 20 natudia tena nanyi mtahukumiwa milele na Mzee pesa utaiisamehe kwa kuwa wahusika wameshafugwa wameshahukimi pole Mzee utalipwa kesho Kwa m Mungu kama kweli na hao polisi hakimu pia atawalipa Kwa m mungu nae hakimu atahukumia milele
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 9 месяцев назад
Kama ujawai kukutana na awa jamaa kwa kubambika kes unaweza ukazan wameonewa police nchi ni changamoto sana
@thobiasjmollely3585
@thobiasjmollely3585 9 месяцев назад
Wapo wengi Askari kama hao tena hapa Arusha.
@EdinahLadislaus
@EdinahLadislaus 9 месяцев назад
He! Pole sana mzee wangu
@akramissa3393
@akramissa3393 9 месяцев назад
Asilimia 99 ya polisi ni mijizi, wala rushwa na hawafai kabisa. Uozo mtupu jeshi la polisi. Wengi hawana elimu na hapo ndo ahida inapoanzia
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 9 месяцев назад
Hao polisi waliingia cha kike,hawakumjuwa hyo mzee kiundani
@allymsafi1716
@allymsafi1716 9 месяцев назад
Ahah walimvaa mtu wa system
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 8 месяцев назад
POLISI WAPO CORRUPTION TANGANYIKA MBAYA SANA 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@alumonkisinda4574
@alumonkisinda4574 9 месяцев назад
tia ndani na huko jela naomba wafungwa kama wakiwajua uhunu waliofanya huku inje piga pasua pasua sura vibaya mno
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 9 месяцев назад
Hiyo ni fundisho kwa askari wengine
@festohaule9716
@festohaule9716 9 месяцев назад
Polisi wengi ni wapo kwaajili ya dili dili tupu... Polisi jengeni Nchi pasipo Dosari....
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 9 месяцев назад
Sabaya si ndio aliwatuma?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@SamwelsankaHhaynu
@SamwelsankaHhaynu 9 месяцев назад
Pole sana mzee
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 9 месяцев назад
Kuhusu hizo hela kwa kweli itakuwa ngumu sana kuzipata kwani zilivyochukuliwa Ni kiuzambazi kabisa sasa shida kuaminika profesa Maeda itakuwa Ni ngumu hapo yeye asamehe na tatizo sababu zile million 30 alizorudishiwa yeye ashukuru mungu angeuriwa Kama yule kijana mchimbaji wa madini Musa Madola Bora mzee Maeda asamehe kwa vile Yuko hai.
@yusuphmawila2952
@yusuphmawila2952 9 месяцев назад
Kwa fikra zangu huo ni mchezo tu wa kumfurahisha mzee tu Kama alienda takukulu na wakamwambia tunalijua hilo afanye j.pili moja awatembelee Kama atawakuta mbna hakimu swala la kulipwa mzee pesa zakee wamelitupia mbari sana tujiulizee
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 9 месяцев назад
Mmmh sawa sawa
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 9 месяцев назад
Pole Sanaa mzee Maeda
@OmbeniLuka
@OmbeniLuka 9 месяцев назад
Jeshi la polisi lina majambazi wengi sana ndani yake
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 9 месяцев назад
Arudishiwe pesa yake
@gasperswai6963
@gasperswai6963 9 месяцев назад
Safo saaaana politics baadhi siyo wote lakini wengine ni hekaheka
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 9 месяцев назад
Ingekuw ni nchi yamalawi hao wote wasingeshikwa au kufungwa kasabab nchi ya Malawi Rushuwa ni kul kwao hat viongoz
@luzigakapande6921
@luzigakapande6921 9 месяцев назад
Mzee huyo warejeshe pesa zake watuhumiwa hata nyumba zao ziuzwe ni kufungwa kwao wahalifu haisaidie
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 месяцев назад
Askari huwa wanapitia wakati mgumu , wapo wengi waadilifu Tena saaana, Hao wamejikanyaga Tena saaana , Msaidizi wa Nyerere ? Dah huyu Mzee atakuwa ni mtu wa kazi, na alijua fika mwisho wa Hao askari utakuwa mbaya, pole saana Mzee Maeda , piga picha Sasa kwa raia wa kawaida ambae hajui sheria wala hakuwahi kuwa mtu wa kitengo
@Kabwela776
@Kabwela776 9 месяцев назад
Hamna askari waadilifu Tanzania ni wala rushwa si wanaume wala wanawake
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 9 месяцев назад
Acha wakomeshwe tu askari siyo watu wazuri hakika
@felixkinyamagoha5715
@felixkinyamagoha5715 9 месяцев назад
Polisi tumieni nguvu siku hizi watu wanatumia akili.
@ibrahimelisha6842
@ibrahimelisha6842 9 месяцев назад
😂😂
@lenard2556
@lenard2556 9 месяцев назад
Baadhi ya askar wanachafua jeshi letu,sio waadilifu wamekuwa ni watu wenyetamaa iliyopitiliza
@paulojohn9608
@paulojohn9608 9 месяцев назад
tatizo njaa kali
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 9 месяцев назад
Mhuuu dunia hii
@wilsonmadaha
@wilsonmadaha 9 месяцев назад
hawakujua kama mzee ni kachero MSTAAFU.polisi bana njaa sana na hii inatokana na elimu ndogo kwa askari wa chini ikiwa ni pamoja na mishahara midogo
@franciskira925
@franciskira925 9 месяцев назад
Ndio maana yakistaafu yanaenda kuwa walinzi kwe nyumba za watu na vituo vya mafuta!
@rosehaule6765
@rosehaule6765 9 месяцев назад
Nako pia wanatoa mchongo yaan ni ahida😢
@fatmaally7252
@fatmaally7252 9 месяцев назад
Pia uko wanafanya matukio yani kwa kifupi ni awafai
@franciskira925
@franciskira925 9 месяцев назад
Asilimia kubwa ya manjagu ni majambazi!
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 9 месяцев назад
Tamaa huwa zinwponza sana watu hawaridhiki na chao ila serekali pia iwaangalie askari mshahara wao mdogo ndi mana wanazidi ukatili japo ni tabia ya mtu sijawatetea jamani ila wanamshahara mdogo sana
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 9 месяцев назад
Kama mshahara ni mdogo si unaresign
@MabulaDoto-xb6xr
@MabulaDoto-xb6xr 9 месяцев назад
Kama mishahara midogo kwani walilazimishwa kuomba kazi acha kuongea ujinga ww
@NdinawePwele
@NdinawePwele 9 месяцев назад
Baadhi ya porisi wanatamaa sana wanakela sana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 9 месяцев назад
Arudishiwe pesa zake kufungwa haitamsaidia knbuka yeye ni mstaafu
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 9 месяцев назад
Una huakika kama kweri ela alizitoa
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 9 месяцев назад
Sio 2023 ni 2024
@franciskira925
@franciskira925 9 месяцев назад
Sasa hii inasidia nini!? Watu wamefungwa, lakini pesa hamna!
@Zaburi-
@Zaburi- 9 месяцев назад
Huu ni mwaka 2024
@Zubaiba
@Zubaiba 9 месяцев назад
Wamrudishie Kisha walimwe kifungo na adhabu ya viboko 200
@mlewamlewa976
@mlewamlewa976 9 месяцев назад
Wpo wengi wenye tabia hizo
@RichardMadebe-f1m
@RichardMadebe-f1m 9 месяцев назад
Police ni tatizo sana ktk inchi hii rushwa kwao ni somo acha wanyee debe kisongo
@rosehaule6765
@rosehaule6765 9 месяцев назад
Mtoto wngu asomee ntapambqna kwa hali na mali elimu ni mtaji mkubwa
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 9 месяцев назад
Asikari puuuuu yaani ndio maana wakistafu wanatembea na malapa vipande usijepeleka mtt wako awe polisi ingawaje sio wote ila ktkt asilimia 100 ni aslinia 95 wabovu kabisa
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 9 месяцев назад
Atalipwaaaa
@rosehaule6765
@rosehaule6765 9 месяцев назад
Nataka nijuwe tu mzee alirudishiwa pesa zakee mniambie nyamavuu
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 9 месяцев назад
Hizo hela sio rahisi kuzipata
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 9 месяцев назад
Hao hawakufungwa wametekenywa tu
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 9 месяцев назад
Haki haizami
@greetysiame-vr7yg
@greetysiame-vr7yg 9 месяцев назад
Haki yangu iiileee ilishazama labda maeda anisaidie
@KalistMushy
@KalistMushy 9 месяцев назад
Imewatokea puani
@denisjoel1592
@denisjoel1592 9 месяцев назад
Police, siwapend km kinyes aise,washukur magu hayupo
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 9 месяцев назад
Si waliiba wakati wa magu
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 9 месяцев назад
Waongezewe na viboko 20😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 6 месяцев назад
😅😅😅😅
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 9 месяцев назад
Askari wetu ni tatizo wanachafua sana NCHI yetu japo sio wote
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 9 месяцев назад
Hao Askari ni mbwamnuko,wanataka kunyanyasa wa2.Yanyongeni,yalipe pesa xa wa2 km yana nyumba au magari yauxwe Mxee wa wa2 alipwe pesa xake.
@shedrackpiniel6800
@shedrackpiniel6800 9 месяцев назад
Mbona yule kibaka mwingine amjamfunga
@charlesshitobelo6870
@charlesshitobelo6870 9 месяцев назад
Kwanza kabisa ninaunga mkomo askari hao kutiwa hatiani na kufungwa ingawa wamefungwa miaka michache. Hata hivyo, ninafurahi sakata hilo amefamyiwa mmoja ya vigogo wastaafu ambao tunapolalamikia udhaifu wa Serikali wao daima huitetea Serikali wakidhani wao hawataguswa; ningefurahi sana kama hayo yangempata Mzee Wasira, ningefanya sherehe.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 9 месяцев назад
😅😂❤
@mossesmichaelnzowa3378
@mossesmichaelnzowa3378 9 месяцев назад
Wamechimba. shimo, wakatumbukia Wenyewe. Hili ni fundisho kwa wanaopenda kubambikizia Wenzao kesi za ajabu ajabu
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 9 месяцев назад
Sio 2023 ni 2024
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00