Safi sana ndugu yng nimeanza kukubali kz zako kitambo2 na nilikua natamani sana siku moja ucheze movie ya namna hii kwakua najua kbs kwa hapa Tanzania 🇹🇿 nijaona km kuna mtu anaweza kucheza huu na kuvaa huu uhusika wa ULEVI km wewe ndg yng YOUR THE BEST AND THE FIRST. By mdg yako hapa #Chinga from ENGLAND 🇬🇧 United Kingdom.