Utazamaji wa Video za Ngono zimekuwa Tatizo kubwa kwa Vijana wengi sasa na waandaaji Maudhui wengi wamekuwa wakikwepa kuelezea kwa undani namna Utazamaji huu unavyoharibu Maisha ya wengi ila Kama kawaida ya Funguka Na Mimi Tv Huwa tunafunguka na wewe ata iweje lazima tukuelezee Ukweli ili usipotee, inuka simama Tazama mpaka Mwisho UTANIELEWA.
#videozangono #pornography #addiction #motivation #therapy #howto #overcame #unaweza #wewenimkubwa #ushindi Funguka Na Mimi, hamasika, Ushauri nasaha, Jinsi ya , mafundisho, Elimu ya tabia
29 окт 2024