znz ya asili imechukua imechukua nusu ya uzuri wa ulimwengu.. ama leo tunaiharibu wenyewe kwa kuiga utamaduni wa nje.. hatujui utamaduni wetu ndio mtaji wetu.. ndio unaofanya watu wa ulimwengu mzima kuja kutalii znz.. l❤znz Mungu ibariki znz..
Naomba kurekodia Taarab zangu katika Studioni penu.Nasikiliza kila kitu shwari. Maneno yanasikika vyema huku yakisindikishwa na ala kwa ustaarabu. Heko magwiji. Mashairi yangu waweza kuyasoma katika Gazeti la Taifa Jumapili la kila Jumapili kutoka Kenya. Utapata najiita Mukoya Aywah, Malenga Mpelelezi.