Nimeisikiza hii nyimbo saa 8 usiku nikiwa nimetoka kufanya ujinga flan hivi🙈 nikasikia kwa nguvu sana wimbo huu wa NANI ANGESIMAMA by bro MTISHIBI ukigonga ndani yangu kisha ukaja wimbo wa NEEMA YAKO by SIMFUKWE oooooohh🔥🔥🔥🔥 kuna nguvu katika uimbaji guys..Nimeamini kuwa leo ndio mwisho wa upuuzi wangu in JEUS NAME. AMEN
Kupitia huduma yenu hii njema nimeuhisi uwepo wa Mungu ambao sijauhisi muda mrefu.Mungu awabariki sana baraka zote za mwilini na rohoni na azidi kuwatumia kugusa watu kama mlivonigusa mm leo.AMEEEEEN!!!!!
When this great men sing about neema i am a testimony to who God has been in there life more grace papa zoravo my mentor joel lwaga dda bella kombo viwango zaidi