He is Yeshua, the Son of God, lineage of David.....He was before the beginning of time....He had been exalted and sits on the Right hand of the Father. His name is filled with power, no one can fathom. Everything bows at the utterance of this marvelous name, every tongue truly confesses and shall confess that he is the LORD.... Yeshua, you are the Prince of peace, the Wonderful counsellor, the light that shines my path, my life and my Truth 🙏
Kuna vitu vitamu nyieee😋In His presence 🔥hii ladha haielezeki nakwambia ulikuta unaweza kuielezea bado hujaelewa na hujalewa 🔥🔥🔥BABA ANAWATAFUTA WATU KAMA NYIE
Yes hii ndomaana ya kumwabudu Baba katika Roho na kweli hakuna haja ya kuangalia nan anacomment nn napenda na kuvutiwa na hii kitu... Brother you are my mentor for real
Jamani hii nyimbo binafsi naona ni kama wakristo tunaiga nyimbo za hiphop za kidunia ....hii nyimbo inaburudisha zaidi mwili kuliko kuhuisha roho kwa maoni yangu....
Mimi nilivyosikiliza hizi rap nimeona kama,haiko katika kuabudu,,coz mtu akirap unahitaji kusikiliza anasema nn sasa kitendo cha kusikiliza unakuwa kama unatoka rohoni,,naona Ki Mungu kuimba ni bora zaidi
Msisahau kuwa shetani alikuwa malaika mkuu wa sifa mbinguni so alivyoshushwa duniani hakunyang'anywa ujuzi wake ndo mana anautumia ule ujuzi katika nyimbo za dunia na watu wa Mungu wanafikiri kumuimbia Mungu kwa kurap ni kosa, hapana sio kosa ni mnajaribu kujulishwa kuwa Mungu anaweza imbiwa kwa namna yoyote ile,,,
Your destroying the gospel music, hakuna uwepo hapo ni kelele tu, the song has a very good name pia massage ila mnaiharibu. john 4:23 (waabuduo halisi) Zoravo ulikuwa safi ila kwa sasa unaharibu rudi kwa Mungu, pia stand with right people.Mungu awasaidie sana.
😂😂😂😂Ety arudi kwa Mungu kwahiyo hapo ni wapii.. Na hao right people ni wapii.. Wacha kutuwekea vikwazo kwenye kumsifu Mungu. Na hizo kelele unazosema ndo Mungu anazipenda sasa.. We are praising the Most Highly God. Who is Yeshuaaa😍😍
I hate this rap things worldy things yaani hivi kwanim8 muibgine mambo ya kidunia kwenye wimbo wenye uwepo kama huu mmeuharibu wimbo wa watu kiukweli wasikilizeni wenzenu wanaijeria wanavyoimba na uwepo wa Mungu unashuka
nimiondoko tu hiyo mzee unawza tumia any of kama taarabu rege kwaito afropop classical ni nyingi doesnt mean ni dhambi ni vile ww umezoea kusikia hiphop za secular