Тёмный

Prayer for Open Doors | MID-NIGHT PRAYERS| Day 1| PASTOR GEORGE MUKABWA || 01/10 /2024 

Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@MithiaruChristine
@MithiaruChristine 19 дней назад
Mungu baba nakuomba unifungulie mlango wa baraka na unipee cheo maishani mwangu kwa ajili ya utukufu wako.
@ruthabed
@ruthabed 2 дня назад
Mungu naomba ulinzi wako mm nafamilia yangu tumalize mwaka salama
@EllyMasam
@EllyMasam 16 дней назад
Baba naomba mponye binti ameugua zaidi ya mwaka sasa
@Rosterphillip
@Rosterphillip 24 дня назад
Fungua maisha yangu na familia yangu linda na watoto wangu na ndoa yangu na uchumi wangu asante Mungu kwa neema yaako
@glorygodson
@glorygodson 24 дня назад
Mungu Inua kiwango changu chaimani nikupende ww nikujue zaidi maishani mwangu nikutafute kwabidii usiku namchana
@PeaceSamson-h1m
@PeaceSamson-h1m 24 дня назад
Asante Mungu kwa ulinzi wako miezi Tisa. Hata mwezi huu wa kumi nakushukru . Ni neema tu baba nakushukru.nakushukru.
@SophiaSteven-nc1li
@SophiaSteven-nc1li 23 дня назад
Asante yesu wewe ambeya kwako hakuna lisilowezekana
@RashidikenyaMahenge
@RashidikenyaMahenge 24 дня назад
Amina🙏🙏🙏
@happiejackson6662
@happiejackson6662 23 дня назад
Amen
@matimfuko641
@matimfuko641 24 дня назад
Malango yangu yamefunguliwa na njia zangu zipo wazi in Jesus Mighty name.🙏🙏🙏
@TinaNganga-v8z
@TinaNganga-v8z 24 дня назад
Amen and Amen.Milango ya mizuri imenifungikia kwa jina la Yesu.
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE 24 дня назад
Natamani Mungu aniheshimishe
@Phal0ha-i1u
@Phal0ha-i1u 24 дня назад
Mungu nisaidie nipate nafasi kwa ajili ya haya maombi adui wa usingizi hauna achia lango katika jina la yesu
@safialuhizo4979
@safialuhizo4979 24 дня назад
Mungu nifungulie mlango wa kupandisha maisha yangu
@shshygibb2236
@shshygibb2236 25 дней назад
❤❤❤❤❤Amen,.Thank you Lord❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Thank you for your true prophecy thank Mighty for giving us Pastor prophet George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Asante Be Blessed more and Abundantly ❤❤❤❤❤❤
@claramangi838
@claramangi838 25 дней назад
Mungu fungua malango yangu ya ndoa na unibariki na watoto wakiume na wakike . Baba naomba kibali chako kiniongoze kazini 🙏🙏🙏
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys 25 дней назад
Malango yangu hayatafungwa usiku na mchana 🙏amen 🙏
@GeofreyIsote
@GeofreyIsote 24 дня назад
Amina Mungu akubariki
@JescaJemsi
@JescaJemsi 23 дня назад
Amenii
@nancymtana1812
@nancymtana1812 25 дней назад
Mungu fufua uchumi wangu uliokufa katika Jina la YESU❤
@RachelVugutsa
@RachelVugutsa 25 дней назад
Asanti Mungu malango yangu hayatafunga katika jina la yesu Christo. Amen 🙏🙏🙏am fully blessed
@JosephThuku-cq9cs
@JosephThuku-cq9cs 24 дня назад
mungu Unifungulie milango ya ndoa uchumi wangu na kibali
@nellykadenyi
@nellykadenyi 25 дней назад
❤❤❤❤❤ amen bleesings prayer
@FurediMussa
@FurediMussa 25 дней назад
ubarikiwe baba hakika umenibariki sana
@ThomManda
@ThomManda 25 дней назад
Amen kweri mungu anaweza🙏🙏🙏
@AgnesNyaleso
@AgnesNyaleso 25 дней назад
Amen amen amen 💖
@ThomManda
@ThomManda 25 дней назад
Mungu naomba unifungulie mlango no 2 asante pastor
@rachelogola5670
@rachelogola5670 25 дней назад
U mwema Yesu❤
@ThomManda
@ThomManda 25 дней назад
Asante watumishi Thomas from malawi
@Agnes-rl8co
@Agnes-rl8co 25 дней назад
Mungu malango yangu hayatafunga
@nitikekubetta9152
@nitikekubetta9152 24 дня назад
Amen
@VeronicaJacob-md4lv
@VeronicaJacob-md4lv 25 дней назад
asant baba mwez huu mpenyo na kibali
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 25 дней назад
Baba nakuomba fungua malango ya biashara ya mwanangu kwa jina la YESU kristo wa Nazareth
@RomanaMrosso
@RomanaMrosso 20 дней назад
Asante Yesu kwa kufungua malango yangu.
@ziporadaffa7988
@ziporadaffa7988 24 дня назад
Please media team naomba turushie mapema kidogo prayer points. Mumebarikiwa
@EunicePato-xy3ds
@EunicePato-xy3ds 24 дня назад
Mungu nifungulie mlango wa ndoa na unibariki na biashara ,bariki pia kinachoingia mikononi mwangu eee mungu wa upende shuka baba unitendee namm
@DennisAngweye
@DennisAngweye 24 дня назад
Sound
@belindanambuchi6474
@belindanambuchi6474 25 дней назад
Naitaji hiyo saatano niwapate live how will I do
@annapeter1280
@annapeter1280 25 дней назад
NAOMBA KIULIZA HAYA MAOMBI NI MPAKA LINI NA YANAANZA SAA NGAPI?PLZ
@rahelkiula1988
@rahelkiula1988 24 дня назад
Nina swali hili pia
@dianasigfried25
@dianasigfried25 24 дня назад
Ni ya siku 5, yameanza jana usiku tar 01/10. Yanafanyika kila usiku kuanzia saa 5 usiku au tano na nusu kwa muda wa saa moja na nusu.
@claramangi838
@claramangi838 25 дней назад
Amen 🙏🙏🙏
@EveSapoma
@EveSapoma 25 дней назад
Amen
@theonestinalema710
@theonestinalema710 24 дня назад
Mungu nifungulie mlango mzuri, kibali, upenyo. Naharibu upinzani wowote uliowekwa na shetani katika malango yangu na njia zangu katika jina la Yesu
@EsthermlongoEsther
@EsthermlongoEsther 25 дней назад
Amen amen 🙏
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 25 дней назад
Amen 🙏
@prisca4612
@prisca4612 25 дней назад
Amen!!!!!
@filorammbaga5710
@filorammbaga5710 24 дня назад
Amen
@ElizabethNgowi-t8d
@ElizabethNgowi-t8d 25 дней назад
Amen
@claramangi838
@claramangi838 25 дней назад
Amen
@VailethJimmy-v7u
@VailethJimmy-v7u 25 дней назад
ASANTE MUNGU, ASANTE MTUMISHI WA MUNGU PASTOR GEORGE MUNGU AKUPATIE MAISHA MAREFU YALIYOJAA BARAKA, ASANTE KWA MAOMBI YA MWEZI OCTOBER 2024. BARIKIWA NA BWANA YESU ALIYE HAI. AMEN
Далее
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 3 млн
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15