Тёмный

PROF. MUHONGO ATAJA UTAJIRI WA MADINI NCHINI “TUFANYE MAAMUZI HARAKA TUTAILISHA DUNIA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@mohdmood9726
@mohdmood9726 4 месяца назад
Kuna tatizo kubwa mahali, haiwezekani nchi yenye utajiri kama huu kutegemea mikopo ya nje.
@titusmassay997
@titusmassay997 4 месяца назад
Wabunge kama hawa ndiyo wapewe muda wakutosha , siyo muda wako unaisha . Madam Speaker angalia hii mambo. Asante
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 4 месяца назад
Kazi iendelee
@edsonkennedy8027
@edsonkennedy8027 4 месяца назад
ASANTE SANA TUPO hapa MINING GEOLOGY IT
@greysondavid6445
@greysondavid6445 4 месяца назад
Umasikini wa Watanzania si rasilimali bali fikra na maono hasi ya viongozi wetu.Tukubali kupokea mashauli mazuri mazuri kutokw kwa wasomi wetu wazalendo nakuyafanyia kazi kwa vitendo. Ninaumia ninapo ona tunaomba misaada na mikopo kwenye pesa ambazo zimetokana na rasilimali zetu wenyewe. Hili siotaifa la kulialia kwa kuomba missada. Tunakila kitu kataka ardhi hii ila tumepungukiwa maarifa.
@tanzanite1
@tanzanite1 4 месяца назад
Hongera kwa kufikisha Subscribers 5M 🎉🎉 Kaka Millard
@robertmhikwa8174
@robertmhikwa8174 4 месяца назад
rasilimali ni nyingi lakini umaskini hauishi tatizo ni nini? ccm ni zaidi ya tatizo
@NicholausLaurent-t6x
@NicholausLaurent-t6x 4 месяца назад
Mihongo upo vzr xma wakati wa uwazir wako ulijikita kwenye ifisadi wa IPTL NA ESCROW 😊
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 4 месяца назад
Sawaaaaaaa
@MosesEmanuel-fs3lc
@MosesEmanuel-fs3lc 4 месяца назад
❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@emmanuelmwanga9664
@emmanuelmwanga9664 4 месяца назад
Prof Mhongo ana akili sana
@ibrahimjohnndege4160
@ibrahimjohnndege4160 4 месяца назад
hii nchi bila katiba mpya hamna lolote
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 месяца назад
Hatuna kitu kasema
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 4 месяца назад
Anzeni na EXCEL
@DIEUDONNE-PRAY
@DIEUDONNE-PRAY 4 месяца назад
Naweza kumpata je Brother millard Ayo kuna jambo nataka ku ongeya naye
@emmanueltillya2017
@emmanueltillya2017 4 месяца назад
Serikali fanyieni kazi mawazo ya professor Muhongo.kila siku anaimba.Musoma mrudisheni huyu mtu bungeni iwe kwa kura,iwe kwa fitina maana ni jembe.
@karyori69
@karyori69 4 месяца назад
Aache kuropoka alipokuwa Waziri alifanya nn?
@misanaantipas8338
@misanaantipas8338 3 месяца назад
Yaani watu kama wewe ni shida mtu.anaeleza nondo za shule wewe unasema anaropoka duh,kazi iendelee
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 4 месяца назад
Mzee mwizi mkubwa auyu anajifanya kasoma anaiba vibaya mno
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 4 месяца назад
Partneship with saudi alafu wawekeze kisha partneship na japan for tech only mbona tunatoboa provide scholarship kwa kila mwanafunzi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 4 месяца назад
Ninyi mazombi mna partnership ya kitu gani huko kwao😐😐
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA 4 месяца назад
Ww fala kila kitu unataka tumpe mwarabu unaakili ww
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 месяца назад
Bora hiyo gesi ibaki mpaka katiba mpya ipatikane
@mohamedsaid2882
@mohamedsaid2882 4 месяца назад
Haitozaa wala kuongezeka hy gesi unayoisema. Tuache kufukiria kwamba sisi ni maalumu na tupo pekeyetu kuwa na haya madini na gesi hizi sizo rasimali bali ni kiinua mgongo rasilimali yenyewe ni wananchi waliosoma na afya njema
@pascalyalema6925
@pascalyalema6925 4 месяца назад
Huyu mzee ana kitu asikilizwe
@abdulomari4932
@abdulomari4932 4 месяца назад
Huyu alikuwa nani kwa magu
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y 4 месяца назад
Eti Dr kwa kiswahili ni nini maana ya grant😅😅😅
@MathematicsInTZ
@MathematicsInTZ 4 месяца назад
Serikali ijitahidi sana kuwasikiliza hawa wasomi, huwa wanaongea kwa data
@user13375
@user13375 4 месяца назад
Wenye akili huwa hawaeleweki kwa slow leaner
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 4 месяца назад
Mama mitano tena mbona tunafika pazuri zaidi
Далее
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45
Презентация iPhone 16 за 4 минуты
04:00
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Просмотров 111 тыс.
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45