Тёмный

PROF. NOMBO ATAKA TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI 

Подписаться
Просмотров 77
% 4

DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu wa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Caroline Nombo ametoa wito kwa vyuo vikuu, taasisi za utafiti, na wadau kushirikiana ili kuhakikisha Tafiti zinazofanywa na wabunifu zinaleta tiaja kwa Jamii na Taifa kwa Ujumla.
Prof. Nombo Ameyasema Hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati Akizindua Miongozo ya Kitaifa ya Usimamizi wa Utafiti na Ubunifu ya Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH).
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: Spotileo-176...
HabariLeo: habarileo/
DailyNews: dailynewstz/
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии