Тёмный

Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na Watanzania wanaoishi Marekani. Part 2 

TBConline
Подписаться 415 тыс.
Просмотров 150 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 239   
@samwelshija119
@samwelshija119 5 лет назад
Kwetu ni kwetu, Prof Kabudi, you're the best father. Ila Magufuli is the best president, wako wengi viongozi wazur kama Prof Kabudi, ila hawana nafasi kabisa. Watafute tu tupo father. God bless you ever
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
tahira mwingine
@mwenem8130
@mwenem8130 6 лет назад
Asante sana Prof Kabudi kwa kutuelewesha. Mungu azidi kukujalia Hekima.
@romanstephen4101
@romanstephen4101 6 лет назад
This is another level of educating, proud to have you in our mother land Tanzania
@mrangi4454
@mrangi4454 5 лет назад
Prof kabudi safi sana tumekuelewa vizuri sana
@iviejustified8109
@iviejustified8109 5 лет назад
Huyu mzee anafahamu saana... Anaelewa saana.. Namsikilizaga saana .... Watakatifu.... Kizito!... Asante mzee wangu
@ShukranChitema
@ShukranChitema 7 месяцев назад
Mzee namuelewa sana
@aristidisamba1573
@aristidisamba1573 4 месяца назад
Huyu ni Proffessor ni msomi wa kariba ya juu.
@hassansamata9696
@hassansamata9696 5 лет назад
Dah umeongea historical Mh Kabudi nimekuelewa sana
@ecologuideaceae.2178
@ecologuideaceae.2178 6 лет назад
Yes Part 2 .., it is here again.. Thanks to Tbc , prof kabudi n provider. ✊🏿
@bethuelmagoma6606
@bethuelmagoma6606 5 лет назад
Prof. Palamagamba Kabudi you are a TRUE SON of your mother land. A real patriotic Tanzanian Professor. May God bless you now and always.
@AmonMwaijengoForester86Mwai
@AmonMwaijengoForester86Mwai 5 лет назад
This is next to Magufuri. Tanzania ns are sooo bright. Keep up the same spirit.
@vitalisshija5947
@vitalisshija5947 5 лет назад
Hazina zingine za watu Tanzania ndo hiyo! Tulichelewa kukupata na kukutumia, Asante mhe Rais kumpata Prof Palamagamba Kabudi.
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 лет назад
Vitalis Shija kabisaa
@paulmumelo2884
@paulmumelo2884 3 года назад
Prof. Kabudi kweli unaweza mungu akubariki
@samwelshija119
@samwelshija119 5 лет назад
Nashukru sana mzee wetu, siyo kwamba Tanzania hatuna wasomi!!! Wapo ila shida ilikuwa uzalendo. Masilai binafisi ndo yametawala miongoni mwetu. Hao watanzania unaongea nao baba, siyo wote walioko huko Wengine walisha kataa kwao. Lazima tujitambue turudi nyumbani... Siyo vibaya kuwa ughaibuni lakn lazima tuwe wazalendo.
@rahjah5882
@rahjah5882 5 лет назад
Nimejifunza mengi sana leo asante Professor
@francissumira1061
@francissumira1061 6 лет назад
Aksante sana Mungu kwa hazina ya huyu Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, bingwa wa Sheria, Nguli wa Sheria/ Fundi wa Sheria nimefuatilia speech yako yote ambayo imejaa / sheheni kila kitu na unamadini ya kutosha kichwani, asante Pr. Kabudi (Bruce Lee) uliwachakaza ACACIA
@humphreysangito3099
@humphreysangito3099 5 лет назад
Kaka hata mie namkubali huyu Prof. Ni mzuri kwa kila eneo la sheria ....swali ni je? Atatenda haki?. Haijalishi una elim na maarifa kias gani juu ya taalum yako...kinachokupa hijara njema ni kutenda haki siku zote.
@makupejafari9339
@makupejafari9339 5 лет назад
Wewe usiouficha uyao wako safi sana tupopamoja kabila linatangazwa kwa ivyo sio kijificha
@cosmasevarist6221
@cosmasevarist6221 5 лет назад
Sure
@khadijaabdalla1011
@khadijaabdalla1011 6 лет назад
I agree with Pro. .when it comes to citizenship and our land we should be very careful. .
@KhalifaMponda
@KhalifaMponda 15 дней назад
Prof wangu nakukubali sana kiongoz...wewe ni hazina ktk nchi yetu
@isaacemmanuel5512
@isaacemmanuel5512 5 лет назад
Very powerful speech, I salute you Prof. Kabudi
@suzanamnyaonga410
@suzanamnyaonga410 4 года назад
Nimeelewa saana ! Baba hongera!
@romanstephen4101
@romanstephen4101 6 лет назад
Shikamoo Professor.
@jamaa2760
@jamaa2760 5 лет назад
Prof. Uko vizuri,,, ulitiririka madini.
@vitalisshija5947
@vitalisshija5947 5 лет назад
Prof Kabudi ,you are uniquely identifiable. W are proud of you to be born in Nyerere land.It cements also to have his Excellency Dr John Pombe Magufuli our President to be our leader at this moment timely
@markmangaya4947
@markmangaya4947 5 лет назад
The next Tanzania president Dr Kabudi..
@benoseaone
@benoseaone 6 лет назад
Asante Prof. Njoo unione navyopita katika maneno unayoyasema leo kwa vitendo.
@niccokisinini3703
@niccokisinini3703 4 года назад
Kabudi paramagamba ni Mtu mhimu muno TZ , wasomi Kama Hawa wakifa wasizikwe wawe vielelezo kwa vizazi vyetu Mimi nitasimama kwa niaba ya watz Mungu ampe Afya na maisha marefu Hakika wewe ni nabii wetu Nabii Prof Paramagamba kabudi
@beathapontian2187
@beathapontian2187 Год назад
Mungu akulinde🙏🙏
@saidbarawa9623
@saidbarawa9623 2 года назад
Great brain,keep up
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
Prof. Anashuka nyanga za kufa mtu.. I am proud and thankful. for such conscious people..!
@katabazinelson2127
@katabazinelson2127 5 лет назад
Kaka hizo nyanga ni za kiwango cha juu sana😂😂😂
@saidbarawa9623
@saidbarawa9623 2 года назад
Great leader,long live
@noelmaruwa6662
@noelmaruwa6662 5 лет назад
Much congratulations brilliant Professor of law.
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 5 лет назад
Nakukubali sana baba waeleze hao chotara warudi nyumbani
@athumanomary1171
@athumanomary1171 5 лет назад
Asante san mwenyez MUNGU mkuu
@bigdad1816
@bigdad1816 6 лет назад
Thank you Professor thank you so much you .
@shaabans.marijani9659
@shaabans.marijani9659 6 лет назад
Much better professor kabudi
@nduwimanafrederic6562
@nduwimanafrederic6562 5 лет назад
kabudi ni musomi wa kuiga
@khalidjimmy5774
@khalidjimmy5774 5 лет назад
Nimekuelewa sana prof
@jerrykikuli3700
@jerrykikuli3700 5 лет назад
Very smart gentleman
@jafaribori601
@jafaribori601 5 лет назад
Hasante Sana kwa ufafanuzi mzuri, naipenda nchi yangu yanzania naipenda Africa najivunia kuwa mtanzania MUNGU ibariki Tanzania MUNGU ibariki africa
@mapesamale3379
@mapesamale3379 5 лет назад
Uko vizuri professor
@tajiriloibanguti4129
@tajiriloibanguti4129 5 лет назад
am so understood you professor, you speach is so right
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
we lazima tahira
@jungaonema6970
@jungaonema6970 6 лет назад
Jamani watanzania mnamsomi Mkubwa sana mnastahili pongezi
@karungukarungu4621
@karungukarungu4621 5 лет назад
Ko
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
tahira mwingine
@alitesco4943
@alitesco4943 5 лет назад
Thank you waziri mungu akupe Marsha marefu wewe na mpenzi watu mheshimiwa raisi mtatukubalia raia pacha mungu aibariki Tanzania magufuli oyeeeeeee
@msemajafar3873
@msemajafar3873 3 года назад
Safi sana waziri umengea vzuri Maana Kunawatu wakiskia wabembe wanajuwa wote niwakongomani, wapo wabembe hata uzalendo wakongo hawana, babuzao wapo kabla hata yakuitwa Tanzania
@drmuha5419
@drmuha5419 5 лет назад
Prof unatisha umeirudisha heshma yetu kimataifa hongera sana.Tanzania JUUU
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 4 года назад
Professor Kabudi umenifundisha mengi leo nimejua mengi
@fredrickswai2566
@fredrickswai2566 5 лет назад
Kumbe ya muda ila heshima kwako prof
@okelotv8316
@okelotv8316 6 лет назад
Aiseee huyu ni moto mwingine Du. unastahili kujivunia uwepo woko kabisa
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
tahira mwingine
@tzmny4909
@tzmny4909 6 лет назад
Mnao bisha uyo simwana sheria tu bali ni prof wa sheria
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
tahira mwingine huyu ni profesa wa ccm , mahakam ni ya ccm , katiba ni ya ccm , kwa hiyo usizungumzie Kenya , Kenya wako mbele yenu miaka 30 sasa
@rutakihama7599
@rutakihama7599 6 лет назад
Daaaaah nakuelewa sana Prof
@zablonsegere5007
@zablonsegere5007 5 лет назад
Ahsante baba tunakuamini kama Rais wetu alivyokuamin
@teddyhedry1825
@teddyhedry1825 6 лет назад
Daa umenitoa ushamba prof
@franktenga3416
@franktenga3416 5 лет назад
Safi sana
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 лет назад
Safi mzee Kabdi
@vincentmasanja789
@vincentmasanja789 6 лет назад
Professor speech yako ni darasa tosha.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 лет назад
Ila ww Prof Paramagamba, ni hazina ya historia ya Tanzania.
@Rehema140
@Rehema140 6 лет назад
nakukubali san mzee wangu
@jorammhila5423
@jorammhila5423 5 лет назад
Katika watu wajinga ni huyu profesa uchwara.
@samwelmollel1141
@samwelmollel1141 5 лет назад
Mr. President hv a right person for really.
@soleimaniabdul8898
@soleimaniabdul8898 3 года назад
mimi jina langu naitwa soleimani abdul naishi marekani nyumbani ni kigoma naipenda sana nchi yangu ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤❤❤🙏🙏🙏
@aviryhaule5593
@aviryhaule5593 5 лет назад
Prof kabudi namkubali sanaaa
@titus_maridhia
@titus_maridhia 6 лет назад
Huwa navutiwa sana na Speech za Palamagamba
@clevalupakisyo7460
@clevalupakisyo7460 6 лет назад
Mtu bado anabishana na prof. kabudi....ha ha ha...daah
@nkyabosi4827
@nkyabosi4827 4 года назад
Nimeona umuhimu wa Kuwa an mwalimu katika nafasi ya uongozi serikalini
@jumamwengwa4682
@jumamwengwa4682 5 лет назад
Duuuh!!!!!Kweli Tanzania ndiyoo nchi ya AFRIKA. Nchi inayoficha siri za watu. Kuna watu wanaelewa ila wanabisha🤣🤣🤣🤣.#🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
tahira mwingine
@mselimsuya6952
@mselimsuya6952 5 лет назад
huyu Prof hata akistaafu arudi chuoni kufundisha, he knows things.
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 5 лет назад
Tumekuelewa sana
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 5 лет назад
Mhhh!!! Shulee !!! Nimekuelewa saana Professor.Hakika ni Mmoja wawasomi wanaoitumia vizuli taaluma yao sio professor Jina ila unadhihirisha Taaluma yako.
@nawihadj6674
@nawihadj6674 5 лет назад
Siwezi kujutaa ulivyokuwa mwalimu wngu ple mliman nakuitaga baba prof Aidan kabudi
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 5 лет назад
Wambieee mkuu wana danganywa sana iyooo warudi nyumnani tuijengee nchi yetu
@dn.n4983
@dn.n4983 6 лет назад
Asante sana muheshiwa sasa ni inarusiwa kuwa kiwanja kujenga hotel au svjule au nyumba bila tatizo watajaa hao ni sawa wapemi haki zao wanadjulumiwa sana wajisikia wajenga taifa tukiwa wengi tuta win umasiki umekwesha watasaidia ndugu xao pia
@dn.n4983
@dn.n4983 6 лет назад
Mungu mbariki zrais wetu na taifa lake kweli mafuli ni ameletwa kila jambo hanatatua ilil swala kika wakati ni hadidhi tu sasa imefika inabidi rais utoa tamko watadhania wote wemye urai mwingine warudi wajengea wazazi wao wawekeze wanunuwe viwanja na walipe kodi ubarikiwe Rais wetu mpendawa
@andersonmartins7674
@andersonmartins7674 6 лет назад
Prof you are the best
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 лет назад
Napendaga Sana stori ukirudi nakutafuta professer
@SEMANKA97
@SEMANKA97 5 лет назад
Yupo sawa kabsaa mtu wa Marekani akae huko asituzingue na uhuru wao
@idioume59
@idioume59 5 лет назад
Hakika baba, Muumba akupe maisha marefu
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 года назад
Yaaniiii!!,, Ahiiiiiii,,
@ramadhanineneza7317
@ramadhanineneza7317 5 лет назад
Mh huwa sichoki kukusikiliza
@alwatanalgilgilan-y3078
@alwatanalgilgilan-y3078 5 лет назад
Ww kweli prof uliepitia phd.maana kuna maprof wengine hawana phd.mfano prof majimarefu,prof gogo😂
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
Abrahman Ahmed , phd za kupewa sio
@luganomwaulesi8761
@luganomwaulesi8761 5 лет назад
Huyu jamaa kichwa sana
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
Huyu mzee inaonekana research zake zilikuwa konk sana.. Machapisho lazima yashibe ndio upewe masters, phd etc
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 5 лет назад
Bonge la speech! Najivunia sana wewe prof kuwa mtanzania
@adamkaita3009
@adamkaita3009 6 лет назад
yaani ktk watu huwa sichoki kuwasikiliza ni huyu profesor palamagamba kabudi yaani speech zake zimenyooka na hasa pale anapotoa mifano ya nchi zingine dah hiki kichwa kweli
@mndolwagendo9006
@mndolwagendo9006 5 лет назад
MzeeMagufuli hongera sana kumpata mzalendo huyu profesa Kabudi ananikumbusha mbali sana hasa yale mabango ya mwl Nyerere yaliyokuwa sekondari yakiwataja wanaopata nafasi ya kusoma kuwa privilege wakiwasahau wanavijiji waliojima wakati wa njaa ni wasaliti.Naomba yarudi tena mashuleni.
@piusrobart1040
@piusrobart1040 5 лет назад
faah huyu kabud ninapenda kumsikiliza sana kwasababu ni mtu anaezungumiza kwa kujiamin
@SuperKibwana
@SuperKibwana 5 лет назад
Katika hotuba hii ya mheshimiwa, nimejifunza mambo mengi sana. Kongole kwake na kwa watanzania wote.
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 2 года назад
Kabudi tunakukubali sana
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 лет назад
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾😍🇹🇿
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 10 месяцев назад
Walugulu mpo
@sophiechristine3522
@sophiechristine3522 6 лет назад
Umeniarudisha darasana Prof.
@dn.n4983
@dn.n4983 6 лет назад
Asante sana muheshimiwa kwa hiyo kujenga hotel na kujenga viwanda na kuwa nyumba inarusiwa safi mbona twajaa sana mdio vizuri tuwe wamoja hao ndugu zetu wawe nauwakika maisha yao pia wakiwekeza sio kudhulumiwa tena kidumu chama cha mapinduzi Mungu ibariki tanzania na rais wetu JPM
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 5 лет назад
Where are you Sophie?
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 4 года назад
Prof ✊🏿✊🏿
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
Ili uwe kama Kabudi, itabidi usome sana vitabu, research na kuandika machapisho ya kutosha. Sio mchezo. Mimi ki masters changu kinanitesa balaa😁
@drjmipawa5111
@drjmipawa5111 5 лет назад
Rais mtegemewa
@amanilema71
@amanilema71 4 года назад
Kweli hapo rais wa Tanzania alipata jembe l guvu yuko saw San mungu akuongoxe
@allymngwaya9855
@allymngwaya9855 5 лет назад
Yaaani mimi huwa na download hotuba za huyu Prof namsikilizaga muda wote. Huyu ni kiboko
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 лет назад
Hata me aiseeee
@tituskaducha490
@tituskaducha490 5 лет назад
Kama umesikia SIKONGE gonga like
@jimmundakega8117
@jimmundakega8117 4 года назад
Kabudi Naomba uandike kitabu juu ya Uraia wa Tanzânia:kama tayari kitangazwe ili tukinunue.
@albertokindole4454
@albertokindole4454 5 лет назад
Prof
@richardtv8339
@richardtv8339 5 лет назад
Nmekua nkimsikiliza prof. Lumumba speeches nakujaribu kutafuta a prof. from tz to compare with, kumbe tunae Prof. Palamagamba
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 лет назад
Kabudi we nikichwa aisee dah!
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 лет назад
Huyo Baba namkubali sana
@edwingideon7599
@edwingideon7599 5 лет назад
Professor Lumumba hamfikii hata nusu Professor KABUDI...
@abedimuhamedi3003
@abedimuhamedi3003 5 лет назад
Edwin Gideon unajua unachoandika?
@almatrashid1812
@almatrashid1812 5 лет назад
Nimemuona mange kimambe hapo anaskiliza kwa makini
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 лет назад
Sahihi kabudi upo vyema sanaaaa
@samiamassawe5703
@samiamassawe5703 5 лет назад
mashine kubwa hii hachoshi kusikilza waweza kushinda njaa kwakumsikilza huyu mtu ni atar vibaya mno watamwelewa tu one day
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 лет назад
@@samiamassawe5703 kweri kabisa hachoshi kumsikiliza yupo vyema
@SEMANKA97
@SEMANKA97 5 лет назад
Wambie ukweli tu watarudi wala si muda mrefu in 20 years watakuwa wanajigamba kuwa watanzania
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 6 лет назад
Kuna wengine hapo watakuwa hawajui Kiswahili si wamezaliwa American.
@utaani1
@utaani1 5 лет назад
Kwa Mara ya kwanza kumsikia huyu jamaa kuwa na maneno yenye maana na busara
@idioume59
@idioume59 5 лет назад
Hakika Profesa wewe unasababu ya kuwa waziri ila zaidi ya hapo wewe na mfuasi wa kweli wa baba etu hongera
@saidsahd1971
@saidsahd1971 5 лет назад
Safi sana profesa lakini usijekufata nyayo za profesa mwenzako tu lipumbaavu kwani sasa hivi anajizalilisha tu.
@geraldkishenyi5786
@geraldkishenyi5786 5 лет назад
Hujakosea Mimi ni mnyambo lkn ninaongea kinyankole tofauti na kihaya japokuwa rugha zote ninazielewa kinyambo kinyankole na kihaya pia na kinyarwanda na kiganda na huko kote Nina ndugu zangu na wamezaliwa uko
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 948 тыс.
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Просмотров 184 тыс.
URAIA PACHA TANZANIA
1:29:43
Просмотров 30 тыс.
PROFESA KABUDI NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
12:51
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Просмотров 302 тыс.