Тёмный

Pt2_USHUHUDA WA DORCUS WA BURUNDI•ALIVYOACHA VIPODOZI BAADA YA YESU KUMTOKEA NA KUMFANYIA OPERATION 

PROMOVER TV
Подписаться 155 тыс.
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@judywarui768
@judywarui768 29 дней назад
Amen testimony nzuri sana...mimi niliviacha ivo vyote..nimeziweka mahali nizichome zote...Mungu ni mkuu...sio rahisi kama umezoea mapambo but Mungu atatusaidia kuviacha
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 месяца назад
Barikiwa sana dada Dorcas kwa kusikia mwito wa Bwana Yesu Kristo wa Nazareti..promover team baraka tele kwa kazi munaoifanya..
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 2 месяца назад
Amina. Nami natamani Yesu anishindie kwenye tamaa niliyonayo.
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 2 месяца назад
Barikiwa ndg, ila chukia hlo jmbo toka ndan ya moyo wko kisha ingia maomb ht ya siku 3 kujitenga na hyo roho, utakaa sawa
@JestaLuhanya1
@JestaLuhanya1 Месяц назад
Ahsante kwa kutujenga
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 2 месяца назад
Amén nmejifunza kitu kupitia ushuhuda huu .Mungu awabariki sana sana sanaaaa
@Priska247
@Priska247 2 месяца назад
Mungu asifiwe sana. Kweli kuokoka ni safari inaitaji kusikiya Yesu.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 месяца назад
Glory to our Lord Jesus forever. Am blessed may God bless you more and more for being blessings to many. Ni kweli na hakika kadhalika anayetaka kuwa mwanafunzi wangu lazima aache vyote. Mungu sifa ni zako milele. Tusipo viacha vyote hatutaiona mbingu. Asante Mungu uliona mimi sio wakupotoshwa na ulimwengu ukaniokoa kwa neema yako. Asante Yesu.
@AlineMukunda
@AlineMukunda 2 месяца назад
Asante mubarikiwe kwa hushuhuda namimi bwanawetu Yesukristo alinikataza mapambo nakunambiyakama mwanamke Yezebeli diye alikuwa anaweka mapambo soma 2 wafalme 9 :30 UTAFAHAMU kuhusu rangihizo soma 1 petro 3:3 mubarikiwesana
@CamaraSyntya
@CamaraSyntya Месяц назад
Amen
@annkim2690
@annkim2690 2 месяца назад
Mume wake alikua anampenda Sana pole Sana dada
@thetine1000
@thetine1000 2 месяца назад
Bise rafiki yangu mungu akubariki sana yesu ni wa bien ubarikiwe kwa USHUHUDA wako
@ArnoldMumango
@ArnoldMumango 2 месяца назад
Amen dada, ubarikiwe Sana
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x 2 месяца назад
Ooh AMEEN,ushuhuda huu unanijenga sana,barikiwa mama,barikiwa pia mtumishi jacq musafiri umetuweya baraka huku kwetu Burundi,karibu Gitega tunamuhitaji sana mch Katekera Amiel naye aje huku baraka zake tunazihitaji pia
@luthgadeschrispin6554
@luthgadeschrispin6554 2 месяца назад
Asante Mungu akubariki sana
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 месяца назад
AMEN Asante BWANA YESU Kwa Ushuhuda huu Nibadilishe nami nitabadilika Nigeuze nami nitageuka AMIN🙏
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 месяца назад
Dorcas ubarikiwe sana ushuhuda wako umenijenga
@annkim2690
@annkim2690 2 месяца назад
Nimecheka Sana ATI watu Wana mkimbiza wakisema tazameni muombaji anavaa bataloni Yesu nae nikiboko
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 2 месяца назад
Nimebarikiwa hakika
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 2 месяца назад
Ubarii kiwe mama Dorkas
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 2 месяца назад
Mapambo kuaca siyo rahisi ila waliyo wa Bwana wanaweza
@EstherJoseph-i5y
@EstherJoseph-i5y 7 дней назад
Nami niliacha mapambo. Nilikuwa nashundwa kusali nikiweka hadi nitoe. Nina miaka mi5 sasa situmii
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl Месяц назад
11: 11:36 11:36 11:36
@geitandelwa299
@geitandelwa299 5 дней назад
Yes hili ndo kanisa alipebdalo MUNGU TUACHE KUMUSAHIHISHA MUNGU NA NDIO MAANA NGUVU ZA MUNGU HAZIMO MAKANISANI KISA TUNAFANYA UJINGA MWINGI
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 2 месяца назад
Nakuelewa ata Mimi ili niache yote imekuwa mtiani sana
@nizigamaviolette-ig9dl
@nizigamaviolette-ig9dl Месяц назад
Waliowake aliwajuwa zamani iyo nineema uliopea siowote wanapata iyo neema
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 2 месяца назад
Tuweza sukiwa nyele zetu TU?
@adelaj.k5920
@adelaj.k5920 2 месяца назад
chana tu na kubana.. hazisukwi 😊 @ 1Timotheo 2:9, 1petro 3:3
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 месяца назад
​@@adelaj.k5920ubarikiwe ni ukwel
@CamaraSyntya
@CamaraSyntya Месяц назад
Apana
@janengaga2928
@janengaga2928 2 месяца назад
Ewe MUNGU naomba nifunulie yote Mema ya MBINGU.
@annkim2690
@annkim2690 2 месяца назад
🤣🤣🤣 usicheze nakuacha mafuta ya kujibleach ama na mikorogo unatisha kweli mara maraka maraka meusi wacha tu yalinikuta
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 месяца назад
Haaaah!!
@yvonnemuyengo5823
@yvonnemuyengo5823 2 месяца назад
Amen
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 месяца назад
Amen
Далее
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
Просмотров 8 тыс.