Тёмный

Pt6_NILIONA MBINGUNI WENYE VAZI JEUPE SAFI NA WENYE DOA NA SABABU ZAKE•Ushuhuda wa Aston Adam Mbaya 

PROMOVER TV
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 3,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@ubunifu113
@ubunifu113 11 дней назад
Amina barikiwa sana! Haya mafundisho yapo practical zaidi anafundisha mtu ambaye alikuwa na Yesu mwenyewe
@sallymumia8425
@sallymumia8425 10 дней назад
Hallelujah, hallelujah for this changing powerful testimony,to transform I pray that prophet to visit. Us,Kenya,we need this..and the whole promover TV...
@PromovertvTz
@PromovertvTz 9 дней назад
Amen,kwa neema ya Mungu
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs 4 дня назад
​@@PromovertvTzAlishawahi kuja pale Kakamega, Western Province.
@jeniphatemu2937
@jeniphatemu2937 10 дней назад
YES, WE LOVE YOU ALL , MBAYA IS OUR LOVELY SERVANT OF GOD. MAY GOD BLESS HIS FAITHFULLY.
@bahatishitindi
@bahatishitindi 9 дней назад
Asante sana promove TV kwa kujari roho zetu Mungu awabariki sana
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 10 дней назад
Nabarikiwa sana n ushuhuda huu Kw nabii Aston Mungu akupe maisha marefi🎉❤
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 День назад
Amen
@EmmaSanga-uq5hv
@EmmaSanga-uq5hv День назад
Ameen sana
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 11 дней назад
Asante mfalme wa falme
@Jeremia9h
@Jeremia9h 11 дней назад
Amina. Nimebarikiwa na kujengwa
@JeremiaMwamuzi
@JeremiaMwamuzi 11 дней назад
Asante yesu
@SiwemaBeatrice
@SiwemaBeatrice 11 дней назад
Amen ubarikiwe
@borntosucceed6877
@borntosucceed6877 10 дней назад
Amina mmbarikiwe na Bwana tunatamani Aston aje 🇺🇸 USA
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 11 дней назад
Amen 🙏🙏
@endtimes9850
@endtimes9850 7 дней назад
Naona wapo, wasioamini.... Na wapingao... Vyema tunatazamia mapingamizi.. lakini ... Lengo letu kuu lakulibadili kanisa lililo na mbegu za giza ... na uchafu wa thiolojia lazima litimie ... Na hakuna wakutuzuia
@ocgmazee4042
@ocgmazee4042 11 дней назад
Nimebarikiwa na kujifunza upya
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 5 дней назад
ee BWANA YESU NAOMBA NIREHEMU NISAIDIE KUIFUATA DHAMIRI YANGU PALE INAPOFANYA KAZI
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 10 дней назад
😢kwaiyo wewe huwamini Kama nikwer Murize Bwana
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 11 дней назад
Muwe munajilidhisha kwanza ujumbe wowote mnaopewa na watumishi kabla ya kuulusha, vinginevyo mtajihalibia CV zenu, 😅😢😅
@bethmkwama6704
@bethmkwama6704 11 дней назад
Una maana gani
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 11 дней назад
Unamaanisha kwmb hujaamini ushuhuda huu? Basi kaa pembeni, endelea na unachoamini
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 11 дней назад
Kuhusu Aston, ushuhuda wake, umekaa ktk Neno la Kristo. Ushuhuda huu ni wa miaka mingi na alifunua miaka hiyo kuwa wafuasi wa TB Joshua (wa Nigeria) wapo kuzimu wanalia; na baada ya miaka mingi kupita; hapa majuzi, tumesikia jinsi T.B.Joahua alivyokufa kwa kauli ya Mganga wa Kienyeji aliyesema ndiye aliyempa T.B.J pete ya uganga na kwamba atamwua; na baada ya siku chache T.B akafa na mganga akarudi kwenye Television kusema amemaliza kazi. Watu tukajua T.B hakuwa wa kweli kama alivyoshuhudia Aston Mbaya
@EliaFrank-i7e
@EliaFrank-i7e 11 дней назад
Wana wa ulimwengu na uzao wa joka kuu hawataki kusikia yaliyo ya mbinguni
@ado_mushi
@ado_mushi 7 дней назад
wewe unaonekana ni miongoni mwa wana wa anaki nn, au Oguu... tuache sisi wana wa Mungu tusikilize ujumbe wa baba yetu Yesu anaetupenda maana wana wa anaki na Ogu washahukumiwa tayari
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 2 дня назад
Amen
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 10 дней назад
Amen
@LylianeBauma
@LylianeBauma 11 дней назад
Amen
@YAUSHATV
@YAUSHATV 11 дней назад
Amen
@toshalulinda1493
@toshalulinda1493 10 дней назад
Amen
Далее
Real respect sig
00:48
Просмотров 1,4 млн
"Mawazo" Sehemu Ya 70 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
36:53
Miaki no iguthira.
37:20
Просмотров 6 тыс.