When i was young abt 10 yrs ago i never saw any beauty on this girl. But today 2021 I'm watching this vid and im shocked on how beautiful this lady was. This was true beauty ❤
The most beautiful song from child hood to adult hood king kiba & Queen darling I love this song in 2023 from Khartoum Sudan together tanzanian artist 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tangu nyimbo hii kumjua kwini darling,hakuna nyingine inayozd hii na kwini kupotea mwenye gem,kiba anajua maana ndo aliemtambulishakwini mjini na kujulikana,namkubali sana kiba mchawi wa mzk mzuri.
Queen darlin alianza kuonekana muda kwenye nyimbo ya Abby skilz na Mr Blue naaliendelea kutoa nyimbo baada ya hii pia hii nyimbo ni ya queen darlin Kiba kashilikishwa
Kabla hujawa kingi nakufatilia kabla kakaake na shemeji yetu ajaannza me nakufatilia ww ni noma yani huchuji upotei uko na ubola ule ule kakaangu mpendwa mungu akueke zaidi na uendelee fanya vyema zaidi
Mimi nimekuja kuhakikisha kabisa 🤣🤣🤣 kweli huyu mkaka huaga hadanganyi kabisa 😂🤣🤣 kumbe kote kasafisha huku 😂😂😂 ndomana bifu aziwezi kuisha 😂😂😂huku king anamtesa mwenzie jaman mpaka na dadaake jirani amepita kote 😂😂😂😂
Can someone please tag king kiba for me..yaani hii ngoma yanikumbusha them days wakati mapenzi yalikua ya kweli si materialistic kama siku hizi anyways naeza skiliza back to back until morning