Тёмный

Raia elfu moja wa Ukraine wakwama visiwani zanzibar 

DW Kiswahili
Подписаться 186 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@elishamwakipiti1044
@elishamwakipiti1044 2 года назад
ila wao kwao ni wabaguzi sana
@hijahamad6401
@hijahamad6401 2 года назад
Poleni
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 2 года назад
Tuwaombee mungu vita imasimame inshaallah
@MwanahabariDigital
@MwanahabariDigital 2 года назад
vipi kuhusu kwenda kwenye ubalozi wa EU au wa nchi za ulaya rafiki na Ukraine?
@brownmoss7048
@brownmoss7048 2 года назад
U welcome to Africa we need to help
@camillahamis1069
@camillahamis1069 2 года назад
Rudisha kwao hao wanasumbua watu zetu huko hawataki wapande treni
@joycekunyanja1027
@joycekunyanja1027 2 года назад
Niny wazungu wapuuz sana mnalia nin? Mnajua Tanzania watu wahuruma mbona wenzetu wapo kule mnawabagua kuvuka mipaka na niny mjijue halafu na niny achen ujinga
@neemakikoti5091
@neemakikoti5091 2 года назад
Ushinde ubaya kwa wema
@abdallahally842
@abdallahally842 2 года назад
Hao wabaguzi tu wanawabagua waafrica kuwachukua kwenda nchi jirani kwa wanavita lkn wanawabagua watu wa Africa wanachukua wazungu waafrica wanaawaacha wakidhalilika na kufa kwa vita sisi tunawaonea huruma lkn wao wanabagua
@abdulghanramadhan5915
@abdulghanramadhan5915 2 года назад
Usiwahukumu watu kwa kosa la watu wengine.km unataka kumsaidia mtu msaidie mtu kwa ajili ya Allah dini ndivo inavotufundisha.na kuhusu ubaguzi ukrine sisi hatukubaliani nao, ila ukisema tuwabague na sisi itakua hakuna solution tutakua hatujengi daraja bali tuta creates more problems, wakisaidiwa hapa then wakirudi kwao wata clear misconception that people have then watatusifia hapo ndipo tutajenga daraja
@papawaroma
@papawaroma 2 года назад
Kumbe sio wafrika peke yao wanapata shida ya vita.
@khamismaulid6839
@khamismaulid6839 2 года назад
Warudishwe kwao tu hao kwanza sio watu wazuri trust mi
Далее
Chakula maarufu Forodhani#Zanzibar
3:32
Просмотров 20 тыс.
Hiroshima - the unknown images
52:01
Просмотров 13 млн