Тёмный

Rais Magufuli alipohani msiba wa mkwe wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo tarehe 21 Julai 2018 akiongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, amefika Msasani jijini Dar es salaam nyumbani kwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete kutoa pole kufuatia kifo cha Mkwewe Mzee Rashid Mkwachu.
Marehemu Mzee Mkwachu ambaye ni baba mzazi wa mke. wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, alifariki dunia tarehe 19 Julai 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 Год назад
Subhanallah kifo ni pazia
@rajabusanani4032
@rajabusanani4032 6 лет назад
Safi kuna Maisha baada ya kazi, Utu na ubinadamu ndio Msingi wetu watanzania bila kujali mengine yoyote, Innalillah Waina Illah Rajiuun
@antoineakimanayase5996
@antoineakimanayase5996 6 лет назад
Rajabu Sanani kabisa kabisa alafu jamaa Magu ni mstaarabu sana na mtu mwenye heshima kweli. Kamvulia kofia bosi wake wa miaka mingi mstaafu Kikwete kabla ya kumsalimia licha ya kwamba sasa na yeye ni raisi. Angekuwa mwingine mtu hapo angekuwa kama baunsa flani hivi lakini just simple and humble dude he is! Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda DAIMA amiin!
@mactongathe179
@mactongathe179 2 года назад
ukisema "Shkamoo Kaka" bila kufikiriaa na ikitoka Moyoni hutasita Kutoa Kofiaaa..... HESHIMA KWAO Hawa Viongoz_
@japhydejerry2908
@japhydejerry2908 3 года назад
Daaaah yani anaeweza kukuumiza ni rafiki yako wa karibu RiP
@myself4128
@myself4128 3 года назад
Yuda msaliti..mzee hakujua anacheka na muuaji mwenye Tabasamu
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 3 года назад
R.I.P RAIS WANGU MAGUFULI
@rashidsaidi2118
@rashidsaidi2118 2 года назад
Jeshiiiiiiii
Далее
Growing fruit art
00:33
Просмотров 3,4 млн
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Просмотров 81 тыс.
‘Ujana’ wa Kikwete wamshangaza Rais Magufuli
0:55