Тёмный

EXCLUSIVE: JAKAYA KIKWETE / MAISHA Baada ya URAIS / BIASHARA BINAFSI / AFUNGUKA MENGI | GOOD MORNING 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 16 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@sunyareh
@sunyareh 7 часов назад
Samia Suluhu kamuuwa magufuli nimeona mpaka alivyo muuuwa, na Raisi kuondoka hapa haondoki mpaka aafe Raisi wa maisha ni Samia suluhu, Zainabu Laila.
@nivesmapunda694
Mmmmm mh.Rais mstaafu tunakukumbuka sana hasa sisi watumishi wa umma. Mungu akujalie maisha marefu!
@user-fr7jj1bo7y
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
@jee9473
@jee9473 21 день назад
Kufanya mahojiano na mtu kwenye televisheni ukiwa umevaa miwani ya jua kunaweza kuonekana kama ni kutokuwa na weledi ama kuwa kinyume cha maadili katika uandishi wa habari.
@sunyareh
@sunyareh 7 часов назад
Ni mchawi na ameenda Nigeria uchawi huu mkubwa ni wa Samia suluhu Hasan, Samia ni jina la mtoto wa Rafiki yangu mama yake anaitwa Juma,e, na Hasan ya baba yake ni jina la baba mmoja amefia UK na Korona, Suluhu itskuwa ya mtu mwingine hapa Tz. Na amesema anataka nyota yangu hawezii chukuwa mpaka nife ndiyo achukukuwe anataka kuuwa watoto wangu Kila siku.
@sunyareh
@sunyareh 7 часов назад
Sanura siyo mama yake Diamond anamroga Diamond amenitoga Mimi vbaya sana,Mimi Zara Farah, na juwa Sanura vuzuri alitoka korogwe, kamuuwa mama yake Diamond na Baba yake, na ameniuliya wazazi wangu wote , na mpaka Sasa ananiandama na mchawi wa Diamond ni Sanura peke yake, Sanura anaitwa Mwantumu.
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq 14 дней назад
Mstaafu KIKWETE Bado tunakupenda sana Mwenyezi MUNGU Akuzidishie umri👍
@gaudencekalyalya8721
@gaudencekalyalya8721 21 день назад
My greatest , tough President , Mungu aendelee kukupa afya njema , nakukubali sana!
@sunyareh
@sunyareh 7 часов назад
Samia Suluhu anaitwa Zainabu na jina lake la pili anaitwa Laila
@ndonjelaurent3182
Mh Jakaya Mrisho Kikwete una akili kubwa sana
@ShadowScreamStudio
Jakaya ..always happier
@ramadhanijuma4130
Safi sana interview inamafunzo mazuri
@yohanamaiga3031
Asante sana Rais Mstaafu Kikwete.
@jumambaga7825
Yani pale kazungumza kwa hekma sana mzee anajua hapa kuna wahuni washagawana kiwanja lakn sasa najua ninamamlaka ya kuwajibisha ila ngoja nitumie busara niende kwangu kujenga dahh lini huyu mzee tutaonana kuvuna busara zake😂🔥👍🏾
@jumambaga7825
Big brain kikwete huyu mzee anamafira mapana sana busara na hekma mungu ampe maisha marefu🤝🔥👍🏾
@jedidahbintidaudi8241
mnatakiwa muje na interview kuhusu afya kwa ujumla..huyu nasikia kuna vyakula hali na vingine anakula. alafu mazoezi anafanya sana..itasaidia hata watu wazima na vijana kuskia hekma yake. alafu watu wanajumlisha zaidi na kuishi maisha ya utauwa kumuita Mungu sana kila siku
@aediayumgo8546
Hongera sana wa SA Fi Kwa interview yenye akili,💪💪💪
@JosefuSwai
@JosefuSwai 9 часов назад
Raisi Bora kuwahi kutokea tz
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 21 день назад
❤❤❤❤❤jakayaaa
@shadrackmijjinga9793
Mh.Rais ukimwangalia nikama hazeeki ila umri inaongezeka ..soon atakuwa na 74yrs kweli kala chumvi nyingi last time nilibahatika kukaa meza kuu Moja pamoja nae pale Mlimani during Udsm marathon 2023 ..hakika Bado Mzee JK ana nguvu zakutosha.🙏
Далее
KUSTAAFU ANZA MAPEMA USISUBIRI MUDA UFIKE
5:01
Просмотров 2,8 тыс.
Редакция. News: 128-я неделя
57:33
Просмотров 1,9 млн
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Просмотров 47 тыс.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
Просмотров 550 тыс.