Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023.
12 сен 2024