Тёмный

RAIS SAMIA Kuhusu WALIOTOA MAONI MKATABA wa BANDARI - "HAKUNA ALIYEPUUZWA" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

RAIS SAMIA Kuhusu WALIOTOA MAONI MKATABA wa BANDARI - "HAKUNA ALIYEPUUZWA"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@allymafita1985
@allymafita1985 11 месяцев назад
MWENYEZI MUNGU akulinde mama, uko na Busara na hekima tele kwakweli👏👏👏
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 11 месяцев назад
Mama huwa ana kiswahili kizuri sana...I wish I could master the language like how mama does!
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 11 месяцев назад
Piga kazi mh Rais ,tunakuombea sana mh Rais uwekezaji ni jambo muhimu sana, lazima watanzania tuifuate dunia na sio kuikwepa, .smart Yako mh SSH, unatufaa
@bhmeela
@bhmeela 11 месяцев назад
Hapo sawa kama hajapuuza❤❤❤
@erickrwebangira6525
@erickrwebangira6525 11 месяцев назад
Let's pray the Lord
@salimumataula8073
@salimumataula8073 11 месяцев назад
Mama tunacho hitaji maendeo kinacho takiwa fumba macho ziba masikio kaza Buti kaz iendelee
@danielsultani-r8r
@danielsultani-r8r 11 месяцев назад
Kweli sikio la kufa halisikii dawa
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 11 месяцев назад
Hongera sana Madam President, I told all people about this. You are a Leader
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 11 месяцев назад
Bora hukò kwenù mnpata aslimia 60 ya Mapato sis zanzibar tumewap Bandar tunapewa alisomia 30
@farujohn622
@farujohn622 11 месяцев назад
Mh Rais tunakuamini endelea kuchapa kazi Watanzania tupo nyuma yako
@ToshNiNe-uj8pf
@ToshNiNe-uj8pf 11 месяцев назад
NYINYI MBWA MNATUONA NYANI 😢TUMEKATAA
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 11 месяцев назад
Unazunguka saana nenda kwenye point 👉 mshauza hamjauza?
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 11 месяцев назад
Wangewapa tanesco Kutwa Giza . Ndo wanasumbua wananchi wanozesha matunda na vyakula kwenye filiji. . Bandari tungempa MO dejw. .
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 11 месяцев назад
Ila watuu eti miaka 100,,uliiona wapii,,mama Samia ndio rais Bora kuwahi kutokea tz
@magesajoseph
@magesajoseph 11 месяцев назад
Mama piga kazi hawa wenzetu ndivyo huwa walivyo hawa jawah kuyaona mazir wayasemee bal macho yao hua yanaona babaya pekeake
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 11 месяцев назад
Katiba mpya tume huru ni haki yetu
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 11 месяцев назад
Mungu yupo mlangoni mwa midomo yetu ndiyo maana tumeongea pia mizimu ya mababu zetu...
@shabanimadobe972
@shabanimadobe972 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@festovenas502
@festovenas502 11 месяцев назад
Una mizimu naww au unajalib kutushitua 😂😂😂😂
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 11 месяцев назад
Allah akupe nguvu, afya , huruma na hekima na umri mrefu inshallah
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 11 месяцев назад
Kwenye kura ndio mtajua wantanzania walimaanisha nn
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 11 месяцев назад
Akuna cha mpigakura apo biashara imeisha tumebaki blablaa tu
@Clever-l8v
@Clever-l8v 11 месяцев назад
Ccm wapige kura watatu tu wanashida tena kwa kishindo
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 11 месяцев назад
@@Clever-l8v huo ujinga una mwisho,Kama Mobuttu,Saddam,Gadafi na Al Bashir walifika mwisho hata ccm mwisho wake upo.Wao waibe tuu
@EstherBehewa
@EstherBehewa 11 месяцев назад
Amkeni akuna elimu ya bure😂😂
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 11 месяцев назад
TUMEKATAAA ILA MNALAZIMISHA BASI FANYENI
@laurianmodest7372
@laurianmodest7372 11 месяцев назад
Tumefanya kweli.Mikataba imewekwa sahihi.Pole mwambukuzi ulisema utaandamana nenda barabarani UONE
@edwardleonard7402
@edwardleonard7402 11 месяцев назад
Hatutaki waarabu waendeshe bandari yetu Kwan sisi hatuwezi! We Mama mbona u alazimisha So au Kwa kuwa wamekulipa ww na familiar Yako hatutaki mzungu Wala mwarabu
@shukranitv2971
@shukranitv2971 11 месяцев назад
Mbona unatusemea na ss wakt cc tunataka
@happynessmallomo9349
@happynessmallomo9349 11 месяцев назад
Usitusemee hautaki wewe
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 11 месяцев назад
Wewe ndo hutaki, Sisi tunaka Rais wetu songa Mbele
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 11 месяцев назад
Wambeya mnaroho mbaya
@deejeydaev
@deejeydaev 11 месяцев назад
Jamaa limejaza uji kichwani
@danielndam5997
@danielndam5997 11 месяцев назад
Watanzania hawapo upande wa serikali juu ubinafsishwaji wa bandari ubinafsishwaji huu Umepitishwa na viongozi wachache kwa maslai binafsi sio ya taifa
@johnlaizer3605
@johnlaizer3605 11 месяцев назад
kwani Samia ni ww tu mtanzania asipigie kifua kujidai ww mtanzania wenye we
@osiahmwakasala1646
@osiahmwakasala1646 11 месяцев назад
Mama nibora Ila mkataba nifeki hatuutaki
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 11 месяцев назад
Unataka nn sasa
@Tiffany340
@Tiffany340 11 месяцев назад
Yu wapi tundu na mwangusi wakili wa chadimaa 👌😜🤣
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 11 месяцев назад
We acha ufala unashabikia upuuzi iliali unajua tunapokwenda siko
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 11 месяцев назад
​@@kisangageorgethomasi2830labda ww hujuiunapoenda
@Clever-l8v
@Clever-l8v 11 месяцев назад
Wanagombana wenyewe kwa wenyewe
@Tiffany340
@Tiffany340 11 месяцев назад
@@kisangageorgethomasi2830 hama nchi kawe mbwa
@ismailkidongo9384
@ismailkidongo9384 11 месяцев назад
Ivi nokweli umasikini wetu utaisha kwakuwapa warabu lasilimali zetu wazisimamie
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 11 месяцев назад
Unataka wapewe kabila lako ndo maendeleo yaje
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 11 месяцев назад
Mkatoliki wewe kubali kushindwa umefeli
@upendo1020
@upendo1020 11 месяцев назад
Afadhali watu walipiga kelele maana miaka 100 ilikuwa mingi
@YosamSaidy
@YosamSaidy 11 месяцев назад
🙄🤫
@mwanituusiame5764
@mwanituusiame5764 11 месяцев назад
Mama hili umelifanya wewe
@edwardleonard7402
@edwardleonard7402 11 месяцев назад
Hatutaki waarabu waendeshe bandari yetu Kwan sisi hatuwezi! We Mama mbona u alazimisha So au Kwa kuwa wamekulipa ww na familiar Yako hatutaki mzungu Wala mwarabu
@Bardizbah-nr9qi
@Bardizbah-nr9qi 11 месяцев назад
Acha ujinga wew mara ngapi mnawapa mikataba wazungu wanaishia kuwaliza tu....??? Muache mama achape kazi Kwanza kajitahidi sana kuwasikiliza Acha waarabu waje watujengee nchi yetu
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 11 месяцев назад
Tutakutafuta
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 11 месяцев назад
2:26
@laurianmodest7372
@laurianmodest7372 11 месяцев назад
TIKSI akina karamagi walishindwa
@Clever-l8v
@Clever-l8v 11 месяцев назад
Uboo pia hutaki? Edward
Далее
Поплатился за подлые удары!
01:00
Find The Real MrBeast, Win $10,000
00:37
Просмотров 53 млн
Best Aura Moments..☠️
0:32
Просмотров 34 млн
Придумайте название 😂
0:11
Просмотров 3,1 млн