Тёмный

🔴 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 265   
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 11 месяцев назад
Kiukweli nashindwa kujizuia kumpenda Sana huyu Mama MWENYEZI MUNGU muhifadhi Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 11 месяцев назад
Tumuombee sana kwakweli 🙏
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 11 месяцев назад
@@jescarwegoshola1754 kwa kweli
@othmanwaziri783
@othmanwaziri783 11 месяцев назад
Mama yuko vizuri...
@PASTORPETERMKIPAYAWORDOFLIFE
@PASTORPETERMKIPAYAWORDOFLIFE 11 месяцев назад
Saafi Sana mama
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 11 месяцев назад
Alhamdulillahi Rabbil'alamiyn. Kipekee nimelifurahia saaana tukio hili ambalo nilikuwa nalisubiria tangu siku nyingi. Mama yangu kipenzi changu Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿 ,Allah akuongoze vema ktk kuliobgoza taifa hili, Na Allah akuhifadhi
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 11 месяцев назад
Skoment chochote🚴
@MzalendoHoteli
@MzalendoHoteli 11 месяцев назад
Asante mama yangu ungeahirisha kupitisha hili la DPw ungeonyesha udhaifu mkubwa mno nchi muda mwingine haiendi hivihivi lazima utumie mkono wa chuma
@RonnieMchatta-pr5bd
@RonnieMchatta-pr5bd 11 месяцев назад
It's finally over well done wanaosema Shaun yao the deal is over karibu sana DP world we expect a lot from you people I personally think and believe that you will perform very well karibuni Sana
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl
@haroungwiyamabuzohera-jk3vl 11 месяцев назад
Dr. Mpango Asante Sana kutuelimisha kuhusu uwezekano wa kuweza kunusuru uchumi na hasa wanyonge WATANZANIA TWENDE PAMOJA KUINUA HALI NA MATIMIZI YA UCHUMI.
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 11 месяцев назад
Mama wee ni bonge la rais kuwahi kutokea Tanzania kwanza tu nilicho kupendea ni upande wa Tra kwa wafanya biashara sasa ni amani kwenda mbele na watu wanalipa kodi bila shuruti kongole MAMA YETU🙏🙏🙏🙏🙏
@shinipapaya846
@shinipapaya846 11 месяцев назад
Tatizo huna akili 🤣🤣
@andrewkissavah8272
@andrewkissavah8272 11 месяцев назад
Mama wataifa ni maria nyerere mpoto usipotoke ,samia siyo mama wataifa ila ni raisi ishia hapo mpoto achabkupotosha watu
@AbdullahMahmadoo
@AbdullahMahmadoo 11 месяцев назад
Dr isdor mpango mungu skulinde uje uwe raisi wetu siku za usoni
@jumamohammed2748
@jumamohammed2748 11 месяцев назад
Mama una upiga mwingi! Allah(sw) aendelee kukulinda.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
DP world for a better future of our country
@twisilemwabukusi4981
@twisilemwabukusi4981 11 месяцев назад
Hakika hongera sana viongozi wetu. Tanzania ni yetu, tuilinde sana kwa manufaa ya Watanzania. Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu Mh Dkt Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake ili waendelee kuiongoza nchi kwa manufaa ya Watanzania.
@rivenisichone7780
@rivenisichone7780 11 месяцев назад
Anaye pinga hili kuwaaa tumepigwa awe wa kwanza kutoa like
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 11 месяцев назад
Allah akuhifadhi nimefurahi sana Alhamdulillah aswa sie watu dsm tumefurahi
@rajabuathumani1586
@rajabuathumani1586 11 месяцев назад
Asante mama rais wetu
@christophermwansasu5327
@christophermwansasu5327 11 месяцев назад
Hongera mh. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nenda kakusanye hell ufanye Mambo ya msingi juhudi yako inaonekana.
@lucaskelegwa1123
@lucaskelegwa1123 11 месяцев назад
Hongera sana raisi wetu mpendwa wenye wivu wapate maisha marefu ili washuhudie mambo mazuri unayoyafanya
@haidaris.kalunga9541
@haidaris.kalunga9541 11 месяцев назад
Kuna mtu alisikika akusema "Limkataba la hovyo na la kipumbavu kabisa"hivi bado anaona ni la kipumbavu? Siyo Kila Daktari anatibu na kuyafahamu magonjwa yote. Kadhalika Kila mwanasheria hawezi kujua Sheria zote na hupaswi kutukana Kwa usichokijua.Hongera Mama Kwa uvumilivu wa nafsi na kukaa kimya huku ukisonga mbele.
@mwadinikheir7850
@mwadinikheir7850 11 месяцев назад
Kazi iendelee mheshimiwa Rais, hongera sana
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 11 месяцев назад
❤mama ❤ Tanzania amani iwe nasi milele ameeeeeen pongezi kwa uweledi mama samia
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 11 месяцев назад
Speaker Shujaa sana, hatokei mwingine hongera Sana sana.
@godylyimo7471
@godylyimo7471 11 месяцев назад
Mpoto chukua hela ilaa
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 11 месяцев назад
Hongera Dr Samia, hatutapata Raisi mwenye msimamo kama wewe, hukujali kelele vyura. Kazi IENDELEE. Anae chukia warabu, wanywe Sumu. 😅
@mkudembeteni7667
@mkudembeteni7667 11 месяцев назад
Asante MUNGU KAMA KUNA BAYA LIWAKUTEE ..
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 11 месяцев назад
Naisi nimefiwa na baba na mama kwa mpigo japo walisha kufa roho inauma Leo sipati usingizi najuta kujuana na bandari
@masamainvestment9995
@masamainvestment9995 11 месяцев назад
Kazi Iendelee hakuna kulala, ahsante sana kumkumbuka Makonda.
@husseinibrahim2929
@husseinibrahim2929 11 месяцев назад
Washindi lazima wawe na vitu 2, malengo maalumu na hamu kubwa ya kuyatimizaa, tupo na mama Kazi Iendelee.🙏
@machaggechacha243
@machaggechacha243 11 месяцев назад
Imekwenda hiyo.!!!! Kwa heri bandari ya Dar. Manyang’au na mafisadi na mabinafsi yameishaichukuwa. Watanzania wamebaki wanalamba vidonda na kuvuna mabua.
@amenmushi5945
@amenmushi5945 11 месяцев назад
Ok
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 11 месяцев назад
hongeraaa mama yetu mpka hapo imeeendaa hiyooo watajijuuu wenye koroshooooo za moyoni inshallah akuhifadhi kwa ulinzi zaidii😊
@petercat2062
@petercat2062 11 месяцев назад
Tutalia pamoja siku Moja.
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 11 месяцев назад
Hakika mambo mengi yatapatika kwa wepesi inshallah dua tu hata nchi za ulaya zimeweka wawekezaji hadi wa dubai wamewekeza mm naona
@georgemichael9842
@georgemichael9842 11 месяцев назад
From Us Born in Tanzania Say No to DP world
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 11 месяцев назад
Mungu asimame nawe popote pale uendapo mama yetu kipenz
@johnmagambo9231
@johnmagambo9231 11 месяцев назад
Rais samia ni mzuri sana anafaa kuongoza milele
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 11 месяцев назад
Unajielewa kweli ??
@mussamanyehe3918
@mussamanyehe3918 11 месяцев назад
Tanzania
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 11 месяцев назад
Piga kazi mama
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 11 месяцев назад
Kwa mlitaka ipite kimya kimya
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 11 месяцев назад
Dua tu ila uwekezaji nisehemu kubwa ya maendeleo nchini
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 11 месяцев назад
Ni sawa tu kwani Zanzibar imekaliwa na Tanganyika kwa miaka mingapi? acheni mama apige kazi, hata tukiuzwa sawa tu, kwanza wanaume ni wezi, ndio walioufikisha nchi hapa tulipo na umasikini wetu, bora hata mama Samia❤
@SALIMUmshaharaMshahara-zb1qd
@SALIMUmshaharaMshahara-zb1qd 11 месяцев назад
Muarabu hali rushwa wala rushwa ndio wapizani wakubwa
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 11 месяцев назад
Mimi sisemi kwasababu namheshim sana mama naogopa naweza kukosea 🙏😔
@eugenyraphael4334
@eugenyraphael4334 11 месяцев назад
Mama tunampenda,ilakunawatu wanamwangusha ,nchi jirani Kenya cement ni tsh 11,000/=,hapa kwetu baadhi ya maeneo kama Arusha na kilimanjaro cement ni tsh 17,500/=
@Seleman-f9i
@Seleman-f9i 11 месяцев назад
.Mungu
@JennyAndrewAmnaay
@JennyAndrewAmnaay 11 месяцев назад
Hajatumbia Tanzania tunanufaika na shilingi ngapi na kwa miaka mingapi
@richkinji2583
@richkinji2583 11 месяцев назад
R.I.P JPM 😭 mzalendo wa kweli
@pauldottochuwa1869
@pauldottochuwa1869 11 месяцев назад
Mbona waziri mkuu hayupo?
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 11 месяцев назад
Yupo ziara Itali
@nakanjemfaume3839
@nakanjemfaume3839 11 месяцев назад
Mama HuYU ana ROHO NGUMU,ya kipekee, HUTAKI kuwa na ADUI hata NDUGAI yupo hapo na kutambuliwa uwepo wake! HAKIKA MUNGU KAKUCHAGUA KUPONYA
@MboyiWamboyi
@MboyiWamboyi 11 месяцев назад
Kweli umetuumiza sana watanzania kwatalifa iyo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 месяцев назад
PAKA DAWA
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 11 месяцев назад
Ametuumiza saaaaaaaana!
@joisejimmy750
@joisejimmy750 11 месяцев назад
Mwabukusi wapigania haki tuko pamoja rais amesikia kilio chetu tanzania hoyeeeee ❤❤❤❤
@edwardpaulo3351
@edwardpaulo3351 11 месяцев назад
Mama wa taifa ni maria Nyerere 📌😊
@johnmahu5060
@johnmahu5060 11 месяцев назад
Afe tu anauza bandari mi simwombei jmn namwachia Mungu
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 11 месяцев назад
I love you soooo much mama.Wewe ni mama mwenye upendo sana.Nakupenda
@mimiraia2531
@mimiraia2531 11 месяцев назад
Shimo lako
@fatmamsindi4612
@fatmamsindi4612 11 месяцев назад
@@mimiraia2531 Shimo la mamaaako malaya mchafu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 месяцев назад
​@@mimiraia2531TUNDU LAKO LA MKUNDU HILOOOOOOOOOOOO HILOOOOOOOOOOO 😂😂😂😂 MSENGE WEWE KAMA BABAKO
@DicksonLumambo
@DicksonLumambo 11 месяцев назад
Hongera mama. Lkn ninajambo moja tu. Kwenye bandari najua tumefanikiwa, sasa Basi muangalie maslahi na mikataba ya wafanyakazi hususani madereva wa safari za nje. Tunataabika Sana. Kwani Ni tofauti kubwa mno na madereva wa nchi za wenzetu. Mliangalie Hilo. Mungu awabariki.
@BenjaPas
@BenjaPas 11 месяцев назад
Kweli watanzania hatuna akili mkataba umesainiwa halafu unaomba aangalie masilahi yako wewe subiri tyu unyolewe vizuri mtaelewa tyu unafikiri kuna mda mrefu hata!!
@BenjaPas
@BenjaPas 11 месяцев назад
Mmetumiwa kama mbwa kwenye mawindo, mawindo yamekwisha, mbwa hafaidiki na mawindo
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 11 месяцев назад
Ipo siku isiyokuwa na jina wote wanaomsifia mama Samia kesho akiondoka madarakani hawatakuwa upande wake waswahili siyo watu wa kuwaamini
@eliannko
@eliannko 11 месяцев назад
Njaaa mbaya
@loirucklaizer52
@loirucklaizer52 11 месяцев назад
Mmmmmm!!!!!!
@SensaManzagata-tv7ds
@SensaManzagata-tv7ds 10 месяцев назад
This comment
@turojosephrukiko1622
@turojosephrukiko1622 11 месяцев назад
Inch inauzwa mnapga makofi
@FAISALSADICK
@FAISALSADICK 11 месяцев назад
❤safi sana mama wetu allaah akubaliki
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 11 месяцев назад
Uchawa mbaya Sana! Huku vijijini hamuyajui tu yanayoendelea
@joisejimmy750
@joisejimmy750 11 месяцев назад
Nmekuelewa rais chapa kazi
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 11 месяцев назад
Bongo kweli kikubwa uzima haya mengine du!
@alibalushi4691
@alibalushi4691 11 месяцев назад
Shukuruni mungu.enzi ya marehemu wote mge swagwa jela kwa kufunguwa midomo michafu
@richmwaij3368
@richmwaij3368 11 месяцев назад
Mama enu wenye
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 11 месяцев назад
Facts mh Makamo wa Rais🎉
@nungulalyaga
@nungulalyaga 11 месяцев назад
hyoo
@lazarololusu4594
@lazarololusu4594 11 месяцев назад
Ahsante Mungu kutusikiliza Sala na Maombi ya Watanzania.Sasa mkataba huu ni musuri.Kazi iendelee.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
Mwarabu aje apige kazi
@AbdulkadriMbona-p9d
@AbdulkadriMbona-p9d 11 месяцев назад
Ongera sana mama umeshinda vita wewe ni shuja wetu awana lakusema tena tanzani oye
@Ramadhaningamba
@Ramadhaningamba 11 месяцев назад
Haa mbona sijaelewa apo
@fidel7im
@fidel7im 11 месяцев назад
Apo kunawatu ata hamu ya kula imekata😂😂😂😂. Aya xax tunataka waraka wa kumuunga mkono mama
@KrispinusKitindi
@KrispinusKitindi 11 месяцев назад
Waarabu wanacheka wamasai ngorongoro wanalia ee mungu tupe kiongozi atakae kuhofu na kutetemeka mbele zako
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 месяцев назад
NA WEWE CHEKA KWANI UMEKATAZWA KUCHEKA?? 😂😂😂😂
@KrispinusKitindi
@KrispinusKitindi 11 месяцев назад
Siasa ni usiku wa manane
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 11 месяцев назад
Huku bandari kule ngorongoro asante sana DUBAI
@aloycemabula8649
@aloycemabula8649 11 месяцев назад
Ni sehemu ya bandari ya dar es salaam..😊
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 11 месяцев назад
Mboowe Oyeeeee
@evelynmwabuki7589
@evelynmwabuki7589 11 месяцев назад
Kinacholeta wasiwasi ni kusema mikataba hii mi 3 iliyotiwa signs imesimamia mkataba mama ambao ndo ulikuwa mzozo wa shughuli yote ya uwekezaji! Huku inasemekana maoni yamezingatiwa! ATC wazalendo wanasema maoni yao 4 kati ya ma5 yamesimamiwa! Sasa hapo itakuweje Raisi aseme mkataba mama ndo unasimamia hii mikataba mi 3 iliyotiwa sign kati ya serikali ya TZ na DPW!! Sijuhi labda sijaelewa vizuri! Kama nimeelewa vizuri basi maoni hayakusaidia kitu tuombe Mungu wahusika wafanikishe tusizidi kulipa faini za kusitisha mikataba! MUNGU IBARIKI TZ 🇹🇿
@r14kgroup68
@r14kgroup68 11 месяцев назад
Uzeni nchi tu lakini baadae mtatengeneza wakati mgumu kwa viongozi wanaokuja
@paulmassawe1591
@paulmassawe1591 11 месяцев назад
Njaa tuu hizo mpoto
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 11 месяцев назад
Hatimaye Bandali imekwenda bado Mbuga za wanyama?
@esterswai9454
@esterswai9454 11 месяцев назад
😂
@D.P.O
@D.P.O 11 месяцев назад
😂
@leokamil6284
@leokamil6284 11 месяцев назад
Mbuga tayari husikii kilio cha Wamasai?.Bado Mlima Kilimanjaro
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 11 месяцев назад
Nyie chekeni tu tutakuja kulia
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 11 месяцев назад
Haha serikali ya Tz ikiamua jambo lake hakuna atakae izuia ,,,leo wanasema wamezingatia maoni ya wadau ,,,,sawa lakni sio leo msaini mikataba alafu kesho iwe na mapungufu maana hio kesho wengi wenu hapo hamtakua madarakani hivyo isije ikawa kikwazo kwa vizazi vinavyokuja
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 11 месяцев назад
Wakifanya maandamano mimi nitashika Bakora.
@dicksonkm6687
@dicksonkm6687 11 месяцев назад
😿😭😭😥
@richardnganya2311
@richardnganya2311 11 месяцев назад
Maoni hayo yalitolewa na wananchi baada ya elimu kutolewa miaka mitatu iliyopita au hii imekaaje ?
@ManaseJubilate-kk2gz
@ManaseJubilate-kk2gz 11 месяцев назад
Still doubt is Dubai the state🤔, anyway time will tell🙌
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 месяцев назад
MZUNGU MATOPEEEEE 😂😂😂😂😂
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 11 месяцев назад
Mbona kama nimesikia Tanganyika
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 11 месяцев назад
Hahaha Kikwete yupo🧐😄😀😁😂
@SimonMaregge
@SimonMaregge 11 месяцев назад
Makamo wa rais kasema ukweli tunaishia kimasikini mh rais tunaomba angalau utusaidiee kujenga mfereji daraja la mwinyi mburahati magomeni hakika mama msikivu
@PHILIPOGADIYE-n8g
@PHILIPOGADIYE-n8g 11 месяцев назад
Kauli mbovu sana ni kusema bunge limeridhia wakati tunajua hatuna bunge bali tunawajumbe wa CCM wanaofanya vikao vyao ktk jengo la bunge.
@NaftaliMhemi-du5re
@NaftaliMhemi-du5re 11 месяцев назад
Wapinzani kwenda Ikulu, kwa kupitia Bandari, HAWEZEKANI
@Simulizihubtv
@Simulizihubtv 11 месяцев назад
Kumbe Mzee wetu Job ndugai yupo
@bekabakari7394
@bekabakari7394 11 месяцев назад
Yupo
@michaelashery3444
@michaelashery3444 11 месяцев назад
Yaani sijui kinachoendelea huo mkataba wanawekeza Kwa sh ngapi sijasikia.na wa mda wa miaka mingapi? Tufafanulieni tujue.siyo tushangilie bila kujua kinachoendelea.maoni yangu yalikuwa taifa kama taifa lingetafuta fedha kukarabati hiyo bandari ili tutapoingiza fedha zote zibakie kwetu siyo kugawana na warabu.alafu huu mkataba tumesaini na serikali ya Dubai au kampuni ya nnchini Dubai.tufafanulieni tuelewe.kwa hiyo bandari baadae kuanza kazi hiyo asilimia 26 ya masikini wa nchi mtatugawia Hela angalau tujifunze kulalia hata magodoro.kwa sababu tumelalia mifuko ya safufeti mpaka mbavu zimeota sugu.
@pauldottochuwa1869
@pauldottochuwa1869 11 месяцев назад
Aaanha
@personpeter2221
@personpeter2221 11 месяцев назад
Mm hainihusu najua kjtaftia mwenyewe ctegemee bandari mm. Kikubwa ni aman tuuu
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 11 месяцев назад
Kazi tunayo mkisinzia twafa!
@albertmalenge-cs6zy
@albertmalenge-cs6zy 11 месяцев назад
😂😂😂😂 hadi tuseme😂
@msafirimahenge729
@msafirimahenge729 11 месяцев назад
Tulia tulia na mama mfanye mambo mazuri makubwa Kwa ajiri ya faida ya watanzania wote mbeya njia nyeupe Sasa
@amosndakama3773
@amosndakama3773 11 месяцев назад
K Yaaani ktk hili hatuwaungi mkono kabisa. Faida na hasara mtazipata m ele ya safari yenu. Na mtu mwenye kichwa kigumu mpaka akutane na rungu limpige kichwani ndipo mtakapo just kwamba swala lilikuwa halifai. Majibu mbele ya safari yatapatikana.
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 11 месяцев назад
Mimi bado sikubalian na wewe samia kifupi siwez idanganya nafsi yangu kwa hayo maigizo yenu
Далее
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 718 тыс.