Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wasichana nchini kusome kwa bidii ili watimize ndoto zao na kuacha kuharakia maisha, ambapo kwa sasa Serikali imeweka mkakata wa ujenzi wa shule za wasichana wanaochukua mchepuo wa sayansi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
29 авг 2024