Wallah roho yaniuma sana kuona wenzetu wapo katika mitihani waliyo pewa na Allah ila naumia zaid kuona wanao tupa chakula subhanallah naumia sana naomba tujitaidi kuwakumbuka walio chini yetu Inshallah
Maa Shaa Allah Alfattah Mwenyez Mungu anawaona na In Shaa Allah Mwenyez Mungu akulpen kla la kheikh nyny munafanya jambo kubwa kutokana na mazngra 2lionayo
Masha Allah Masha Allah tabaraka Allah. ALLAHU AKBAR . ALHAMDULILLAH. Hali ya ndugu zetu inasikitisha Wallahi! ALLAH AWAPE UJIRA MZITO HAPA DUNIANI NA NA KESHO AKHERA KWA REHMA ZAKE YA RABBI. #ALFATAH
Subhanallah sehem kama hiz ndio za kusaidia sio unapita mjini wakati vyakula vinamwagwa saa 11 au zaid mtu hajajua atakula nn inauma sana ikiwa ww ikifika saa 10 kushamaliza kupika futar zote ulozikusudia kumbe wenzetu mpaka usiku unaingia hajajua nini atakula wallah namuomba Allah awape nguvu awatilie barka na ham ya kutoa wale wote wanaokusudia kufanikisha jambo hili wanaochangia kwa hali yyt ile ikiwa muislamu anapata furaha kwa kumsaidia chakula ndani ya mwenzi wa ramadhani sijui ww allah kakuandalia furaha gani siku ya mwisho tutoweni hata shiling 100 kuwasaidia wenzetu Allah atufanyie wepesi
Wallah Mungu niepushe nisije kukufuru kwani bd hujanifikisha maisha hayo jmn kuna Waislam wenzetu wanaishi maisha Magumu Eee Mola wangu tunakushukuru waja wako
Allah awajalie watokee wadhamin wasaidie kujenga nyumba zao au tunauomba uongozi wa al fatah uwahudumikie kuwajengea nyumba zao hao wezee wetu wasio jiweza hasanten sana allah akulipen kila lenye kher
Mwenyezi Mungu naomba unipe uwezo Nami niweze kutoa zaidi wanavyo towa alfattah, kiukweli nimetokwa na machozi, dah, ni kwetu huko kweli? Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote waliotowa, awalipe malipo makubwa yaumul qiyama
Ninalowaomba tusimaliziet tu comment ikawa imetosha tuchangieni chochote mtu alichonacho kuipa nguvu Alfattah. Waislamu tujue matajir wengi wao husaidia mijini kwa mambo mbali mbali ila sehem kama hizo kufika kwao ni ngumu sana mm nikuombe tu kama ukikusudia kutoa kuchangi tafadhli ukiiona tu tekeleza uksema nitatoa baadae unaweza ukasahau au ukapuuza Allah atufanyie wepes