Тёмный
No video :(

Ramsey Ndimbo-Mama - A Swahili Movie 

RIVERWOOD BONGO MOVIES
Подписаться 385 тыс.
Просмотров 214 тыс.
50% 1

Movie Title: Ramsey Ndimbo-Mama
Starring: Bibi Mauja,Amina Shabani,Nuru Khamis
a3iisca3aS

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@user-cz3cf5wl7k
@user-cz3cf5wl7k 4 месяца назад
Duuuh!! mama hiyo sio kabisaa uxhirikina huu daaah!!!
@PaskaliBayyo-ge7ht
@PaskaliBayyo-ge7ht 6 месяцев назад
Mhii mbaya sana. Unaingilia. Mapenzi ya mwanao. Pamoja.
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 11 месяцев назад
We mama mmmh haujanishauri😮😮hiyo kali.
@fatma-vx3lq
@fatma-vx3lq Год назад
Wamama jmn mna tupa mtihan kwenye watoto wenu
@uqbahzahor2340
@uqbahzahor2340 4 месяца назад
Jibwa Hili sio mama
@MariaHussen
@MariaHussen 4 месяца назад
Kwel uyu mama sio
@HurumaMjwanga
@HurumaMjwanga 3 месяца назад
We mama mshamba sana 🤐🤐🤐
@fulahakandonga3181
@fulahakandonga3181 5 месяцев назад
Hatari sana
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 11 месяцев назад
We mama mpuuzi Tena mpuuzi wakutupwa.kumbe hicho ndicho ulikuwa unakitaka.kumbeeeee😮 nakuchukiaaaa.mpumbavu wewe.
@AbdallahOthuman
@AbdallahOthuman 5 месяцев назад
Mama wazingua
@destinybachiga1781
@destinybachiga1781 Год назад
So interested
@madymag6926
@madymag6926 10 месяцев назад
Mama ww mbaya sana haaaah😂😂
@ibrahimaprahim3033
@ibrahimaprahim3033 Год назад
Hii ni kutupotezea mdaa kama hii movie inamaana gani.hizo Mila zinatajwa .huu mama ni mchawi kabisa
@tausihashimu
@tausihashimu Год назад
Ndo Apo Sasa mala za vichwa vyao
@tausihashimu
@tausihashimu Год назад
Yawezekana akawa mchawi uwiii mi ata sielewi
@oledokoratilombashi
@oledokoratilombashi Год назад
Huyo mama anamtaka mwanae kwa mm ninavyo ona
@alexmaloba9544
@alexmaloba9544 4 месяца назад
​@@tausihashimu😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊1
@madotouzuri8734
@madotouzuri8734 3 месяца назад
Huyu mam mchawi Mila zilikuw zaman sio sas
@user-md6bm6cv8h
@user-md6bm6cv8h 5 месяцев назад
Mh matangazo ysmezidi hata muvi hainogi tena.inachosha tu
@SaumuAbdalla-oe2ih
@SaumuAbdalla-oe2ih 4 месяца назад
Mama mbaya
@shukriabdi7194
@shukriabdi7194 Год назад
❤❤wow
@shukriabdi7194
@shukriabdi7194 Год назад
pati 2 Iko wapi
@AndreaEliud
@AndreaEliud 9 месяцев назад
Nyie mnazingua movi zenu nzuri lakini mwendelezo hamuna si upuuzi huo
@AsangalwisyeAlfredkapusi
@AsangalwisyeAlfredkapusi 4 месяца назад
Mama acha ushamba
@oledokoratilombashi
@oledokoratilombashi Год назад
Sehemu ya pili vp sasa
@tobiaselwak
@tobiaselwak Год назад
please please please
@PaskaliBayyo-ge7ht
@PaskaliBayyo-ge7ht 6 месяцев назад
Na wewe kaka Hauna kazi ya kufanya au.
@respikikiliani6851
@respikikiliani6851 3 месяца назад
Mbona hawapendi wanaume waoe
@kinananyuni9732
@kinananyuni9732 Год назад
Mma yuwasema hajamfungua mwanawe mtihani kweli
@tausihashimu
@tausihashimu Год назад
Uyo mchawii
@tobiaselwak
@tobiaselwak Год назад
please i love this movie but Iwould like to watch part 2
@user-fc3zl6ky9x
@user-fc3zl6ky9x 8 месяцев назад
@user-wx1tb5nw3e
@user-wx1tb5nw3e 6 месяцев назад
Mapenzi hayaigiliwi wewe ni mzazi tu baki kama mama hilo nichanguo la mwanao
@makenemboko530
@makenemboko530 Год назад
Wamama mjirekebishe ndoa nindoa tu.
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 4 месяца назад
Mama mkubwa! Adabu huna!! Chumbani kwa mtoto wako bila nguo?
@JACASJacaspeterdor
@JACASJacaspeterdor 5 месяцев назад
Mama yAko akitaka wempe tu
@TofffK
@TofffK 4 месяца назад
Wamama muwe na utu Hilo nifundisho kwenu tupe ya 2
@HusnaMgunda
@HusnaMgunda 8 месяцев назад
Huyu mama ni taila
@destinybachiga1781
@destinybachiga1781 Год назад
Can you chow us part2 please its so nice
@ibrahimaprahim3033
@ibrahimaprahim3033 Год назад
Mwisho mama alivundja ndoa ya mwanawe ili yeye ndo awe .........???
@oledokoratilombashi
@oledokoratilombashi Год назад
Mke
@bonnyakama8338
@bonnyakama8338 2 месяца назад
Na watanzania mtembee Nairobi Kenya mkanunue Camera
@user-gx2cw8tg4l
@user-gx2cw8tg4l 11 месяцев назад
Clam vevo
@user-eo2vl8yz9h
@user-eo2vl8yz9h 7 месяцев назад
Xxxvideo
@user-eo2vl8yz9h
@user-eo2vl8yz9h 7 месяцев назад
Xxxvideo
@denismutai-ol5cs
@denismutai-ol5cs 2 месяца назад
@@user-eo2vl8yz9h
@kinananyuni9732
@kinananyuni9732 Год назад
Part 2 hmna
@jaffarymbunamastermlevinom90
Part 2 iko wapi?
@adamadamluoga6902
@adamadamluoga6902 8 месяцев назад
M
@shiblock8652
@shiblock8652 Год назад
Sasa uhu ni upuhuzi gani namba mbili Iko wap sasa
@jimmykaskileisaac
@jimmykaskileisaac Год назад
Tuna hitaji sehemu ya pili.
@destinybachiga1781
@destinybachiga1781 Год назад
Kwani mwenye movies hii hajui kama watu pia wanahitaji kujua mila hii ni nini? Na inaomba tujue kweli kama mama uyu aligusa uchi wa mwanawe ao?
@AaBb-hd2bz
@AaBb-hd2bz Год назад
Kwani Haina part 2
@user-eo2vl8yz9h
@user-eo2vl8yz9h 7 месяцев назад
XXX
@santa055
@santa055 6 месяцев назад
Huyu mama mchawi
@ErickAndrew-lr4ls
@ErickAndrew-lr4ls 5 месяцев назад
Wewe mama hewe mchawi sana❤😂😂😂😂😂😂😂
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 157 тыс.
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
KOSA LA MAMA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
2:00:01
NDOTO YANGU FAINAL
18:37
Просмотров 1,8 тыс.
SECOND WIFE  II HEMEDY CHANDE II M2 II Full Movie
1:21:24
Просмотров 474 тыс.
SUBIRA MOVIE FULL
1:38:42
Просмотров 227 тыс.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
Просмотров 108 тыс.