Тёмный

Rapcha - Fungua (Official Music Video) 

Rapcha
Подписаться 200 тыс.
Просмотров 327 тыс.
50% 1

STREAM/DOWNLOAD TTTV2: linktr.ee/rapcha
LYRICS
Fungua
Oya mwanangu vipi?
99 mwanangu
Mbona kinyonge?
Ahhh
Ndo shida hiyo ya kubetia team msizozijua hahah
Ahh sio kubet
Najua babu
Ila umekaa kimya kinoma nini shida mwanangu
We acha tu mwanangu si unamuelewa huyu shemeji yako
jinsi ambavyo nna mkubali
Aah naelewa
Halafu kuna miyeyusho flani anakua ananiletea ambayo sio
Yani kama hivi kuna story ambazo mi nakua nazisikia lakini nikitaka kumwambia yani koo langu linakua kama kuna kitu kimenishikilia hapa nashindwa kuongea yani
Kwasababu najua nikimgusa tu hivi kidogo anakasirika anakuja juu ila nataka kinoma kumchana sa sjui tu naanzia wapi mwanangu
Aaah Kwahiyo tatizo ndio hilo
Ndio hivyo mwanangu
Chukua kwanza kitu hichi
Au sio
Piga mbili ukimaliza hicho mwanangu utakua na nguvu ya kumchana mbona suala dogo Kula kitu maliza mchane
Uhakika??
Imeisha hiyo baba
(lighter sound)
Mmmh naam naam
Uuuu chapa chapa chapa yeah yeah ye ye yeee
Mambo mengine mambo madogo mwanangu anakua anawaza
Cough!!
Mwanangu hiki kama chenye
Msumbiji hiyo baba
Sasa mwanangu
Oi oi oi
Ngoja mi nicheze (mara moja hii umemaliza kitu??) Nikamkute huko huko aliko kwake nikamuanzishie kama vipi Aina noma simu zilie mzee simu zilie babaaa
Door bell rings
Hizi kengele huyu anahisi nacheza nini?
Fungua inamaana huskii hii kengele au utaka nije tu kukulabua
Kama mnafichana ndani ya makabati leo nitawasha moto hii nyumba ndo mtanitambua
Skia em fungua usitake nijaze watu waje waokote tu vipande maana watakuta nishakupasua Sasa basi napiga kengele mara ya mwisho na navunja kama hutaki kufungua
Oya em Fungua ushaniweka zaidi ya nusu saa nakubishia hodi hutaki kufungua
Ila Hawa kenge wanaokufata sehemu nayolipa kodi wakigonga mlango na miguu unafungua
Sasa Kabla sijapita na huu mlango mpaka ndani na kutibu jeuri yako nitapokubutua
Ngoja nahesabu moja mpaka tatu nauvunja maana nishagonga sana hadi vidole vimeungua
Majirani wananambia kuna njemba napishana nazo sana zinaingia mi nikiwa sipo
Na ndio maana unanambia nikitaka kuja niwe nakupigia leo nimetimba bila info
Hivi kitu gani nitakupa we mwanamke ukatulia
Ukatuliza na roho yangu ikatulia
Nshakuambia mara ngapi hujasikia
Na nazidi kurudia sasa leo utajutia nakuapia
Juzi juzi niliona tu umeshare snapchat uko level one na pembeni yako kuna mchizi Nikadaka boda nikufate nafika sijakuona nikaambiwa kuwa ushasepa the deez Najitahidi nisikuchunguze ila story zinanifikia na kiukweli zinanipa uchizi
Picha zako zote ndani ya gari tofauti unabadili tu mikao huku unachezea keys
Kuleta rafiki zako wa kiume kwenye nyumba niliyokupangia kwanza nshakupiga marufuku Wanajiachia sebleni na vipensi wanacheza na rimoti kama wanachangia luku
Na hawatosheki na chakula unachowapikia maana wanakula mpaka yule anaewapikia Navyogaramia na mateso unayonipatia hii nyumba mara mia nifugie kuku (kwenda)
Staki hizi mbichi ooh naah
Ukakasi mwingi staki staki staki hili bichi ooh naah
Kukupenda staki hii ni homa
Nimekoma tena staki staki hii sonona, noma
Kuna namba umeisave Daddy kwenye simu yako
Nimeshtuka hata kumbe huyo sio babaako
Unajifanya huna makuu bonge la pretender
Kuna story nimeskia sikuhizi we ni blender
Fungua, kabla sijasema vyote fasta fasta
Fungua, lazima nitapata kesi navunja kitasa
Fungua, staki ufala leo utapata unachokitaka
Fungua, mapenzi nikache staki, bomboclat!!!
Kabla sijakuacha nitakufunza adabu bwana utaempata huko atakuta umeshashika adabu Hizi tabu juu ya tabu nimeshindwa ustaarabu
Kama Ndoa nishatoa kwenye hesabu ushanikata vibe
[Nkunda star]
Audio produced by: / slimsal_daresalim
Mixing and Mastering by: / gachib
Video directed by: / majag
Join Our Family:
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
#rapcha #fungua #tothetopvol2

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@Official_Evara
@Official_Evara 9 месяцев назад
"Ila hao kenge wanaokufata sehemu nayolipa kodi wakigonga mlango...na miguu unafungua!"...KENYANS LOVE YOU BRO🇰🇪❤
@josehbarasa9546
@josehbarasa9546 9 месяцев назад
Sana joh❤
@roycejoxe1472
@roycejoxe1472 9 месяцев назад
🎉😂😂oyaa .. mwanangu unajuaaa .. 😅 apo mwishoni huyo mzee kanena mbaya mbovuu
@robertjohn9375
@robertjohn9375 9 месяцев назад
Ebana heeee!kidogo Kidogo tutaelewana acha tuendelee kuoneshana makali 🔥🔥🔥
@enbbrand84
@enbbrand84 3 дня назад
🎉rapcha unajua tafuta BRAND uwashe jina zaid
@paulomlekwa192
@paulomlekwa192 9 месяцев назад
Uwe unawaandikia na wa bongo movie 🎥🎥🎥
@peterlikilo8375
@peterlikilo8375 9 месяцев назад
Umewaza mbali🔥🔥🔥
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 9 месяцев назад
Kweli kabisa iki ni kichwa
@roi2554
@roi2554 9 месяцев назад
Sana tena tasnia yetu itafika mbali
@pox889
@pox889 9 месяцев назад
😂😂😂
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 9 месяцев назад
Nomaaa sana rapcha
@JozackMgaya-ix2vy
@JozackMgaya-ix2vy 9 месяцев назад
Daaah we Msenge unajua mpaka unakela
@burumeglobal
@burumeglobal 9 месяцев назад
Rapcha never disappointed.... I wish one day I will sponsor one good talent like yours
@user-fv5kz2ny1r
@user-fv5kz2ny1r 9 месяцев назад
Chukua maua yako King of 99
@sapy_mc_official
@sapy_mc_official 9 месяцев назад
Kwenye kati ya ngoma zangu ambazo nilikua nasubr video nione itakuaje naona moto ushaanza kuwaka unabalaaa rapcha skupingi kaka✨✨✨🚨🚨
@Shacky665
@Shacky665 7 месяцев назад
Dahaaaaa🤣🤣🤣uliuwa mzeeeeeeee sema bangi sio powaaa
@user-xe5tr7rx7j
@user-xe5tr7rx7j 9 месяцев назад
Rapcha kama NGWEA APO bongo record
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 9 месяцев назад
Unajifanya huna MAKU bonge la pretender.. kuna story nimesikia sikuhizi we ni blender 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@user-vj8eu7ih4k
@user-vj8eu7ih4k 8 месяцев назад
Nakuba sana mzee baba hiz ndo nyimbo za akil sio wale amapiano haf hakuja ujumbe wwt
@kingkibo1180
@kingkibo1180 9 месяцев назад
FUNGUA SASA Mbona ivo
@AlesiusAdidas-wo4cr
@AlesiusAdidas-wo4cr 8 месяцев назад
Hii noma sana ngoma yangu ya mwezi nasemaje FUNGUA😁
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 9 месяцев назад
Uyu mwamba anajua sanaaah daaah
@optywilliams
@optywilliams 9 месяцев назад
BEST STORIE TELLER I KNOW ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌
@3kingsmusictv873
@3kingsmusictv873 9 месяцев назад
😂😂😂😂narud tena kuangalia nacheka peke yang All the way from Dubai #nishagonga hadi vidole vinaungua😂😂😂 #funguaaa
@KINGSOMbeautician
@KINGSOMbeautician 9 месяцев назад
😮rapcha fungua wacha mchezo
@Kerisy-po2fk
@Kerisy-po2fk 9 месяцев назад
We jamaa hatar sana🔥🔥🔥
@kibwanakimbeo5987
@kibwanakimbeo5987 9 месяцев назад
Eshima nyingi Sana kwako rapcha
@polycarpmfoy6594
@polycarpmfoy6594 9 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Edel-r9x
@Edel-r9x 9 месяцев назад
Mzebaba the story teller unajua sana I say
@nackplankton1669
@nackplankton1669 9 месяцев назад
Hapa umeandika Mzee wangu daaaah
@Fares-dm3ik
@Fares-dm3ik 9 месяцев назад
The ending🔥🔥🔥🔥💯...I didn't see that coming
@LAZOR_KENYA
@LAZOR_KENYA 9 месяцев назад
Unaaandika saaaana 💥🔥🔥🔥🔥🔥
@BarakaKassimu-wi7zz
@BarakaKassimu-wi7zz 3 месяца назад
Noma sema ungeanza kama ilivyo audio tungeona unavyopiga mihadarati ingekua good
@Isaaclevis
@Isaaclevis 8 месяцев назад
Big up kakangu rapcha nakupenda toka Congo Kinshasa 🇨🇩
@kulwamaliam3640
@kulwamaliam3640 9 месяцев назад
Unagusa sana nakupenda❤
@tellodelucky6864
@tellodelucky6864 9 месяцев назад
Hhhhhh 🙌🙌😃😃....All the way from Zenji#Marashi ya karafuu🙌🙌😁😁❤❤❤
@shoebacktv
@shoebacktv 9 месяцев назад
From Nairobi Kenya, hii ndio creativity sasa, that ending daaaaaah, amazing
@abudulingasa6413
@abudulingasa6413 8 месяцев назад
Yaaaan leo inaweza kufika mara ya 20 naiangaliq hii nyimbo, kwaajil yauyo mzee msukuma😂😂😂😂 big ulitisha sana kinomq noma asee🙏🙏🙏
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 9 месяцев назад
Sijamaliza kuangalia nimekuja na remix tayari, Mtafute lady jady, zuchu,Au Yule konde gang lady ,mtatengeneza hatari remix
@meckyjonas488
@meckyjonas488 9 месяцев назад
zuchu wa nn kweny.rap
@ikramhizza4706
@ikramhizza4706 9 месяцев назад
Maua Sama ndio mwenye chemistry poa
@mikemutabuzi3665
@mikemutabuzi3665 9 месяцев назад
@@meckyjonas488 Kama bibi kidude alishirikishwa kwenye rap sasa zuchu Ashindwe nini dogo
@razakilipwelele5518
@razakilipwelele5518 9 месяцев назад
Creativity. Flow za Kizazi sanaaaa 😂😂😂
@RichardMagobless
@RichardMagobless 4 месяца назад
Sema nnn❤❤❤❤
@erickbwai4123
@erickbwai4123 9 месяцев назад
Dogo ajili nyingi sana, salute maana uko vizuri. Umenifurahisha sana mm sijui wengine
@yadiflow8117
@yadiflow8117 8 месяцев назад
😂😂😂😂 Rapcha bange kweli mikwara yote hiyo kumbe hauna hata demu😂
@trendingfootshorts
@trendingfootshorts 9 месяцев назад
Kwa jina la wanangu 99 Rapacha endelea kutupa izi flow/bars
@fabianijoseph-me8jk
@fabianijoseph-me8jk 9 месяцев назад
Utakuwa mchawi usipo mpa like rapcha
@mashabikiwaharmonize
@mashabikiwaharmonize 9 месяцев назад
Ubunifu wa Hali ya juu Sana, nakubali 💯
@omytheblack
@omytheblack 9 месяцев назад
KENGE blue 😂😂 kazi fire!
@emmanuelchiduo6572
@emmanuelchiduo6572 8 месяцев назад
daaaah nimeisikikiza weeeeeee ila mwishoni imenilazimu kucheka sana
@Bugiahii
@Bugiahii 9 месяцев назад
oyaaa weee
@chrismwinzi236
@chrismwinzi236 9 месяцев назад
Hii ni zaidi ya sinema❤ Racha much love from kenya 🇰🇪🇰🇪 #fungua🤗🤗
@nunketenkamu1402
@nunketenkamu1402 9 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu mtoto mpuuzi sana
@pesambilimusic3649
@pesambilimusic3649 9 месяцев назад
Sijawai kukupinga mzee wangu
@Madogodigital
@Madogodigital 9 месяцев назад
Funguaaa😂😂
@Lastking-yb6bh
@Lastking-yb6bh 9 месяцев назад
Rapcha we fundi nilisubir sana hili dude🔥
@pox889
@pox889 9 месяцев назад
Keep going rapcha
@jailoslugano6546
@jailoslugano6546 9 месяцев назад
Video nzuri sana Bonge moja la Idea 😅😅😅
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah 4 месяца назад
Una uwezo mkubwa kuliko yaaan!
@kisalaurence6177
@kisalaurence6177 9 месяцев назад
Oyaaa sitaki hizo mbichi uuuufff🥂🥂📀
@bonamontana
@bonamontana 5 месяцев назад
Nkbl kk ume texha kinoma❤❤❤❤
@YoungKing-mu7vy
@YoungKing-mu7vy 9 месяцев назад
Hahahahaha leo nimetimba bila infoo 😂😂 Rapcha Big up bro TIA funny
@nsimagdenis8114
@nsimagdenis8114 9 месяцев назад
Hahahahah raptcha🙌
@MtatuziTz
@MtatuziTz 9 месяцев назад
nyimbo kali tukategemea video iwe kali pia man ilivo toka nm cklz zaid ya mara 10 ila umetoa video mbv kudaq zak apo ulitakiwa uanze na jamaa ako ukiwa unavuta nae thn una mpa stoli alf urd nyumb nd uanze ayo mambo ya kugmbn na mrango wako na apo nyimbo inge kuwa imekamilika
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 9 месяцев назад
Nafikiri imenoga vile ilivyo! Binafsi nimejikuta nikicheka mbaya mwishoni kwani sikutarajia ingeisha hivyo! Angeonesha mwanzoni anavuta bangi mwisho wake ungetabirika!
@ngayotakibaba4921
@ngayotakibaba4921 4 месяца назад
Chetani jo iko mbele saana music kama iyi ila watu wanakaa kimya tu mungu tuone watoto wako
@IssaAhmad-c3k
@IssaAhmad-c3k 9 месяцев назад
Iv ni alikuwa anawaza ama maaan sjaelewa😂😂.........ila ni moto rapcha🔥🔥🔥
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 9 месяцев назад
Hakuwa anawaza! Huyo katoka alipotoka huko katumia miadarati Yake mwisho wa siku imemvuruga! Haishi na mwanamke Wala hapo kwake hajawahi kuleta mwanamke! Na funguo anazo mfukoni 😅😅😅😅
@paulflorian2920
@paulflorian2920 9 месяцев назад
That is the meaning of good music
@mosamossile9113
@mosamossile9113 9 месяцев назад
Kabla sijapita na huu Mlango..., Oya fungua
@samsontarimo
@samsontarimo 9 месяцев назад
Hahaha the ending is so surprising
@alinotilucamoris6189
@alinotilucamoris6189 9 месяцев назад
Daah Rapcha unyama mwingi🤣🤣🔥🔥🔥
@JumanneShambi
@JumanneShambi 5 месяцев назад
Hahaha 😂 nlikuwa nasubiria kumbe hamna mtu ndani 🙌🙌😂
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 9 месяцев назад
Name a rapper who can do it like this 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@rutudaniel8314
@rutudaniel8314 9 месяцев назад
Mihadarati 😂😂 domo lenyewe zege😂😂😂
@gabrielkavishe8477
@gabrielkavishe8477 9 месяцев назад
Uncle umetishaaa😅😅😅
@clamvevo-cf8pk
@clamvevo-cf8pk 5 месяцев назад
SASA BASS NAPIGA KENGELE MAYA YA MWISHO
@AbdulJux-nv9fe
@AbdulJux-nv9fe 9 месяцев назад
Oya rapcha nyie anajua
@amanrashid7061
@amanrashid7061 9 месяцев назад
Et unamgongea Nan sasa😂😂😂😂😂 daaaaaah yaaan nilikuwa nasikilz kwa huzun Alf mwisho nikaangukia kicheko😂😂😂
@abudulingasa6413
@abudulingasa6413 9 месяцев назад
😂😂😂😂 aseeee kwel nikicheko asee
@ShoujhaFranck
@ShoujhaFranck 6 месяцев назад
Big UP bro Nîmes cheka sana hapo mwisho 😃😃 ✌️✌️ toka congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@alinajaa5791
@alinajaa5791 9 месяцев назад
Hii nyimbo ukisikiliza audio inakufundisha mala Moja ila video inakufundisha mala moja
@singanoabbas669
@singanoabbas669 9 месяцев назад
Mdogo wangu.. Kibongo bongo ni wewe na Kontawa tu nasubili collable yenu tu blood...
@abou_hamrad
@abou_hamrad 9 месяцев назад
Young Killer keshawashirikisha wote na Stamina
@raajuny
@raajuny 9 месяцев назад
DAH MBONA SA MAJAA WALIOKUSHAULI UTUMIE MWANZONI MWA AUDIO YA MWANZO UMEWATOA SASA ,INGEKUA TAMU ZAID DAH
@simba_de_leo5042
@simba_de_leo5042 9 месяцев назад
Unajuaa rapchaa ni another level
@TrilllionTheGhost
@TrilllionTheGhost 9 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣 Rapha kashashindikana kwa stori tu
@user-vf7uo3ki6h
@user-vf7uo3ki6h 9 месяцев назад
Hiki kiwango kiko juu sana... Salute you mkuu
@realyoungchuda3671
@realyoungchuda3671 9 месяцев назад
U r on may fucking list of story tellers❤
@roggybinroggers4032
@roggybinroggers4032 9 месяцев назад
Kenya 🇰🇪🇰🇪 tumecertify hii rap
@Josephkp629
@Josephkp629 9 месяцев назад
Media za bongo 😂wanaowapa suport wajinga wajinga
@Ali_Manzu
@Ali_Manzu 8 месяцев назад
The beat, lyrics and flow of story both lyrical and story line yaani imenyooka. Tokea enzi za Moto unawaka hadi Fungua, Majani hajatuangusha.
@vancyjr
@vancyjr 9 месяцев назад
Awesome sana ..really life (w**d)
@mas02shy
@mas02shy 9 месяцев назад
Love from dar but shytown is my real home ...naqukubal sana rapcha the nembo ya shytown umeuaaaaa🌹🌹🌹🌹
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 9 месяцев назад
Funguaaaaa🔨
@qcknand1118
@qcknand1118 9 месяцев назад
unajua mwamba
@calvinhosea278
@calvinhosea278 9 месяцев назад
Wanangu wa shy town...level 1 na dzee to the world
@user-tb9sj7wr3e
@user-tb9sj7wr3e 9 месяцев назад
Ending🔥🔥😂😂
@NigerEmpire
@NigerEmpire 9 месяцев назад
Umekata mwanzo tutajuaje km haya n madhara ya ganja Unajua hadi bx bro🎉🔥🔥🔥🔥
@Machila
@Machila 9 месяцев назад
Hiyo fujo yote Kumbe stim ndio zinakukoroga🎉😂😂😂 respect
@alexandersangi1724
@alexandersangi1724 9 месяцев назад
Haaaaahaaah ivi unahisi mm mtoto nachezea kengelele. Oya wew fungua.
@dansonmadeetv
@dansonmadeetv 9 месяцев назад
concept Noma I wasn't expecting the end, that is creativity on another level.
@user-cd7mt8cd3g
@user-cd7mt8cd3g 8 месяцев назад
Unajua bhn had nakupenda buree
@Juhannyboytz
@Juhannyboytz 5 месяцев назад
Oya kama umeikubali hii ngoma like kwake rapcha mn
@fadhilijoel3248
@fadhilijoel3248 9 месяцев назад
what a creativity RAPCHA✅💥
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 9 месяцев назад
I have lost count how many times I’ve watch this
@saluuhans
@saluuhans 9 месяцев назад
Young king 👑 #Rapcha #Majani 👑
@yutafilms6916
@yutafilms6916 9 месяцев назад
Mwisho🔥🔥🔥imekuwa surprise noma.Majag killed it🔥🔥🔥🔥
@wamburanyarugezi9075
@wamburanyarugezi9075 9 месяцев назад
Mmmh rapcha daaah umepigaje apo
@Blessing-v2u
@Blessing-v2u 5 месяцев назад
Much love from Messi kadenge 254🌟🌟💪🌹
@user-zf5vl1nw4s
@user-zf5vl1nw4s 6 месяцев назад
Duh iikali dogo ninja umetisha
@polycarpmfoy6594
@polycarpmfoy6594 9 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Далее
Rapcha - Interview (Official Music Video)
3:13
Просмотров 675 тыс.
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49
Cute
00:16
Просмотров 6 млн
Rapcha - Uongo (Official Music Video)
2:42
Просмотров 266 тыс.
Dulla Makabila - Tuzo (Official Video)
3:58
Просмотров 446 тыс.
Young Lunya - Freestyle Session 6
6:30
Просмотров 393 тыс.