Тёмный

RAPHAEL KENETH MIKONONI MWA JESHI LA POLISI TUKIO LA KIFO CHA MANDOJO. 

MWANGAZA DIGITAL
Подписаться 4,7 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@Ikubho
@Ikubho 2 месяца назад
Dodoma ipoh salama kwa sasa ofisa kutoka field force kuwa arapisii safi sana hawa huwa hawana mazoea na Longoria longo katika utendaji asijisahau tu akawa sio wa command tena na kuhamia siasa
@FekiHappy
@FekiHappy 2 месяца назад
Mmmmh afande kuongea kazi kweli ht cjaelewa
@PhilipoMzirayMziray
@PhilipoMzirayMziray 2 месяца назад
😢
@mussamtati
@mussamtati 2 месяца назад
Daah mtu wa watu mtu wa tabasam mda woteee😭😭😭😭
@FekiHappy
@FekiHappy 2 месяца назад
Mmmh kaingiaje kanisani na kumdhibitije,Amelia na mbwaa au yani taarifa haieleweki mlinzi hufungia mbwa ndani au
@cecilialivingstone9202
@cecilialivingstone9202 2 месяца назад
😂😂😂😂kimbulu plas kigugumizi🙌🙌
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 2 месяца назад
Huyu afande hana conference 😂😂😂 au na yeye ni ajira za connection
@cecilialivingstone9202
@cecilialivingstone9202 2 месяца назад
ini maana ya comference
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 месяца назад
Taarifa hii kuna kitu kinafichwa jamani au Mimi tu ndio nawaza hayo
@MichaelWilliamsNyirenda
@MichaelWilliamsNyirenda 2 месяца назад
What is conference? May be you mean Confidence
@MichaelWilliamsNyirenda
@MichaelWilliamsNyirenda 2 месяца назад
​@@cecilialivingstone9202Conference ni mungano wa watu wengi wanakutana kujadiri Jambo Fulani ila huyo Anamanisha Confidence
@glorymungure7740
@glorymungure7740 2 месяца назад
Uyu Afande mbona ajui kuelezea vizuri duh
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 месяца назад
Niaibu sana kusoma ujuwi we kenge
@EndrewPetro
@EndrewPetro 2 месяца назад
Polen sana wapndwa sote tumeumia sana kwa mandojo
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 2 месяца назад
Hivi uyu afande amepataje hii nafasii haelweki ata kidogo kama anaongea kiarabu jaman
@FekiHappy
@FekiHappy 2 месяца назад
Huyu afande simuelewi ht kidogo
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 месяца назад
Huyu afande mmmh sielewi hana kipawa kabisa cha kuongea
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 месяца назад
Wanabebwa elimu amna
@daimaphonesaccessories267
@daimaphonesaccessories267 2 месяца назад
Huyu ni kaimu kamanda! #Kaimu
@AllyBila
@AllyBila 2 месяца назад
Yan taarifa haieleweki
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 2 месяца назад
Hana conference una maana. Ipi
@angelmrutu
@angelmrutu 2 месяца назад
Mnafugaje mbwa kanisani?
@godfreypaul251
@godfreypaul251 2 месяца назад
Huyu afande ana kigugumizi
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 месяца назад
Ajuwi kusoma
@VicentTarra
@VicentTarra 2 месяца назад
Sasa mtu umemkamata Kwa nini mupige kwa nini asipelekwe kituo cha polisi kwa hatua ili nia yake ijulikane la kujificha hapo
@khamismtoma4902
@khamismtoma4902 2 месяца назад
Mkalimani msahada
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 2 месяца назад
Jamani usimshikie hata jiwe kwa mtu hata hujasjuhudia kosa lake
@RachelEmmanuel-r6v
@RachelEmmanuel-r6v 2 месяца назад
Mtaelewa tu skilizeni Kwa makni .
@reginapiusi6750
@reginapiusi6750 2 месяца назад
😂😢😊😊
@norobo205
@norobo205 2 месяца назад
Kumbe ujasikia mungu mwenyezi mwenyewe
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 2 месяца назад
😂
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 2 месяца назад
​@Hus😂seinSuleiman-g3b
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад
Mungu mnamjua nyie ccm
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 месяца назад
Bwege wee, hapa uchama inaingiaje.
@bakarimdundwa461
@bakarimdundwa461 2 месяца назад
Duuh..?watu siku hizi kumbe hawaruhusiwi kuungama?
@IsayaSenka-p6i
@IsayaSenka-p6i 2 месяца назад
Alie aliepelekwa hospital nani mbona hamueleweki na mlinzi amakatwa tatizo nn
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 месяца назад
Mrangi kiswahili kinamsumbua kweli
@bettyinyasi1780
@bettyinyasi1780 2 месяца назад
Ni mbulu sio mrangi
@denismalcom4219
@denismalcom4219 2 месяца назад
Duuuh
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry 2 месяца назад
Polis ya tanzania haina msaada wa kusaidia raiya wanaweza kumchukua mtuhumiwa waka kwambia uchunguzi unafanyika mwasho wa siku mnamuona mtuhumiwa yuko uraiyani n bora kama mmemkamata mtuhumiwa muuweni hukohuko kuliko kumwacha tanzania uhalifu ni mwingi sana kwa sababu ya hiyo uchunguzi wezi nao ni wengi sana
@RevocatusKitambi
@RevocatusKitambi 2 месяца назад
Jaman naomba mkalimani
@ZaidiShabani-q6y
@ZaidiShabani-q6y 2 месяца назад
Hakika kamanda mwenye haki yakutoa nafsi ya mtu nimungu
@christopherreviston5784
@christopherreviston5784 2 месяца назад
😂😂😂😂mambo sielewi
@nelsonkilasi979
@nelsonkilasi979 2 месяца назад
Report ya mchongo lazima ubabaike tu
@INUMBUMWANDU
@INUMBUMWANDU 2 месяца назад
Kumzibi kwani ilikua nivita?
@thomasvenance4770
@thomasvenance4770 2 месяца назад
Huyu jamaa ni MMbulu kabisa
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 месяца назад
Madaktari wamesemaje? Maana tyr mmezika.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад
Kuongea hawezi amejitungia wao ndio wameuwa munatuwa nyie mnashilikiana
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 месяца назад
ukiwa muongo hata kuongea maneno hayawi sawasawa
@FundishaMalya
@FundishaMalya 2 месяца назад
Asubui kweli jamani tumwogope mungu duh inauma sana
@INUMBUMWANDU
@INUMBUMWANDU 2 месяца назад
Kumzibiti nini kwaniwalikua wanapigana nae?
@JojinaAnisety
@JojinaAnisety 2 месяца назад
Sasa
@aishajuma468
@aishajuma468 2 месяца назад
Alifariki akiwa na anapata matibabubia na alikuwa kwenye banda la ubw😅😅
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 2 месяца назад
KWANI ALIKUA NI MWIZI, NA WANAMPIGAJE MTU HIVYO NA HAKUA NA SILAHA!!!!?
@monicachacha455
@monicachacha455 2 месяца назад
wewe kabila gani??😂😂😂😂
@usiniguse
@usiniguse 2 месяца назад
Karatu moja
@MiriamJohn-j8p
@MiriamJohn-j8p 2 месяца назад
sijaelewa Nini amesema
@norobo205
@norobo205 2 месяца назад
Mkurya kapigwa na mgogo
@INUMBUMWANDU
@INUMBUMWANDU 2 месяца назад
Kwani huyo afante hajasoma ama?
@MwanvitaBwaaa
@MwanvitaBwaaa 2 месяца назад
Hata sielewi nn kaongea
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 месяца назад
Afande unajichanhanya taarifa za mandojo zinasigana, tunajuwa kauawa na waumini akiwa ktk kibanda cha mlinzi, ndiyo taarifa ya awali.
@florencekyande4443
@florencekyande4443 2 месяца назад
mwajuaje aliingia hapo kujificha baada ya kuona majambazi?waumini sio poa
@amurjimbwe4273
@amurjimbwe4273 2 месяца назад
huna ishu kamanda hujuwi kusoma
@isaackemanuel3712
@isaackemanuel3712 2 месяца назад
Acheni kumsema sana afande jamani ,yeye katokea Karatu . Nafikiria mmenielewa sana Kule wanajihamini na amesoma ndiyo maana kafika hapo. Wewe unaemsema una cheo gani
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 2 месяца назад
My aelf I'm not trust you what you say
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 2 месяца назад
police wana haki ya kujichukulia sheria mkononi ila wananchi hawaruhusiwi
@usiniguse
@usiniguse 2 месяца назад
Huyu ni muiraq?
@michaelmizambwa1246
@michaelmizambwa1246 2 месяца назад
Yaani warming wanashirikiana kuuwa mtu?
@africa7479
@africa7479 2 месяца назад
ingekua waisilamu hapo watu wangechoooonga .
@ScolaMasanja-fg7hi
@ScolaMasanja-fg7hi 2 месяца назад
Ndo ongea yake kaumbwa hivyo s kosa lake kwahio mnataka asipate ajila kwasababu ya uongeaji kimbulu nyinyi
@Lulualshagri
@Lulualshagri 2 месяца назад
Jeshi la police sasa hivi hata muongee nini hatuna imani na nyinyi taarifa zenu ni za uongo mnatetea wahalifu ile ya yule binti mpk leo mnazungusha zungusha tu narudia tena hatuna imani na jeshi la police ni wauwaji
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 месяца назад
Jamani afande nakushauri kafanyemazoezi ya kuongea kwenye kutoa taarifa mhimu kama hizi
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 месяца назад
mnaongea manini siwaelewi nyie ndiyo mmemua acheni zenu mnamsikilia mamanini mshazoe kutunga mauongo tunawajua
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 месяца назад
Hapa hakuna kitu zHivyoo ealiyosomea uafande😊 wameisha mpka tunawachukua watu kama hawa?????
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 2 месяца назад
Afande simuelewi kabisa
@HakimuMaliki
@HakimuMaliki 2 месяца назад
Hayo maelezo yaingii akilini uchunguzi ufanyike kunakitu kimejificha ukiambiwa changanya na zakwako akili
@MatidoniFasitini
@MatidoniFasitini 2 месяца назад
Sasa milinz wanamshikilia kwa mahojiano gani wakati yeye alifanya kaz yake? Kwani yeye mandojo alifuata nini kwenye banda la mbwa?
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 2 месяца назад
Mtu akiingia ktk maeneo ya ulinzi wa jeshi la polisi bila kujua .ikiwa mtabahatika kumghundua mtafanyaje nyinyi polisi?
@mdl6463
@mdl6463 2 месяца назад
Aliingiaje humo nyie basi sote njia moja ametangulia tu
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 2 месяца назад
wakamatwe.. sheria au mjumbe hata mwenyekiti hakuna kijijini hapo mpka wajiamulie wakati nchi IPO HURU..
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Mimi siwaelewi polisi wa CCM. Hata mmoja ni wacheche sana polisi ni waadalifu. Kwani mbona nanyi mnatesa watu ovyo? Mliyoyafanya jana Mungu anaruhusu? Achani tunawajua na mccm tena maccm wabaya kama mabwana wenu
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 2 месяца назад
WE CRISTINO KUNDU KOMA WEWE KULETA UJINGA WAKO WA KUTOA KAULI HIVYO KWA TAASISI ZA CHAMA NA SERIKALI KAKOJOE NA UOSHE KUNDU LAKO KUMA WE
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 2 месяца назад
WE CRISTINO KUNDU KOMA WEWE KULETA UJINGA WAKO WA KUTOA KAULI HIVYO KWA TAASISI ZA CHAMA NA SERIKALI KAKOJOE NA UOSHE KUNDU LAKO KUMA WE
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 месяца назад
​@@jaffaralimakame1533matusi hayo vipi unatukosea sana
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 2 месяца назад
Kuma na wewe ​@@jaffaralimakame1533
@medardsotta5211
@medardsotta5211 2 месяца назад
Polisi anaongea UTUMBO, Jeshi letu la Polisi linatia aibu!
@BarakaElias-y4i
@BarakaElias-y4i 2 месяца назад
Tuombe toba kwa hao police tena mtapigaje ? Mtu mchana na hakuwa na silaha yoyote hao waumini wote wa roman waliohusika na mauaji wa mandojo wote watiwe ndani pamoja na mlinzi shaidi , mlinzi asitudangaje anajua kila kitu! Kweli dunia kwisha mtu anauwa kanisan sehemu ya toba kweri bado mnasema hilo ni kanisa kweri tena hilo likanisa lifungwe la michongo duuuu! Spati jibu kamili
@nextleveltalent1576
@nextleveltalent1576 2 месяца назад
Mrangi ni ngumu kuongea kiswahili mnachotaka kikubwa mumuelewe tu anachosema na lengo la maelezo
@bettyinyasi1780
@bettyinyasi1780 2 месяца назад
Sio mrangi huyu
@bettyinyasi1780
@bettyinyasi1780 2 месяца назад
Mbulu
@josephjames-by5if
@josephjames-by5if 2 месяца назад
Hakuna dini pale et Romani katoliki, Kama hakuwa nasilaha wala hakuchukua chochote kwann asingekamatwa akafkishwa kwenye vyombo vya habari ?
@summanelson5523
@summanelson5523 2 месяца назад
Polisi pia imechangia. Kwa nini haikumpeleka hospitali mpaka mdogo wake alipomkuta huko na kuomba wampeleke hospitali? Pengine angepona Ila mtu anapigwaje kanisani? Hao wakristo gani? Mmelisulubisha jina la Yesu. Mahali salama mtu anapigwa hadi kufa!!!
@godfreypaul251
@godfreypaul251 2 месяца назад
Bora angeenda hatabmsikitini sio kanisani mi nimechukia
@MiriamJohn-j8p
@MiriamJohn-j8p 2 месяца назад
sijaelewa Nini amesema
Далее
ŠKODA не перестает удивлять
00:48
Просмотров 480 тыс.
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36